SARE DHIDI YA KAGERA SUGAR YAMFANYA AHMED ALLY KUIBUKA NA HILI SIMBA…

0
Habari za Simba

Meneja Habari na Mawasilino Simba SC Ahmed Ally amewapa pole Mashabiki na Wanachama wa Klabu hiyo, kufuatia matokeo ya 1-1 dhidi ya Kegara Sugar. Simba SC ilicheza ugenini jana Jumatano (Desemba 21) majira ya Usiku Uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba-Kagera, huku ikitangulia kufungwa bao la mapema na wenyeji wao kupitia kwa Deus Bukenya dakika ya 15, kabla ya Simba SC...

KUHUSU ISHU YA KUJIONDOA SIMBA SC…MO DEWJI AIBUKA NA HILI…AFUNGUKA A-Z…

0
Habari za Simba

Licha ya minong'ono inayoendelea chini kwa chini kuwa mwekezaji ndani ya Klabu ya Simba anafikiria kujiondoa lakini hilo linaweza lisiwe na ukweli ndani yake. Rais wa Heshima wa Simba, Mohammed Dewji kupitia akaunti ya Instagram ameandika; "Vaibu la juzi lilikuwa zuri sana katika fainali Kombe la Dunia. Nina furaha kwa Argentina ila mafanikio ya Simba ndio yananipa furaha zaidi ????," Ujumbe huu...

KUWA BINGWA KWA KUCHEZA SLOTI YA ‘ODD ONE OUT’ KUTOKA KASINO YA MTANDAONI YA MERIDIANBET!

0

Sloti ya Odd One Out Kama wewe ni shabiki wa sloti za kizamani ila zinazokupa ushindi murua basi, mchezo huu wa Odd One Out kutoka Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet utakuwa sahihi kabisa kwa ajili yako kwani ina muonekano wa kuvutia sana! Kupitia sloti hii, Meridianbet inakupa njia 243 za kutengeneza ushindi, ushindwa vipi kuwa bilionea? Mchezo huu una mfumo wa...

MEXIME : SARE DHIDI YA SIMBA SC KWANGU NI USHINDI MKUBWA TU…

0

Kocha Mkuu wa Kagera Sugar, Mecky Mexime, amesema kuwa sare ya 2-2 dhidi ya Azam na sare ya 1-1 dhidi ya Simba SC jana anahesabu kuwa kama ni ushindi kwake na amewapongeza wachezaji wake Kwa kucheza mechi mbili kubwa nyumbani na kupata matokeo mazuri. Mexime amesema kuwa lazima wafurahie sare hizo kama ushindi kwa sababu ya ubora wa vikosi vya...

MGUNDA: SIMBA SC TUMEFANYA MAKOSA …TUMEADHIBIWA NA KAGERA..

0
Kocha Msaidizi Simba, Juma Mgunda

Kaimu Kocha Mkuu wa Simba SC amesema hana budi kukubaliana na matokeo ya 1-1 dhidi ya Kegera Sugar, na sasa anaangalia mchezo unaofuata dhidi ya KMC FC utakaopigwa Jumatatu (Desemba 26) jijini Mwanza. Simba SC ilitanguliwa kufungwa bao la mapema na wenyeji wao kupitia kwa Deus Bukenya dakika ya 15, kabla ya Simba SC kusawazisha kwa bao la kichwa lililofungwa...

SIMBA QUEENS vs YANGA PRINCESS LEO NI ZAIDI YA MECHI YA KISASI…UTAMU UKO HAPA…

0
Simba vs Yanga

Wakati Simba Queens na Yanga Princess wakitarajia kumaliza ubishi wa nani zaidi katika mzunguko wa kwanza wa Ligi Kuu ya Wanawake msimu huu, vita kubwa kati ya makocha wa timu hizo mbili, Charles Lukulu ambaye anahitaji kuweka heshima kubwa mbele ya Sebastian Nkoma, aliyewahi kuwa kocha wa Malkia wa Simba hao. Simba Queens na Yanga Princess zitashuka katika Uwanja wa Benjamin...

OSCAR OSCAR:- HAWA YANGA BADO NI WAPIGA RAMLI TU ….

0

Oscar Oscra/MwanaSpoti Wachezaji wa kigeni nchini huwa hawaachwi moja kwa moja. Usishangae siku Saido Ntibazonkiza akirudi tena Yanga. Usishangae Bernard Morrison akirudi tena Simba siku moja. Mzunguko mdogo wa wachezaji na viongozi ndio chanzo cha haya. Umewahi kujiuliza kwa nini Real Madrid wanalitawala soka la Ulaya muda mrefu sasa? Na pia kuwaacha wengine mbali sana kwenye mataji ya UEFA? Haya ya Real...

WAKATI SIMBA WAKIWAZA PA KUMPELEKA…MBEYA CITY WAMKATAA KIBU DENIS MAZIMA…

0
Habari za Simba

Benchi la ufundi la Mbeya City limeweka wazi kuwa hawana mpango wa kumrudisha kwenye timu yao, Kibu Denis. Mchezaji huyo ambaye kwa sasa anakipiga ndani ya klabu ya Simba kabla ya kujiunga nao alikuwa akikitumikia kikosi cha Mbeya City kwa mafanikio makubwa. Akizungumzia hilo, Kocha Msaidizi wa Mbeya City, Anthony Mwamlima amesema “Kwanza benchi la ufundi halijatoa mapendekezo yeyote juu ya...

MKUDE AVUNJA UKIMYA SIMBA SC…AFUNGUKA A-Z KILICHONYUMA YA PAZIA..

0
Habari za Simba leo

Kiungo Jonas Mkude hajaonekana kwa muda uwanjani, huku ikielezwa pia mkataba wake upo ukingoni kabla ya kumalizika na kuleta hofu kwa mashabiki na wanachama wa Simba, lakini mwenyewe amevunja ukimya na kuwatuliza akiwaambia bado yupo sana Msimbazi. Mkude amekuwa hana nafasi mara kwa mara kwenye kikosi cha Juma Mgunda, lakini  alisema kutoonekana kwake uwanjani kumetokana na kuwa majeruhi na hata...

SIMBA WAMPIGA STOP INONGA…KAZE ATANGAZA VITA KALI…

0

Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la MwanaSpoti la leo Alhamisi.