HUYU HAPA MWAMUZI WA KIKE…ALIYEANDIKA REKODI YA HATARI…KARIAKOO DABI
Jonesia Rukyaa ndiye mwamuzi wa kwanza kuchezesha derby mbili ndani ya siku 25 katika msimu mmoja huku mmoja ukichezwa Uwanja wa Uhuru na mwingine Benjamini Mkapa. Mchezo wa kwanza kati ya Simba Queens na Yanga Princess katika Ligi Kuu ya Wanawake na ulifanyika katika uwanja wa Uhuru, ulimalizika kwa sare ya bao 1-1 na mfungaji wa mchezo huo kwa upande...
HII HAPA REKODI YA SIMBA NA YANGA…HAIJAVUNJWA KWA MIAKA 45…MSUVA NA SAMATTA WASALENDA
Kama utani imetimia miaka 45 sasa tangu mchezaji mmoja alipofanikiwa kufunga magoli matatu 'hat-trick' kwenye Dabi ya Kariakoo. Ilifungwa na Abdallah 'King' Kibadeni mwaka 1977. Ni miaka mingi sana. Kibadeni alifunga mabao hayo matatu wakati Simba ikiichapa Yanga 6-0. Nakumbuka enzi hizo nilikuwa bado mtoto mdogo kabisa. Rekodi zinaonyesha mechi ilipigwa Jumanne ya Julai 19, 1977 miezi michache tangu Tanu...
YANGA KILICHOWAPONZA NI DHARAU…MTAPIGWA NYINGI NA RIVERS
Mechi ya Watani imeamuliwa na saikolojia ya wachezaji, nyuso za wachezaji wa Simba walikuwa na shauku kubwa sana ya kudhihirisha kitu mbele ya wapenzi wa mpira wa miguu ulimwenguni kutokana na kukosolewa kwao kuwa ni kikosi kibovu huku Yanga kwavile wanaongoza ligi na wamepoteza mechi moja tu wakiaminika kuwa ni bora zaidi. Hali ya kujiamini na kuchukulia mazoea ikaingia kwa...
ILE SIKU YA USIKU WA ULAYA NI LEO….KAMATA ODDS ZA KIBABE KUTOKA MERIDIANBET KWA MSHIKO WA KUSHIBA…
Jisajili na Meridianbet upate mizunguko 50 ya bure kucheza moja ya mchezo unaopenda wa kasino ya mtandaoni ya Meridianbet. https://a.meridianbet.co.tz/c/xdodhv Wahenga waliwahi kusema Usiku wa deni hauchelewi, ni sasa kule kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya kitaeleweka nani mbambe dhidi ya mwenzake, raundi ya pili hatua ya robo fainali, Katika dimba la Stamford Bridge Chelsea vs Madrid, Napoli vs AC Milan,...
KIPIGO CHA YANGA CHAZUA VITA MPYA MJINI…JEMEDARI AMPIGA ‘DONGO’ LA MWAKA MANARA…
Baada ya Yanga kupokea kichapo cha mabao 2-0 kutoka kwa Simba katika mchezo wa Dabi ya Kariakoo. Jemedari Said amemtupia kijembe aliekuwa msemaji wa Yanga Haji Manara ambae aliwahi kutamba huko nyuma kwamba ataweza kufungwa na Yanga. Kupitia Ukurasa wake wa Instagram Jemedari ameweka Video Clip ya Manara na kuandika; "Kuna wakati tunaamini wajinga kwenye mambo ya msingi mpaka wanajiona “miungu watu”,...
MANGUNGU:- TUTAWAFUNGA YANGA MPAKA SIKU NAONDOKA SIMBA….
Mwenyekiti wa Simba, Murtaza Mangungu amesema ahadi aliyotoa kwenye uchaguzi mkuu wa klabu hiyo ya kuifunga Yanga itaendelea kwa miaka minne mpaka atakapoondoka madarakani. Akizungumza nasi, kiongozi huyo amesema watu wengi ikiwemo mashabiki wa Yanga, walimponda na kumbeza, lakini athari yake imeonekana baada ya kipigo cha mabao 2-0 katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliochezwa Uwanja wa Benjamin Mkapa,...
KISA KUIFUNGA YANGA….RAIS SAMIA ASHINDWA KUJIZUIA…AONYESHA ‘MAHABA’ KWA SIMBA…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amewapongeza klabu ya Simba SC kwa kuibuka na ushindi katika mechi dhidi ya wapinzani wao wa jadi, Yanga SC. Simba iliibuka na ushindi wa goli 2-0 jana katika mechi hiyo ya Ligi Kuu iliyopigwa katika Uwanja wa Benjamini Mkapa jijini Dar ambapo magoli hayo yaliwekwa kambani na beki Henock Inonga...
KIWEWE CHA KUFUNGWA NA SIMBA CHAZIDI KUMDATISHA NABI….KAJA NA TUHUMA HIZI MPYA…
Baada ya kipigo cha mabao 2-0 kutoka kwa watani zao Simba, Kocha Mkuu wa Yanga Nasreddine Nabi, amesema pamoja na timu yake kupoteza mchezo huo, lakini lazima watatetea ubigwa wao wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu huu. Akizungumza nasi, kocha huyo ameeleza kuwa mikakati yao kwa sasa ni kuweka nguvu, ili kuhakikisha wanashinda mechi zao nne zilizobaki, ili kubeba taji...
MKUDE AZIDI KUPOTEANA SIMBA….HIZI HAPA TAKWIMU ZAKE KWA MSIMU HUU TU…
Anaupiga mwingi uwanjani lakini kama msimu huu kwake kuna tatizo kutokana na kupata nafasi kiduchu ya kuonyesha yale makeke yake ndani ya uwanja. Amepewa jina la Nungunungu akifanishwa na yule mnyama mdogo lakini ana miba mwili mzima kiasi kwamba huwezi kumgusa kirahisi. Ni Jonas Mkude, kiungo wa Simba ambaye msimu huu ameutumia nje ya uwanja kuliko ndani kutokana na kusepa na...
MAYELE AMPA MAMILIONI KIPA SIMBA…KISA INONGA NABI ACHARUKA YANGA
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania April 18, 2023,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazeti