KUHUSU ISHU YA MORRISON KUTOA SIRI ZA YANGA SC NIGERIA…UKWELI HUU HAPA…KUMBE JAMAA NI…

0
Habari za Yanga SC

YANGA SC imeeleza sababu ya winga wake Bernard Morrison 'BM33' kutotumika kwenye mchezo wa kwanza robo fainali Kombe la Shirikisho dhidi ya Rivers United uliopigwa kwenye Uwanja wa Godswill Akpabi nchini Nigeria. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Yanga SC kupitia kwa Kocha msaidizi Cedric Kaze amefichua kuwa sababu iliyofanya benchi la ufundi kutomtumia winga Morrison kwenye mchezo huo ni...

BAADA YA KUTUNGULIWA KIMOJA DAR…WYDAD WAAMUA KUFANYA MAAMUZI HAYA MAZITO…

0
Simba vs Wydad

KOCHA mkuu wa Wydad Casablanca, Juan Carlos Garrido amesema licha ya matokeo waliyoyapata dhidi ya Simba SC, bado wana mchezo mwingine wa kujitetea wakiwa nyumbani. Wydad imefungwa 1-0 na Simba SC bao lililowekwa wavuni na Jean Baleke mchezo uliochezwa juzi Uwanja wa Mkapa. Akizungumza baada ya mchezo, Garrido alisema walipambana vya kutosha lakini hawakutumia vizuri nafasi walizopata na sasa nguvu wanahamishia...

KOCHA YANGA AFICHUA KUMPIGA CHINI MORRISON…KUMBE ANA MAJERAHA HAYA

0
Habari za Yanga SC

Kocha msaidizi wa Yanga SC, Cedric Kaze amefichua kuwa sababu iliyowafanya benchi la ufundi kutomtumia winga Benard Morrison kwenye mchezo wa kwanza wa Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho la CAF, dhidi ya Rivers United. Wananchi waliibuka na ushindi wa mabao 2-0 ugenini, mabao yaliowekwa kimiani na straika Fiston Mayele. "Morrison alipata shida kidogo ya msuli kwenye mazoezi ya mwisho hapa Nigeria....

KIKOSI CHA SIMBA SAFARINI KUELEKEA MOROCCO…WATUMIA MBINU HII KUWACHANGANYA WAARABU

0
KIKOSI CHA SIMBA SAFARINI KUELEKEA MOROCCO...WATUMIA MBINU HII KUWACHANGANYA WAARABU

Kikosi cha Simba kinaondoka jijini Dar es salaam leo kuelekea Morocco kwa ajili ya mchezo wa mkondo wa pili robo fainali ya michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika dhidi ya Wydad Athletic. Meneja wa Habari na Mawasiliano klabu ya Simba Ahmed Ally amesema msafara unaoelekea Morocco utakuwa wa awamu mbili. Awamu ya kwanza imeondoka JANA saa mbili usiku ukijumuisha watu...

BALEKE AWACHANA WYDAD CA…”NITAWATUNGUA HUKO HUKO KWENU…AMEFUNGUKA HAYA

0
Habari za Simba

Mshambuliaji kutoka DR Congo Jean Othos Baleke amesema Simba SC ina nafasi kubwa ya kutinga Nusu Fainali Ligi ya Mabingwa Barani Afrika kwa kuitoa Wydad AC. Simba SC itacheza ugenini mchezo wa Mkondo wa Pili wa Robo Fainali Jumamosi (April 29) katika Uwanja wa Mohammed V, ambao upo mjini Casablanca nchini Morocco, huku ikiwa na mtaji wa bao 1- O...

RAIS “HAKUNA WA KUIZUIA YANGA KUTWAA UBINGWA CAF…AMEFUNGUKA HAYA

0
River vs Yanga SC

Rais wa Klabu ya Yanga, Eng. Hersi Said amesema kuwa hakuna timu ya kuizuia Yanga kubeba ubingwa wa Kombe la Shirikisho Barani Afrika kwani timu hiyo ina benchi bora la ufundi na wachezaji wenye ubora ambao wanaweza kufanya jambo hilo. Kauli hiyo ya Hersi inakuja ikiwa ni muda mfupi baada ya kuibuyka na ushindi wa bao 2-0 katika mchezo wao...

MASHABIKI SIMBA HAWAMTAKI CHAMA WALA SAIDO…ISHU NZIMA IKO HIVI

0
WAZIRI AWATANGAZIA SIMBA DAU HILI KWA KILA GOLI...WAPEWA UBALOZI HUU

Shabiki na mdau wa Yussuf Mwenda amesema kuwa japokuwa wameshinda dhidi ya Wydad Casablanca nyumbani lakini kocha Robertinho alikosea kufanya mabadiliko mapema ili kuongeza kasi ya mchezo na kufunga magoli mengi. Kauli hiyo ya Mwenda imekuja ikiwa ni siku moja baada ya Simba kuibuka na ushindin wa bao 1-0 dhidi ya Wydad katika mchezo wa kwanza wa Robo Fainali ya...

KAMA WEWE NI BODABODA…HILI JIPYA KUTOKA MERIDIANBET LINAKUHUSU…

0
Meridianbet

Meridianbet kupitia Mkuu wa kitengo cha Masoko na mawasiliano Bwana Martina Nkurlu wameanzisha kampeni mpya ya mtaa kwa mtaa ambayo ina lengo la kuwasaidia bodaboda kwa kuwapa Reflectors kwani wameona mchango wao ambao wanaufanya kwenye jamii. Meridianbet inakupatia ODDS KUBWA kwa kila mchezo ambao unataka kubeti. Kampeni hiyo inafanyika hapa jijini Dar es salaam kwa kushirikiana na jeshi la polisi...

JE BALEKE ATAONDOKA SIMBA MWISHO WA MSIMU?…ISHU NZIMA HII HAPA

0
JE BALEKE ATAONDOKA SIMBA MWISHO WA MSIMU?...ISHU NZIMA HII HAPA

Afisa Mtandaji Mkuu wa Simba SC Imani Kajura ameweka sawa suala la Mshambuliaji kutoka DR Congo Jean Othos Baleke, ambaye amekuwa gumzo katika kipindi hiki, kufuatia kuibeba timu hiyo katika Michezo ya Ligi Kuu Tanzania Bara na Ligi ya Mabingwa Barani Afrika. Kufanya vizuri kwa Baleke, kumeibua sintofahamu ya mustakabali wake ndani ya Simba SC, ambapo baadhi ya wadau wamekuwa wakidai...

BAADA YA KIPIGO KOCHA WYDAD…ASINGIZIA HAWAJAZOEA KUCHEZA SAA 10

0
BAADA YA KIPIGO KOCHA WYDAD...ASINGIZIA HAWAJAZOEA KUCHEZA SAA 10

Kocha Mkuu wa Mabingwa wa Soka Barani Afrika Wydad A. C Juan Carlos Garrido Fernández ameichimba mkwara Simba SC kuelekea mchezo wa Mkondo wa Pili wa Robo Fainali, Ligi ya Mabingwa Barani Afrika. Simba SC ipo mbele kwa bao 1-0, baada ya mchezo wa Mkondo wa Kwanza uliopigwa Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es salaam, juzi Jumamosi (April 22),...