NABI AMZUIA FEI TOTO YANGA…MASTAA SIMBA WACHIMBA MKWARA…CHAMA ANOGESHA SHOO…

0

Pitia ukurasa wa mele wa gazeti la Mwanaspoti la leo December 6

ILE ISHU YA AUCHO KUOMBA KUSEPA YANGA…KUMBE UKWELI UKO HIVI ‘BANA’…FEI TOTO ATAKA MSHAHARA WA MAYELE..

0

Achana na Feisal Salum ‘Fei Toto’ ambaye anawaumiza vichwa mabosi wake kwa kutaka kuboreshewa mkataba wake ili aendelee kusalia kikosini baada ya kuletwa mezani ofa kibao ikiwamo ya Azam FC, lakini kiungo Khalid Aucho ‘Dokta’ ameomba asiongezwe mkataba ili atimkie Arabuni. Aucho mkataba wake upo ukingoni kama ilivyo kwa beki wa kati, Dickson Job na kipa Djigui Diarra na taarifa...

WAKATI KOMBE LA DUNIA LIKIENDELEA…WAARABU WAZIRUDISHA ARSENAL NA LIVER UWANJANI …

0

Vinara wa Ligi Kuu ya England ‘Arsenal’ watarejea tena Uwanjani baadae juma ili, huku Fainali za Kombe Dunia zikiendelea kurindima nchini Qatar. Arsenal itapasha misuli joto kabla ya kuendelea kwa Mshike Mshike wa Ligi Kuu ya England kwa kucheza Michuano maalum ‘Dubai Super Cup’ itakayoshirikisha timu nyingine tatu za Barani Ulaya. Klabu ya Olimpic Lyon ya Ufaransa, AC Milan ya Italia,...

TETESI:….MASTAA HAWA WATANO ‘KULIWA VICHWA’ SIMBA SC…AKPAN APATA PAKUHEMEA…

0
Kikosi cha Simba SC Msimu huu wa 2022/23

Vigogo wa Simba kama watafanikiwa kupata mashine mpya nne za kigeni wanazozihitaji ili kuongeza makali ya kikosi hicho, kuna wachezaji wasiopungua watano huenda wakaonyeshwa mlango wa kutokea kwenye dirisha dogo la usajili litakalofunguliwa Desemba 15. Nyota wanaoweza kupigwa panga yupo, Nelson Okwa aliyerejea nchini jana akitokea kwao Nigeria kwa ajili ya matibabu ya nyama za nyuma ya paja alizoumia mazoezini...

WANACHAMA SIMBA WAITWA KUCHUKUA FOMU ZA UBOSI WA BODI YA WAKURUGENZI…

0
Mashabiki wa Simba

Uongozi wa Klabu ya Simba SC kupitia Kamati ya Uchaguzi imewakumbusha Wanachama wenye nia ya kuwania nafasi za Mwenyekiti na Wajumbe wa ya Wakurugenzi wa Klabu hiyo, kuchangamkia Fursa ya uchuakuaji wa Fomu za kuwania nafasi zilizotangazwa. Zoezi la Uchuakuaji Fomu za kuwania nafasi za Uongozi ndani ya Simba SC limeanza rasmi leo Jumatatu (Desemba 05) na litafikia ukomo Jumatatu...

BREAKING NEWS:…MKWASA ATEMANA NA KINA MASAU BWIRE…CHANZO HIKI HAPA…

0

Kocha Charles Boniface Mkwassa Master ameamua kujiuzulu Ruvu Shooting ambayo msemaji wake ni Masau Bwire baada ya mwenendo usioridhisha. Mkwassa ametangaza hayo kupitia Sports HQ ya EFM muda mfupi uliopita ambapo amesema anapisha jahazi hilo lichukuliwe na mwingine. Kwenye msimamo wa Ligi Kuu, Ruvu wapo nafasi ya 15 ikiwa na pointi 11, nafasi moja kutoka mkiani kunakoshikiliwa na Polisi Tanzania wenye...

BAADA YA KUWATANDIKA BAKORA TZ PRISONS JANA….YANGA WAIFUATA NAMUNGO ‘ASUBUHI ASUBUHI’…

0
Habari za Yanga

MSAFARA wa wachezaji 21 wa Yanga umesafiri saa 11:00 alfajiri ya leo kuelekea mkoani Lindi, kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Namungo. Kwa kutumia shirika la ndege la Precision, msafara huo utatua uwanja wa ndege wa Mtwara kisha kuunga kwa basi kuelekea Ruangwa, Lindi. Wachezaji walioambatana na timu ni pamoja na Djigui Diarra, David Bryson, Erick...

A-Z YA JINSI FEI TOTO ALVYOPELEKA MAAFA TZ PRISONS NA SIMBA JANA…

0

YANGA jana iliondoka na pointi tatu kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara kwenye Uwanja wa nyumbani Benjamin Mkapa baada ya kuifunga Tanzania Prisons bao 1-0. Bao la Yanga, lilifungwa dakika 89 na kiungo fundi, Feisal Salum baada ya mabeki wa Prisons kushindwa kuokoa shambulizi la nguvu kutoka kwa wapinzani wao. Bao hilo kwa Feisal linakuwa la tano msimu huu akiwavukuzia vinara...

BOBOSI: YANGA TULIENI NAKUJA…AWEKEWA MIL MIA TANO…MIQUISSONE AKUBALI KUTUA SIMBA…

0

Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la Championi la leo Jumatatu ya December 5.

PUNA MAHELA KWA ODDS KUBWA ZA MERIDIANBET KWA MECHI ZA 16 BORA…LEO MZIGO UMESIMAMA NAMNA HII…

0

Wiki hii ule ukurasa raundi ya mtoano wa 16 bora utafungwa rasmi kwa michezo minne iliyosalia, ni Japan vs Croatia, Brazil vs Korea Kusini, Morocco vs Hispania, Ureno vs Uswizi. Ni mpaka kieleweke mshindi apatikane. Onesha makali yako ya kutabiri ukiwa na Meridianbet. Jumatatu Desemba 05 2022  Baada ya kuwafunga Hispania kwenye mchezo wao wa mwisho kwenye kundi uliowafanya wafuzu hatua...