HIVI NDIVYO TFF ‘WANAVYOPIGA PESA’ KWA KILA MCHEZAJI WA KIGENI ANAYESAJILIWA BONGO…..
Mpira wa miguu nchini unazidi kukua ambapo wachezaji wa kigeni, makocha na viongozi kwenye nyanja mbalimbali wameongezeka huku Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Idara ya Uhamiaji na Wizara ya Kazi na Ajira zikinufaika kwa mapato kupitia watumishi hao. Takwimu zinaonyesha ni Sh2.07 bilioni zilizokusanywa na taasisi hizo kutokana na wachezaji wote wa kigeni na mabenchi ya ufundi hadi sasa katika...
SIMBA TUMEWASIKIAA…CHAMA HUYOO MAPEMA TU…YANGA WAFUNGA BUSTA…ZAHERA APAGAWA….
Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la MwanaSoti la leo Ijumaa.
TAKWIMU ZINAONGEA….YANGA WAKIKAZA WANATOBOA ROBO FAINAL SHIRIKISHO CAF…
Yanga inaonekana kutishia maisha ya timu nyingine kwenye kundi lake la Kombe la Shirikisho Afrika kutokana na rekodi zake ambazo zinatofautiana na wapinzani wake. Yanga imekuwa timu bora kwa misimu miwili sasa baada ya kufanya usajili kabambe na kwenye michezo zaidi ya 50 ya ligi wamepoteza mchezo mmoja tu. Juzi makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika yalipangwa na Yanga kuwekwa kundi...
CHUKUA HII…WINGA KISHETI KUTOKA HOROYA ANUKIA TZ…HUENDA AKAJIUNGA HUKU AISEE…
Uongozi wa timu ya Singida Big Stars, uko katika mchakato wa kuinasa saini ya aliyekuwa nyota wa Azam FC, Enock Atta Agyei, kutoka nchini Ghana kuelekea usajili wa dirisha dogo linalofunguliwa Alhamisi wiki hii, imeelezwa. Nyota huyo aliyewahi kuitumikia Azam FC mwaka 2016 na baadaye kutemwa na 'Wanalambalamba' hao, 2019 hadi 2020 alijiunga na Klabu ya Horoya AC ya Guinea...
KISA POLISI….YANGA WAMFICHA MAYELE NA FEI TOTO….ISHU NZIMA IKO HIVI….
Kocha Msaidizi wa Yanga, Cedrick Kaze amefunguka sababu za kuwaweka nje mastaa wake akiwemo Feisal Salum ‘Fei Toto’ katika mchezo wa kutinga hatua ya 32 bora ya Kombe la Shirikisho la Azam (ASFC), kuwa ni kuwaweka fiti kwa ajili ya mechi ya Ligi Kuu Jumamosi dhidi ya Polisi Tanzania. Yanga juzi walimenyana na Kurugenzi na kuikandamiza mabao 8-0, huku mshambuliaji...
TRY AGAIN: TUKIMTAKA TENA BARBARA TUTAMTAFUTA ….KWA SASA TUNA MAMBO MENGI…
Baada ya Ofisa Mtendaji Mkuu wa Simba (CEO), Barbara Gonzalez kujiuzulu nafasi yake, hatimaye Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa klabu ya Simba, Salim Abdallah maarufu ‘Try Again’ ambaye yupo nchini Uswisi amesema wameupokea uamuzi uliochukuliwa na haraka wanatafuta mrithi wake. Barbara ambaye amehudumu katika nafasi hiyo tangu Septemba 2020 alitangaza kujiuzulu nafasi yake ndani ya klabu hiyo juzi kuanzia...
ACHANA NA STORI MBAO….MANZOKI ANAKUJA NA MAMBO HAYA MATATU SIMBA…
Wakati Klabu ya Simba ikielekea kwenye uchaguzi mkuu Januari 29, 2023, Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba, Salim Abdallah ‘Try again’ ameibuka na kutaja mambo matatu muhimu klabuni hapo ikiwemo usajili wa mshambuliaji wa Dalian Professional ya China, Cesar Manzoki. Mwanzoni mwa msimu huu, iliripotiwa kwamba, Manzoki amemalizana na Simba kwa ajili ya kuichezea timu hiyo, lakini usajili wake...
KISA MAKUNDI YA CAF…AHMED ALLY NA ALLY KAMWE WAANZA ‘SHIT’ ZAO MAPEMA…
Shirikisho la Soka Afrika (CAF), jana lilichezesha droo ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika na Ligi ya Mabingwa Afrika ambapo wawakilishi wa Tanzania, Yanga SC na Simba SC, wamewafahamu wapinzani wao. Baada ya makundi kupangwa, Simba wametamba kwamba watatoboa hatua hiyo, huku Yanga ikiliachia benchi la ufundi chini ya Kocha Nasrddine Nabi kumaliza kazi. Katika droo hiyo, Yanga imepangwa Kundi...
USIMALIZE MWAKA KINYONGEE…KAMATA MCHONGO HUU WA UHAKIKA KUTOKA MERIDIANBET…
Promosheni ya Expanse Kasino Kama kawaida wakali wa kasino BOMBA za mtandaoni kampuni ya Meridianbet kwa kushirikiana na Expanse studio wanakuletea mpaka kiganjani mwako Promosheni ya Expanse kasino itakayoanza kutimua vumbi Disemba Tarehe 19, 2022 mpaka Disemba 25. 2022, uwanja wa Promosheni hii ni tovuti ya www.meridianbet.co.tz pamoja APP ya simu. Hii sio ya kukosa kabisa kwani Meridianbet inakupa nafasi ya...
KISA CAF….HIVI NDIVYO SIMBA NA YANGA WATAKAVYOKUWA WAKIPISHANA ANGANI TU……
Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la MwanaSpoti la leo Alhamisi.