LICHA YA KUIBUKA NA GOLI 5 …HIZI HAPA REKODI ZA KIBABE ZILIZOWEKWA NA SIMBA JANA..
MVUA ya mabao 5-0 imewanyeshea wachimba madini, Geita Gold wakiwa nyumbani dhidi ya Simba kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara. Mabao ya Simba kwenye mchezo huo uliochezwa kwenye uwanja wa CCM Kirumba Mwanza yalifungwa na Pape Sakho mara mbili, Kibu Dennis, Clatous Chama na John Bocco. Ushindi huo mnono, umewafanya vijana wa Juma Mgunda kufikisha jumla ya pointi 37, wameachwa kwa...
ACHANA NA UBINGWA TU…ARGENTINA WAMEKOMBA PIA TUZO HIZI ZA MAANA JANA…
TIMU ya Taifa ya Argentina imekabidhiwa taji baada ya kushinda Kombe la Dunia 2022 Qatar likiwa ni la tatu kwao. Ushindi wao wa penalti 4-2 dhidi ya Timu ya Taifa ya Ufaransa umepeleka furaha kwao huku maumivu yakiwa kwa wapinzani wao. Lionel Messi nahodha wa Argentina ametwaa tuzo ya mpira wa dhahabu huku nyota Mbappe wa Ufaransa yeye akitwaa kiatu cha...
MO DEWJI AMLETA STRAIKA MGHANA…SAKHO NA CHAMA BALAA ZITO…YACOUBA APEWA MAPINDUZI….
Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la MwanaSpoti la leo Jumatatu.
MERIDIANBET WAENDELEA KUIGUSA JAMII YA WATANZANIA…HII HAIJAWAHI KUTOKEA…
Chama cha Wasioona Tanzania (TLB) kwa furaha kubwa wamepokea msaada wa fimbo za kutembelea "White canes" kutoka Meridianbet Tanzania ikiwa ni moja ya utamaduni wa kampuni hiyo kuyashika mkono makundi yenye mahitaji maalum pamoja na jamii kwa ujumla kwa kutoa misaada mbalimbali. Akitoa ushuhuda wake akiwa haamini kile kilichotokea, Katibu wa Chama hicho ndugu Iddi Kiwimbi alisema kwamba Meridianbet wamefanya...
TETESI: WAKATI SIMBA WAKIMKANA LUIS…YANGA WAAMUA KWELI…MCHONGO UKO HIVI…
Baada ya kusambaa kwa taarifa za Simba SC kutaka kumrejesha winga wao Jose Luis Miquissone ndani ya Msimbazi. Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Timu ya Yanga nao wameingilia kati sakata la mchezaji huyo ili aimarishe kikosi chao ambacho kinajiandaa na hatua ya Makundi Kombe la Shirikisho Afrika. Kwa upande wa Simba inshu ikiwa ni kiwango kikubwa cha mshahara anacholipwa...
ACHANA NA STORY ZA VIJIWENI…ILE ISHU YA JOB KUTAKIWA MISRI..UKWELI WOTE HUU HAPA…
MASHABIKI wa Yanga walishaanza kupandwa na presha kutokana na taarifa za kitasa wa timu hiyo, Dickson Job kutakiwa na klabu za Al Ittihad Alexandria inayonolewa na kocha wa zamani wa Simba, Zoran Maki, lakini beki huyo amewatoa hofu akiwaambia watulie kwa vile bado yupo sana Jangwani. Job alisajiliwa na Yanga dirisha dogo la msimu wa 2020/2021 akitokea Mtibwa Sugar kwa...
FT:GEITA GOLD 0 – 5 SIMBA SC…..KIBU DENIS AMPIGA BUSU CHAMA…SAKHO KAMA MESSI VILEE…
Klabu ya Simba imefanikiwa kuondoka pointi tatu na kufanikisha kufunga mabao 5-0 dhidi ya timu ya Geita Gold, mchezo ambao ulipigwa kwenye dimba la CCM Kirumba Jijini Mwanza. Simba Sc katika mchezo huo aliweza kutawala mchezo kuanzia katikati ambako kulisaidia kuzalisha mabao hayo ya aina yake. Simba Sc kwenye kipindi cha kwanza walicheza kwa kushambulia na kufanikiwa kupata mabao ya haraka...
BAADA YA KUSIKIA AZAM NA SINGIDA ZINAMFUKUZIA SAIDO…SIMBA NAO WAJIBU MAPIGO KIBABE…ISHU YOTE IKO HIVI…
SIMBA ipo katika hatua za mwisho kunasa saini ya kiungo mshambuliaji wa Geita Gold na timu ya taifa ya Burundi, Said Ntibanzokiza 'Saido' katika dirisha dogo la usajili lililofunguliwa juzi Ijumaa na taarifa ni kwamba jamaa ameitwa fasta aje jijini Dar es Salaam kutoka Bunjumbura alipokuwepo. Inaelezwa kuwa fundi huyo wa frikikii na mkali wa asisti, muda wowote kuanzia leo...
WAKATI LEO DUNIA NZIMA IKITAZAMA QATAR…MERIDIANBET WANAKUPA MCHONGO HUU…ZINGATIA HAYA TU…
Ule msemo wa mtoto hatumwi dukani utatimia leo jioni pale katika dimba la Lusail ambalo ndio dimba kubwa Zaidi nchini Qatar lenye uwezo wa kuchukua mashabiki takribani 90,000 kwa wakati mmoja. Ni fainali ya kombe la dunia kati ya Argentina vs Ufaransa. Huenda ukawa unajiuliza swali moja ni wapi utapata ODDS kubwa na bomba basi jibu lako limejibwa na meridianbet...
HWA YANGA NYUMA NI MWIKOOO…MWAMPOSA AIBUA GUMZO TAIFA…
Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la MwanaSpoti la leo Jumapili.