UBORA WA MAYELE WAWAVURUGA WACONGO….WAMPA UFALME WA WACHEZAJI…
FISTON Kalala Mayele ametwaa tuzo ya mchezaji bora wa DR Congo kwa mwaka 2022. Tuzo hizo zimetolewa na mtandao mkubwa nchini DR Congo, Leopard Foot na Mayele kufanikiwa kuwabwaga wenzake kwa ushindi wa asilimia 81. Akizungumza na YANGA MEDIA Mayele amesema ni jambo kubwa kwake kama mchezaji kushinda tuzo hiyo na ametoa shukrani zake kwa mashabiki na wanachama wa Yanga kwa...
YANGA SC WAIFANYIA UMAFIA SIMBA KWA MUDATHIRI…WAMPA MKATABA WA FEI TOTO…
BAADA ya Wananchi kusubiri sana, hatimaye vyuma vimeanza kutua. Na tunaposema vyuma, tunamaanisha vyuma kweli kweli. Kiungo chuma, Mudathir Yahya ni mali ya Yanga SC baada ya Mzanzibar huyu kusaini mkataba wa kuwatumikia Wananchi. Mkataba huo ulisainiwa mchana leo mbele ya Rais wa Klabu ya Yanga SC, Eng. Hersi Said na mtendaji mkuu Andre Mtine Baada ya kusaini mkataba huo, Mudathir alipanda...
YANGA SC WAPELEKA KIKOSI CHA ‘YANGA B’ KWENYE MAPINDUZI CUP….
Wachezaji 25 wa kikosi cha Yanga SC wamewasili tayari kwa ajili ya mashindano ya Mapinduzi huku mastaa wao wote wa kikosi cha kwanza wakiachwa Dar es Salaam. Kikosi hicho kikiongozwa na Kocha msaidizi Cedrick Kaze ambaye ameongozana na mastaa wa kikosi cha kwanza nahodha Bakari Mwamnyeto na Farid Mussa kitakuwa na mchezo kesho kutwa dhidi ya KMKM. Mastaa wengine wa kikosi...
FEI TOTO AENDELEA KUWARUSHA ROHO YANGA SC….AWATUMIA UJUMBE HUU AKIWA DUBAI…
Kiungo Feisal Salum Abdallah (Feitoto) ameendelea kuzua mijadala kwa wadau wa mchezo wa soka nchini baada ya kuonekana akiwa katika ardhi ya Falme za Kiarabu akifanya mazoezi kwenye moja ya Kituo ambacho hakijafahamika jina lake kwa haraka. Feitoto amechapisha baadhi ya picha akifanya mazoezi hayo kwenye kurasa zake za mitandao ya kijamii ikiwa ni siku kadhaa tangu kudaiwa kuvunja mkataba...
MABOSI SIMBA SC WAJIUMA UMA NAFASI YA MGUNDA …KOCHA MPYA HUYU HAPA…
KLABU ya Simba SC imemtambulisha rasmi Mbrazili, Robertinho Oliviera kuwa Kocha wao Mkuu mpya kwa mkataba wa miaka miwili. ‘Robertinho’ ambaye amewahi kufanya kazi katika nchi za Rwanda akiwa na Rayon Sports, Kenya akiwa na Gor Mahia kabla ya kutimkia Uganda akiwana Vipers SC amesaini mkataba wa miaka miwili ambao unaanza kazi rasmi leo Jumanne (Januari 03). Akizungumza na Waandishi wa...
MASTAA AZAM FC WAFUNGUKA ISHU YA KUTAKIWA YANGA SC…MMOJA ACHOMOA…
Mapema wiki iliyopita Yanga SC ilituma barua Azam FC ya kutaka mazungumzo ya kuwapata wachezaji wake wawili, kiungo Mghana James Akaminko na winga Muivory Coast Kipre Junior jambo ambalo hadi sasa ni gumu kutimia kutokana na sababu mbalimbali. Mtendaji Mkuu wa Azam FC, Abdulkarim Amin ‘Popat’ alithibitisha kupokea barua hiyo na kueleza kuwa wataijibu baada ya mechi ya jana dhidi...
PAMOJA NA KUANZA KUTUPIA SIMBA SC…NTIBAZONKIZA AWACHANA WANAYANGA…
Baada ya kuanza kwa kishindo ndani ya Simba SC akifunga mabao matatu ‘Hat trick’ na kutoa pasi ya bao ‘asisti’ moja Saidi Ntibanzokiza ‘Saido’ amesema huu ni mwanzo tu utamu unakuja. Saido juzi alianza kwenye kikosi cha kwanza cha Simba SC kilichoichapa Prisons mabao 7-1 kwenye Dimba la Mkapa, akipangwa safu ya ushambuliaji na mafundi wengine kama Clatous Chama, Pape...
YANGA SC WAITUPIA LAWAMA TFF ISHU YA PELE….WALIA KUFANYIWA HUJUMA…
MARA kadhaa kumekuwa na mivutano baina ya TFF na klabu ya Yanga SC na kusababisha mambo mengi kwenda mrama. Hili siyo jambo la kujadili sana kwa sababu kila mmoja ni shuhuda namna taasisi hizi mbili zinavyopimana ubavu huku Yanga SC ikisema TFF ni Simba. Lakini mgogoro baina ya taasisi hizi ni wa muda mrefu kidogo na asili yake ni gwiji wa...
MGUNDA AMTISHA KOCHA MPYA SIMBA SC…DIARRA NA YANGA SC KAMA MLIVYOSIKIA….
Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la Mwanaspoti la leo tarehe 3/1/2022
ATUMIA MIL 56 KUNUNUA MBWA WA KULINDA MEDALI ZAKE ZA KOMBE LA DUNIA…
Mlinda mlango wa Argentina na Aston Villa, Emiliano Martinez amemnunua Mbwa kwa kiasi cha pauni 20,000 (sawa na takribani Tsh milioni 56) kwa ajili ya kulinda nyumba na medali zake za kombe la Dunia zilizopo nyumbani kwake huko England. Mbwa huyo ni aina ya Belgian Shepherd Malinois waliopitia mafunzo kwa ajili ya vikosi maalum. Martinez alikuwa na kiwango bora kwenye fainal...