HII KWA WAJANJA TU…TUMIA BURSTING HOT 5 YA MERIDIANBET KWA UHAKIKA WA MKWANJA…..
Sloti ya Bursting Hot 5 Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet imekusogezea sloti ya kijanja ya Bursting Hot 5 kiganjani mwako sasa! Bursting Hot 5 ni mchezo unaotumia matunda kama zile sloti za kizamani ila imeboreshwa zaidi! Sifa mpya zilizoongezwa zinakuhakikishia ushindi mkubwa zaidi. Namna ya Kucheza Mchezo wa Bursting Hot 5 Ukiingia kwenye sehemu ya Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet, tafuta jina...
YANGA SC WAJIBU MASHAMBULIZI AZAM FC…WAPANIA KUBEBA AKAMINKO NA KIPRE JR…
Vita ni vita baina ya vigogo wawili. Klabu ya Yanga SC imetuma maombi rasmi hii leo kwenda klabu ya Azam FC kwa ajili ya kuwasajili kiungo James Akaminko pamoja na Kipre Jr. Hatua hiyo imekuja siku chache baada ya kusambaa kwa taarifa za Kiungo nyota wa Yanga SC, Feisal Salum kuvunja mkatana wake na Yanga akitajwa kutaka kutimkia Azam FC. Uongozi...
KISA FEI TOTO KUHUSISHWA NA AZAM FC….YANGA SC WAPANGA KUSUSIA BIDHAA ZA AZAM…
Vita ya chuki ni kama imechukua nafasi hivi baada ya sakata la kiungo wa Yanga SC Feisal Salum kutaka kuvunja Mkataba na kutimkia Azam FC. Wakati sakata hilo likiwa bado linaendelea kufukuta wazee wa Yanga na viongozi wa Matawi wamekutana na waandishi wa habari na kuzungumzia skata hilo. Kitendo cha Feisal kutaka kuondoka Yanga SC na kutajwa kujiunga na Azam FC...
WAMOROCCO WAENDELEA KUITIKISA YANGA SC…WATUMA OFA NZITO KWA AZIZ KI…
IMEFAHAMIKA kuwa matajiri wa Klabu ya RS Berkane ya nchini Morocco wamefunga safari na kuja nchini kwa ajili ya kuanza mazungumzo ya kumpata kiungo mshambuliaji wa Yanga SC, Mburkinabe, Stephane Aziz Ki. Hiyo ni mara ya pili kwa Berkane kumfuata kiungo huyo kwa ajili ya mazungumzo ya kuinasa saini yake tangu akiwa katika klabu yake ya zamani ya Asec Mimosas...
AZAM FC NA YANGA NI UBABE UBABE TU…GSM ATAMBA KUIBOMOA KWA BEI YOYOTE ILE…
Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la MwanaSpoti la leo Alhamisi ya 29/12/2022.
KISA KUZIDIWA NA AZAM FC….NABI AVUNJA UKIMYA YANGA SC….MAKAMBO ATIMULIWA…
Yanga SC juzi ilifikisha alama 47 kileleni mwa Ligi Kuu baada ya kuichapa Azam mabao 3-2, kwenye mechi ya raundi ya 18 lakini kocha wake mkuu Nassredine Nabi amewawakia mastaa wa timu hiyo akitaka wajitume zaidi na waongeze umakini ili kuhakikisha wanatetea ubingwa wao walioutwaa msimu uliopita kwa mara ya 28. Mbali na kuwawakia pia taarifa inasema kuwa juzi Nabi...
WAKATI YA FEI TOTO HAYAJAPOA…WAARABU WAMTENGEA MAYELE BIL 1.2…
Yanga SC inaendelea kupambana kumrejesha kundini kiungo wao fundi Feisal Salum 'Fei Toto' lakini wakati hali haijapoa kuna tishio jipya tena limeshuka klabuni hapo mastaa wao wakubwa wawili nao wakitakiwa na klabu nyingine. Taarifa kutoka ndani ya Yanga SC ni kwamba mabosi wa juu wa klabu hiyo juzi walinasa taarifa nzito wakipata uhakika kwamba mshambuliaji wao Fiston Mayele anapigiwa hesabu...
HUU MSHAHARA ANAOKULA NTIBAZONKIZA HAPO SIMBA SC..SIO POA..
Mshambuliaji mpya wa Simba SC, Saido Ntibazonkiza kabla ya kusaini mkataba wa mwaka mmoja na nusu kuitumia timu hiyo kulikuwa na masharti kwa upande wake na uongozi kila mmoja akiweka wazi kile anachohitaji. Saido amekubali kufuata ratiba ya timu ikiwemo kuingia kambini kwa ajili ya maandalizi ya mchezo husika kama ilivyo kwa wachezaji wengine jambo ambalo awali hakuwa anakubaliana nalo. Awali...
KUHUSU ISHU YA CHAMA KUSEPA TENA SIMBA SC…UKWELI UKO HIVI…
Uongozi wa Simba SC umewatoa hofu Mashabiki na Wanachama wa Klabu hiyo kuhusu mkataba wa Kiungo kutoka nchini Zambia Clatous Chotta Chama. Chama amekua akitajwa sana na baadhi ya Mashabiki na Wanachama akidaiwa huenda akaondoka mwishoni mwa msimu huu, kutokana na Uongozi kuwa kimya katika suala la kumsainisha Mkataba mpya. Ahmed amesema Chama hataondoka Klabuni hapo kama inavyodhamiwa, kwani bado ana...
SIMBA SC WAINGIA MCHECHETO NA NGUVU ZA YANGA…AHMED ALLY AFICHUA JAMBO HILI…
Meneja Habari na Mawasiliano wa Simba SC Ahmed Ally amesema kitendo cha Azam FC kupoteza dhidi ya Young Africans kimewaongezea hofu ya kuuwania Ubingwa msimu huu 2022/23. Azam FC ilipoteza dhidi ya Young Africans Jumapili (Desemba 25) kwa kufungwa 3-2, Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es salaam, na kuifanya Ligi Kuu kuendelea kuwa na upinzani mkali kwenye nafasi ya...