PHIRI AFUNGUKA ALIVYOITOSA YANGA…ADAI YUPO SIMBA KIMKAKATI ZAIDI…MWAKINYO YAMEMKUTA ….

0

Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la MwanaSpoti la leo Jumatatu ya December 5.

KICHAPO CHA YANGA CHAIBUA MAPYA IHEFU…YALIYOFANYIKA NYUMA YA PAZIA HAYA HAPA…

0
Habari za Yanga

Gumzo kubwa wiki hii ni Yanga kufungwa kwa mara ya kwanza kwenye ligi baada ya mechi 49 mfululizo na kumaliza rasmi ubabe wa ‘unbeaten’ yao iliyodumu tangu Aprili 25, mwaka jana ilipofungwa na Azam bao 1-0. Stori za kupoteza kwa Yanga kwenye Uwanja wa Highland Estates, Mbarali mkoani Mbeya zimekuwa nyingi kutokana na kufungwa na Ihefu mabao 2-1, tena Ihefu...

KISA TABIA ZA ‘KITOTO’ …MASTAA YANGA WAMSHUKIA MORRISON…WAMPA ‘MAKAVU LIVE’…

0
Habari za Yanga

Licha ya kufungua vizuri Ligi msimu huu, kiungo mshambuliaji wa Yanga, Bernard Morrison hajawa na uhakika wa kucheza mechi mfululizo kwenye kikosi cha timu hiyo. Morrison amejiunga na Yanga msimu huu akitokea Simba na matarajio ya viongozi na mashabiki wengi wa timu hiyo yalikua yakimuona akifanya vizuri na kuisaidia timu kwenye Ligi na kimataifa lakini mwisho wa siku kwenye Ligi...

AUCHO AIGOMEA YANGA…WAARABU WAMSHAWISHI KWA MKATABA MNONO…

0
Habari za Yanga

KIUNGO nyota wa Klabu ya Yanga na Timu ya Taifa ya Uganda “The Cranes” Khalid Aucho yupo mbioni kutimka mitaa ya Twig ana Jangwani baada ya kugoma kusaini mkataba mpya. Taarifa zilizothibitishwa na chanzo cha kuaminika kutoka ndani ya klabu ya Yanga zimebainisha kuwa Aucho amegoma kusaini mkataba mpya kwa sababu amepata ofa nono kutoka klabu moja inayoshiriki Ligi Kuu...

PHIRI AMVUTA MAYELE SIMBA…FEI TOTO AIHENYESHA YANGA…

0

Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la Spoti Raha la leo Jumapili.

MTOTO WA NABI AJIINGIZA KWENYE VITA NA MAREFA…SIMBA WANAUBONDA SIO POA AISEE….

0

Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la MwanaSpoti la leo Jumapili.

MAAJABU YA MIPIRA KOMBE LA DUNIA…HUWA INACHAJIWA KAMA SIMU KABLA YA MECHI…

0

TEMBEA uyaone. Ushawahi kufikiria juu ya mpira wa soka wa kuchajiwa kama simu? Basi kama unafuatilia fainali za Kombe la Dunia 2022 za huko Qatar, mipira inayotumika huko yote inachajiwa kwa umeme kama simu tu. Mipira inayotumika kwenye fainali za Kombe la Dunia 2022 imetengenezwa kwa teknolojia kubwa sana, ikiwekewa ‘chip’ maalumu ndani, ambazo zinahitaji kuwa na nishati ya umeme...

MAYELE PAMOJA NA MASTAA HAWA WA YANGA KUKOSEKANA KESHO DHIDI YA TZ PRISONS…

0
Tetesi za Usajili Yanga

KUELEKEA kwenye mchezo wa kesho wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Tanzania Prisons kuna baadhi ya nyota wa Yanga ambao wataukosa mchezo huo. Kwa mujibu wa Cedrick Kaze, kocha msaidizi wa Yanga amesema kuwa wapo ambao wataukosa mchezo huo kutokana na sababu mbalimbali. “Dickson Job ana adhabu hatakuwepo kwenye mchezo wa kesho, Jesus Moloko na Mayele hawajafanya mazoezi tutawaangalia kwenye mazoezi...

FT:COASTAL UNION 0- 3 SIMBA SC…MOSES PHIRI KAMA MAYELE TU….CHAMA AZIDI KUSAMBAZA UPENDO…

0

KLABU ya Simba imefanikiwa kuondoka na alama tatu mbele ya Costal Union Fc baada ya kuitandika mabao 3-0 mchezo ambao ulipigwa kwenye dimba la Mkwakwani mkoani Tanga. Simba Sc ililazimishwa sare katika kipindi cha kwanza licha ya kukosa nafasi nyingi za wazi huku Coastal Union wakionekana kujidhatiti kuzuia nafasi nyingi ambazo Simba wamekuwa wakizipata. Moses Phiri leo ameonesha uhaiakisaidiana na Clautos...

BRAZILI ‘WAWEHUKA’ NA TAARIFA ZA NEYMAR KUKOSEKANA MECHI ZOTE ZILIZOBAKI…

0

Brazil imeonyesha wasiwasi juu ya hali ya afya ya mshambuliaji wake, Neymar, kuwa huenda akakosa mechi zote zilizobaki za Kombe la Dunia. Nyota huyo mwenye miaka 30, alitolewa uwanjani wakati wa mchezo wa kwanza wa Brazil dhidi ya Serbia kutokana na kuumia kifundo cha mguu. Imefahamika kwamba ana tatizo katika kifundo cha mguu, ingawa madaktari wa timu ya taifa ya Brazil...