BAADA YA KUAMBULIA ZA USO KOMBE LA DUNIA…WABRAZIL WAMTAKA GUARDIOLA…
SHIRIKISHO la soka Brazil (CBF) itawasiliana na Pep Guardiola kwa ajili ya kumshawishi Mhispania huyo achukue mikoba ya Adenor Leonardo Bacchi, maarufu Tite kwa mujibu wa ripoti. Brazil inasaka kocha mpya atakayeziba pengo la Tite baada ya kuondolewa kwenye robo fainali ya michuano ya Kombe la Dunia dhidi yab Croatia wiki iliyopita. Brazil iliondoshwa baada ya Rodrygo na Marquinhos kukosa penalti...
WAFAHAMU WAPINZANI WA YANGA CAF…TIMU KIBONDE KWENYE KUNDI LAO HAWA HAPA…
HATIMAYE Yanga imewajua wapinzani wake watatu watakaokutana nao katika mechi sita za Hatua ya Makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika. Katika droo iliyofanyika leo jijini Cairo ikiendeshwa na Shirikisho la Soka Afrika (CAF) Yanga imepangwa kundi D sambamba na timu za TP Mazembe kutoka DR Congo,Real Bamako ya Mali na US Monastir ya Tunisia lakini ndani ya timu hizo kuna...
TETESI ZA USAJILI BONGO….ISHU YA AJIBU KUTAKIWA SINGIDA…NA NYINGINE ZOOTE ZIKO HAPA…
Klabu ya Singida Big Stars FC ya mkoani Singida imefanikiwa kuinasa saini ya kiungo Ibrahim Ajibu “Migomba” kutoka Azam FC Kama mchezaji huru. ------------------------------------------------------------------ Kiungo wa Azam FC, Kenneth Muguna raia wa Kenya anajiandaa kuachana na klabu hiyo yenye makazi yake Jijini Dar es Salaam pindi mkataba wake utakapomalizika mwishoni mwa msimu huu wa 2022/2023. Mguna alijiunga na Azam FC akitokea...
NTIBZONKIZA AWAPA SIMBA SHARTI GUMU….MABOSI WAMKATALIA ‘LIVE BILA CHENGA’….
Siku chache kabla ya kufunguliwa kwa dirisha dogo la usajili, mabosi wa Simba wameonyesha kiu yao ya kumnasa kiungo fundi wa zamani wa Yanga, Saido Ntibazonkiza na habari za ndani zinasema jamaa amepewa masharti magumu naye ameweka yake mezani ili kama vipi amwage saini. Mbali na Saido inaelezwa Simba inamezea pia kiungo mkabaji, Kelvin Nashon ‘Dudumizi’ anayekipiga Geita Gold. Kwa dili...
HUYU HAPA DOGO MTZ ALIYEPATA SHAVU LA KUCHEZA LIGI MOJA NA MESSI WA PSG…
Mshambuliaji Mtanzania, Omar Abbas Mvungi aliyekuwa kwenye mpango wa Garuda Select 4 nchini England, ameula Ufaransa baada ya kusainishwa mkataba wa kukipiga Klabu ya Nantes, akiwa mchezaji wa kwanza kutoka nchini kujiunga na timu inayoshiriki Ligue 1. Kwa mujibu wa taarifa kutoka Ufaransa, kinda huyo mwenye umri chini ya miaka 20 atakuwa na timu ya vijana ya kikosi hicho kwa...
TETESI ZA USAJILI: BAADA YA KUONA MAMBO NI MAGUMU YANGA…MAKAMBO KUMFUATA ZAHERA….
Kikosi cha Polisi Tanzania kimekuwa na msimu mbaya hadi sasa kikiburuza mkia katika msimamo wa Ligi Kuu, kikikusanya pointi tisa tu katika mechi 15, lakini mabosi wa klabu hiyo hawajalala kwani wamempa timu Mwinyi Zahera na kocha huyo fasta amemchomoa straika mmoja kutoka Yanga. Zahera aliyewahi kuinoa Yanga, ametua Polisi kuchukua nafasi iliyoachwa wazi na Joslin Bipfubusa aliyetemwa hivi karibuni...
TETESI ZA USAJILI:..YANGA WAIZIDI KETE SIMBA KWA BOBOSI..ASAINISHWA KININJA …ISHU NZIMA IMEFANYIKA DUBAI…
Taarifa zinaeleza kuwa, Klabu ya Yanga chini ya wadhamini wao Kampuni ya GSM, rasmi imemalizana na kiungo wa Uganda, Bobosi Byaruhanga na kumpatia mkataba wa miaka miwili kwa ajili ya kutua katika usajili wa dirisha dogo unaotarajiwa kufunguliwa Desemba 16, mwaka huu. Bobosi ambaye alikuwa mchezaji huru kwa muda mrefu baada ya mkataba wake na Vipers kumalizika, amekuwa akihusishwa kutakiwa...
IMEFICHUKA SIMBA….MAMBO SABA YAMTOA BARBARA UCEO…WAJUMBE NA TRY AGIN WATAJWA…
Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la MwanaSpoti la leo Jumatatu.
YALIYOMKUTA MSHERY HUKO YANGA NI MUNGU TU…VITA SASA NI YA DIARRA NA JOHORA..
Yanga ni Djigui Diarra. Taarifa ya daktari wa timu hiyo imethibitisha kipa namba mbili Aboutwalib Mshery atakaa nje ya uwanja mwezi mzima kutokana na kusumbuliwa na goti. Yanga ambayo imemaliza kinara mzunguko wa kwanza na pointi 38, itamkosa Mshery kwa wiki nne tangu aonekane kwenye benchi kwa mara ya mwisho dhidi ya Ihefu ambapo walipasuka mabao 2-1. Akizungumza Meneja wa timu...
KUONDOKA KWA BARBARA NA TETESI ZA MO DEWJI KUTAKA KUUZA HISA….SIMBA WASIOMBE HAYA YATOKEE…
Simba haina tatizo ila imezungukwa na watu wenye matatizo wasiotaka mabadiliko. Ukiona taasisi inakubali kupoteza wasomi wake kirahisi ujue kuna watu hawataki klabu ipige hatua. Simba inarudi nyuma badala ya kwenda mbele. Baniani mbaya kiatu chake dawa. Yawezekana Mo Dewji ana mapungufu lakini ndiye ameifanyia mema klabu kuliko hao wanaojiona wakamilifu. Haipingiki Babra alikuwa pale kwa kulinda maslahi ya Mo...