BAADA YA KUJIUNGA NA YANGA…MUDATHIRI ATAJA NAFASI ZA AUCHO NA SURE BOY…
Wakati Khalid Aucho juzi alisaini mkataba mpya wa miaka miwili wa kuendelea kuitumikia Yanga SC na kuzima uvumi wa kutakiwa na klabu nyingine, kiungo mpya wa timu hiyo, Mudathir Yahya amefunguka kuwa anajiamini na anahitaji nafasi aonyeshe utofauti wake na waliopo. Aucho na Mudathir wote wanacheza nafasi moja ya kiungo mkabaji na sasa inaonekana kutakuwa na vita kwenye kuwania nafasi...
UKWELI ULIVYO NI KUWA…YANGA NA SIMBA…LAO MOJA KWENYE MAPINDUZI CUP…
YANGA imetupwa nje katika mashindano ya Kombe la Mapinduzi baada ya kukubali sare ya bao 1-1 dhidi ya Singida Big Stars ambayo imeifanya timu hiyo kukusanya pointi nne sawa na Yanga wakitofautiana mabao ya kufunga sasa wanaenda kuvaana na Azam FC hatua ya nusu fainali. Singida imebebwa na ushindi wake wa kwanza dhidi ya KMKM ikishinda mabao 2-0 wakati Yanga...
KAZI IMEANZA HUKOO…MBRAZILI AANZA NA MAAGIZO HAYA SIMBA…CHAMA NA PHIRI MHHH…
Juzi usiku Simba ilijitupa kwenye Uwanja wa Amaan Zanzibar kucheza mchezo wa mwisho wa Kombe la Mapinduzi kwa msimu huu dhidi ya KVZ, huku kocha mkuu mpya, Mbrazil Roberto Oliveira ‘Robertinho’ tayari ameiona timu na kupiga mkwara akiwataka wachezaji wote kambini fasta. Robertinho alitambulishwa na Simba juzi akitokea Vipers ya Uganda na kupanda boti moja kwa moja kwenda Zanzibar ambako...
BAADA YA KUTEMESHWA KOMBE ZNZ….SIMBA SC WATUA DAR KIBABE…MBRAZILI NOMAA…
Kikosi cha Simba SC kimerejea jijini Dar es salaam kikitokea kisiwani Unguja (Zanzibar), baada ya kutolewa kwenye Michuano ya Kombe la Mapinduzi 2023. Simba SC imerejea Dar es salaam, tayari kwa maandalizi ya mchezo ujao wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Mbeya City FC, utakaopigwa Uwanja wa Benjamin Mkapa Januari 17. Maandalizi ya Kikosi cha Klabu hiyo ya Msimbazi kuelekea...
MAWAKILI WA MORRISON KUMSIMAMIA FEI TOTO DHIDI YA YANGA SC….WAZAZI WAKE WAKOMAA
Kimeumana! ndivyo unavyoweza kusema kuhusu sakata la mkataba wa kiungo, Feisal Salum ‘Fei Toto’ na uongozi wa Yanga SC, ambapo leo Ijumaa kiungo huyo ameripoti kwenye Ofisi za Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), kuitikia wito wa Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji kuhusu shauri lake la kuvunja mkataba akiambatana na mawakili waliowahi kumsimamia Morrison. Desemba 23, mwaka jana Fei...
TETESI…SIMBA SC WAPANIA KUMNG’OA JOB YANGA….MKATABA WATAKAO UMPA HUU HAPA…
Nyota wa kimataifa wa Tanzania, Dickson Job anaelekea kwenye miezi ya mwisho ya mkataba wake Jangwani na tayari timu kadhaa zinahitaji huduma yake. Simba SC, wao wanahitaji huduma ya nyota huyo na tayari jitihada za haraka zimefanyika ili kuinasa saini yake, wameshaweka ofa nono mezani pamoja na mshahara ambao ni mara tatu ya anachopata hivi sasa, taarifa za uhakika ni...
KUHUSU HATMA YA KINA KIBU NA OKWA…SIMBA SC WAMPA MUDA KOCHA MBRAZILI…
Simba SC imepata kocha mpya Robertinho Oliviera raia wa Brazil ambaye alikuwa Visiwani Zanzibar akiishuhudia timu yake ikicheza mechi za Kombe la Mapinduzi ambapo Meneja wa timu hiyo, Patrick Rweyemamu amesema ni mapema sana kocha huyo kutoa tathmini ya wachezaji kwa mechi mbili alizoziona. Oliviera alishuhudia mechi hizo zilizochezwa kwenye Uwanja wa Amaan, Unguja huku zaidi ya nyota 18 wakikosekana. Rweyemamu...
KUHUSU KUMSAJILI BOBOSI…SIMBA SC WAPIGILIA MSUMARI….DILUNGA ATAJWA…
Meneja wa Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally amefunguka na kusema kuwa katika dirisha hili dogo la usajili hawana mpango wa kumsajili aliyekua kiungo wa Klabu ya Vipers, Bobosi Byaruhanga. Ally alifunguka: ” Tunatarajia kuongea nguvu katika eneo la kiungo mkabaji ambaye atatusaidia kutimiza malengo yetu msimu huu. “Hatuwezi kumsajili Bobosi kwasababu tayari alishawahi kushiriki michuano ya kimataifa msimu huu, hivyo...
HAJI MWINYI.: YANGA SC BADO HAIJAPATA BEKI KAMA MIMI….WALINIFANYA NIKAPOTEZA ‘DEMU’…
Wataalamu wa mambo ya mahusiano wanaeleza kuwa baada ya wanandoa au wapenzi kuachana hakuna kinachoweza kumuumiza mmoja kama kumuona mwenzake akifurahia maisha na mke au mume mpya. Wakati mwingine hali hii inatokea hata katika maisha ya soka. Ni pale mchezaji anapotoka timu moja kwenda nyingine na kufanikiwa kuliko alikotoka. Hilo limetokea Ruvu Shooting ambayo waliponea tundu la sindano kushuka daraja...
ACHANA NA MUDATHIR…..VYUMA HIVI NAVYO KUTUA YANGA SC WAKATI WOWOTE…
Uongozi wa Yanga SC umeweka wazi kuwa baada ya kufanikisha usajili wa Mudathir Yahya na kutambulishwa rasmi, bado kuna mashine nyingine watazitambulisha hivi karibuni mara baada ya kukamilisha usajili wao. Yanga SC juzi Jumamne walimtambulisha aliyekuwa kiungo wa Azam FC, Mudathir Yahya ambaye tayari ameshajiunga na timu ya Yanga ambayo inashiriki michuano ya Mapinduzi inayoendelea kutimua vumbi visiwani Zanzibar. Afisa Habari...