SIMBA SC WAMPEWA WINGA WA UBELIGIJI…AUCHO AITEGA YANGA SC….SAIDO MAMBO TAYARI HUKOO..
Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la Spoti Xtra la leo Alhamisi.
HAO YANGA NI BALAA TUPU…WATENGA BILIONI MOJA ZA CAF TU…MKUDE KUPIGWA CHINI SIMBA…
Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la Spoti Raha la leo Alhamisi.
WAKATI KOMBE LA DUNIA LIKIISHA…TECNO HAWAKUACHI HIVI HIVI…MCHONGO WAO MPYA HUU HAPA…
Kwa mara ya kwanza katika historia tumeshuhudia msimu wa sikukuu za mwisho wa mwaka ukiwa pamoja na burudani kubwa ya mchezo wa mpira wa miguu duniani (Fainali za Komba la Dunia) ambazo zinaendelea huko Qatar. Fainali hizo ambazo zilianza kutimua vumbi Novemba 20 mwaka huu zinatarajiwa kukamilika Disemba 18 mwaka huu hivyo kufanya burudani hiyo kukutana na msimu wa sikukuu...
DILI LA NTIBAZONKIZA KUTUA SIMBA…MINZIRO APIGILIA MSTARI…AFUNGUKA JAMBO LLIVYO…
Kocha Mkuu wa Geita Gold FC Fred Felix Minziro ni kama ameshamkatia tamaa Kiungo Mshambuliaji kutoka nchini Burundi Saido Ntibazinkiza, kufuatia tetesi zinaoendelea kuelekea Dirisha Dogo la usajili, ambalo rasmi litafunguliwa usiku wa kuamkia kesho. Simba SC inatajwa kuongoza katika mbio za kumuwania kiungo huyo ambaye aliwahi kucheza Soka la Kulipwa katika nchi za Uholanzi na Ufaransa kabla ya kutua...
KISA KUTINGA NUSU FAINAL…KOCHA WA MOROCCO AIBUKA NA HILI KUHUSU AFRIKA INAVYOCHUKIWA…
Saa kadhaa zikisalia kabla ya Nusu Fainali ya Pili ya Kombe la Dunia kupigwa nchini Qatar, Kocha Mkuu wa Timu ya taifa ya Morocco Walid Regragui, amefunguka namna Mataifa ya Barani Ulaya yanavyochukizwa mafanikio ya Afrika. Kocha Regragui ameweka historia ya kuifikisha timu ya Afrika Nusu Fainali kwa mara ya kwanza katika Fainali za Kombe la Dunia, akivunja Rekodi ya...
KISA KUWA KUNDI MOJA NA SIMBA…VIPERS WAJIHAKIKISHIA USHINDI NYUMBANI NA UGENINI..
Kocha Mkuu wa Mabingwa wa Soka nchini Uganda Vipers SC Alberto Oliveira, ameanza tambo kuelekea Hatua ya Makundi Ligi ya Mabingwa Barani Afrika, baada ya kupangwa Droo ya Makundi ya Michuano hiyo. Vipers SC itakayoshiriki kwa mara ya kwanza hatua hiyo, ikipangwa Kundi C lenye timu za Simba SC (Tanzania), Horoya AC (Guinea) na Raja Casablanca (Morocco). Kocha huyo kutoka nchini...
BAADA YA KUSIKIA WANAKUTANA NA MAZEMBE CAF….NABI KAKUNA KICHWA WEE..KISHA AKASEMA HAYA…
Kocha Mkuu wa Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Young Africans, Nasreddine Mohamed Nabi amesema ana matumaini makubwa kikosi chake kitafanya vizuri Hatua ya Makundi Kombe la Shirikisho Barani Afrika, baada ya kuwafahamu wapinzani. Young Africans juzi Jumatatu (Desemba 12) ilipangwa Kundi D na klabu za TP Mazembe (DR Congo), Real Bamako (Mali) na US Monastir (Tunisia). Kocha huyo amesema anaziheshimu timu...
PAMOJA NA KUIFUNGA STARS, UGANDA WAJITOA CHAN…HUENDA TZ IKAPATA ‘NGEKEWA’…
Timu ya Taifa ya Uganda ‘The Cranes’ imejiondoa kushiriki Fainali za Mataifa Bingwa Barani Afrika ‘CHAN’ zitakazorindima mapema mwaka 2023 nchini Algeria. Uganda ilipata tiketi ya kushiriki Fainali hizo kwa kuifunga Tanzania ‘Taifa Stars’ mabao 4-0, baada ya michezo ya nyumbani ya ugenini. Rais wa Shirikisho la soka Nchini Uganda ‘FUFA’ Moses Magogo amesema sababu kubwa ya kujitoa katika Fainali hizo...
KUELEKEA UCHAGUZI MKUU SIMBA…RAGE AIBUKA NA JIPYA…ATUPA DONGO KIANA KWA MO DEWJI…
Mwenyekiti wa zamani wa Klabu ya Simba, Ismail Aden Rage amewataka watakaochaguliwa kwenye Uchaguzi Mkuu wa klabu hiyo unaotarajiwa kufanyika Januari 19, mwakani, wapiganie mabadiliko ya katiba inayoonekana kutowapa uhuru viongozi waliochaguliwa na wanachama. Akizungumza Rage alisema kwa upande wake haoni umuhimu wa uchaguzi huo kutokana na Katiba iliyopo kushindwa kuwabeba wanachama ambao ndio wana asilimia kubwa ya umiliki wa...
HABARI YA MJINI KWA SASA NI KASINO YA MTANDAONI YA MERIDIANBET…HUKU HAKUNA KUKOSA AISEE…
Mchezo wa Pumpkin Patch Kama ilivyoada kwa Meridianbet kukuletea michezo yenye bonasi kubwa, Odds kubwa na Promosheni za kumwaga. Wiki hii kwenye kasino ya mtandaoni ya Meridianbet inakuletea mchezo wa kukata na shoka na utakao kutengenezea faida uitwao Pumpkin Patch. Pumpkin Patch ni mchezo wenye maudhui ya siku ya Halloween uliotengenezwa na watengenezaji maarufu wa michezo ya kasino Habanero. Licha ya...