RAGE NAYE AJITOSA SAKATA LA FEI TOTO NA YANGA SC…KATEMA NONDO SIO POA…
Mwenyekiti wa zamani wa Simba SC Ismail Aden Rage amewataka viongozi wa klabu za Yanga SC na Azam FC kutumia busara kumaliza sakata la Kiungo Feisal Salum Abdallah ‘Fei Toto’. Siku chache zilizopita kumekuwa na mvutano mkubwa kutokanana Azam FC kuhusishwa kumrubuni mchezaji huyo wa Yanga SC kuvunja mkataba ili ajiunge na Timu hiyo. Rage amesema haoni sababu kwa viongozi wa...
BAADA YA KIMYA KIREFU…ABDI BANDA AIBUKA NA ‘KUZICHANA’ SIMBA NA YANGA…
Wakati Tanzania ikiendelea kutoa kipaumbele kwa Wachezaji wa Kigeni hasa wanapofanya vizuri katika Klabu walizosajiliwa, Beki wa zamani wa klabu za Simba SC na Coastal Union Abdul Banda amesema kasumba hiyo ni tofauti katika soka la Afrika Kusini. Abdi Banda ambaye msimu uliopita aliitumikia Mtibwa Sugar kabla kurejea tena Afrika Kusini kujiunga na Chipa United, amesema Soka la nchini humo...
FT: SIMBA SC 7 -1 TZ PRISONS….’UZEE’ WA BOCCO NA NTIBAZOKINZA WAONEKANA LEO….
SIMBA SC imeendelea kupunguza Pointi dhidi ya Vinara Yanga SC baada ya kupata ushindi wa mabao 7-1 dhidi ya Tanzania Prisons mchezo wa Ligi Kuu ya NBC uliopigwa katika uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam. Simba SC walianza kupata bao dakika ya 12 likifungwa na John Bocco ,akimalizia pasi ya Kiungo fundi Saidi Ntibazonkiza na katika dakika ya...
SIKU KADHAA BAADA YA KUIKATAA YANGA SC…KWA MARA YA KWANZA FEI TOTO AFUNGUKA HILI
Kiungo wa Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Yanga SC Feisal Salum Abdallah (Fei toto) Jana Alhamis (Desemba 29) aliichezea Klabu yake ya zamani JKU dhidi ya ya Mlandege, Uwanja wa Mao Zedong kisiwani Unguja ‘Zanzibar’. Mchezo huo wa Kirafiki umeshuhudua JKU aliyoitumikia Fei Toto kwa mara ya kwanza baada ya kuacha gumzo kwa Mashabiki wa Soka nchini Tanzania, ikiibuka na...
JAMBO LA MJAPANI WA GEITA GOLD LAFIKIA MWISHO….ISHU NZIMA IMEENDA HIVI…
Baada ya kukaa nusu msimu bila kuichezea timu yake mechi hata moja ya mashindano tangu asajiliwe mwanzoni mwa msimu huu, Mjapani Shinobu Sakai wa Geita Gold yupo tayari kuwatumikia matajiri hao wa dhahabu. Kocha mkuu wa timu Geita Gold, Fred Felix ‘Minziro’ amekiri kushindwa kumtumia Shinobu kwenye mechi 17 za kwanza za ligi kutokana na sababu zilizokuwa nje ya uwezo...
BAADA YA KUSIKIA YANGA SC WANAMTAKA…STAA WA AS VITA AIBUKA NA HILI….
KIUNGO wa kimataifa wa Togo anayekipiga katika Klabu ya AS Vita, Marouf Tshekai ni kama amekubali kujiunga na klabu ya Yanga SC mara baada ya kuweka wazi kuwa yupo tayari kujiunga na timu hiyo kwa masharti. Marouf ambaye amekuwa kiungo bora wa Ligi Kuu ya DR Congo kwa misimu miwili mfululizo ni moja kati ya wachezaji wenye uwezo mkubwa wa...
KUMBE FEI TOTO KAMA NTOBAZONKIZA TU…HAJAACHA KITU YANGA SC AISEE..KABEBA KILA KITU…
Januari 15 dirisha la usajili Ligi Kuu Bara linafungwa baada ya kufunguliwa Desemba 16, mwaka huu, tayari baadhi ya timu zimefanya usajili kuboresha vikosi. Wakati timu zikipambana kuboresha vikosi kupitia dirisha dogo la usajili kuna baadhi ya timu zimebomolewa na baadhi ya mastaa wamejikuta wanahama timu na kuibukia kwingine. Dirisha hili limeibua vicheko na simanzi kwa baadhi ya timu, wengine wamekuwa...
KWA UMIMARA WA YANGA SC HII….SIMBA SC WAJIPANGE VIZURI…WANANJAA HATARI…
Yanga SC imejipanga kuendana na kasi ya ulimwengu unavyotaka, ambapo Sayansi na Teknolojia ndivyo vitu vinavyoshika kasi sana huku vijana wakiwa ndiyo tegemeo pekee la nguvu kazi ya taifa. Hiyo ndiyo sababu ya kuweka rika hilo kuendesha klabu yao yenye makao yake Jangwani, Dar es Salaam ambayo miaka ya nyuma kwa kiasi kikubwa ilikuwa ikiongozwa na wakongwe. Julai 9, mwaka huu,...
FUNGA MWAKA KWA ODDS HIZI ZA UHAKIKA KUTOKA MERIDIANBET…
Ligi nyingi zimerejea na mzuka wa kutosha mtu wangu, ni EPL, La Liga na Ligue 1 huku zikisindikizwa na michezo mingi ya kirafiki yenye kuvutia na kusindikiza furaha yako, Meridianbet wameliona hilo na kutoa odds kubwa na bombaa, bila kusahau machaguo mengi ya kufungia mwaka 2022 na kufungua mwaka 2023. Unafungaje mwaka 2022 na Meridianbet? Ni rahisi sana wala usisumbuke kuumiza...
SAKATA LA FEI TOTO KUVUNJA MKATABA….JEMEDARI SAID AILIPUA TENA YANGA SC…
Mchambuzi wa Soka la Bongo na Kimataifa Jemedari Said Kazumari ameibuka na kupinga maamuzi yaliyotangazwa na baadhi ya Wazee wa Klabu ya Yanga SC jana Jumatano (Desemba 28). Wazee wa Yanga SC waliitisha Mkutano na Waandishi wa Habari na kueleza namna walivyosikitishwa na kitendo cha Kiungo Feisal Salum kutishia kuondoka Klabuni hapo, huku Azam FC ikitajwa kuhusika kwenye sakata hilo. Wazee...