INJINIA HERSI: REKODI YA UNBETEAN SIO UBINGWA KWA YANGA…KAZI BADO MBICHI…
Kikosi cha Yanga tayari kipo Dar es Salaam, kikitokea Mbeya ilikotibuliwa rekodi yao ya kutopoteza mechi (unbeaten) katika Ligi Kuu Bara baada ya kupoteza kwa mabao 2-1 mbele ya Ihefu, lakini vigogo wa klabu hiyo walifanya kikao kizito na mastaa kuamsha ari mpya. Kikao hicho kilichotumia dakika 35 kikiitishwa na Rais wa klabu hiyo Injinia Hersi Said na kuwaambia mastaa...
MASTAA YANGA WALIOCHEZA MECHI NA IHEFU NA KUFUNGWA KUWEKWA KIKAANGONI…
Benchi la ufundi la Yanga limeweka wazi kuwa litaufanyia tathimini mchezo wao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Ihefu uliochezwa Uwanja wa Highland Estate ambao ulikuwa ni wa kwanza kupoteza. Yanga ilikubali kichapo cha mabao 2-1 baada ya kucheza mechi 49 za ligi bila kupoteza. Cedric Kaze, kocha msaidizi wa Yanga alisema kuwa wataufanyia tathimini mchezo huo pamoja na wachezaji...
SADIO KANOUTE ‘AMBALAGAZA’ MZAMIRU SIMBA…JAMBO LAKE LAENDA KAMA ALIVYOTAKA…
Kiungo wa Kimataifa wa Mali, Sadio Kanoute ameshinda Tuzo ya Mchezaji Bora wa Mashabiki mwezi Novemba akiwaangusha wazawa, beki Shomari Kapombe na kiungo Muzamil Yassin. Kwa ushindi huo, Kanoute aliye katika msimu wake wa pili Simba SC atakabidhiwa zawadi ya Sh. Milioni 2 kutoka kwa wadhamini, kampuni ya Emirate Aluminium Profile.
TABIA ZA ‘KIWAKI’ ZAMPONZA MORRISON YANGA…NABI AMUONJESHA’ JOTO YA JIWE’…
Mastaa watatu wa Yanga, wameonja joto la jiwe baada ya kusimamishwa na kocha Nasreddine Nabi kutokana na utovu wa nidhamu. Mastaa hao ni Djuma Shaban, Farid Mussa na Benard Morrison ambao wamekosekana kwenye mechi tatu za Ligi Kuu Bara, kutokana na utovu wa nidhamu. BM33, Shaban Djuma na Farid Mussa ndio wachezaji ambao waliondolewa kikosini kutokana na kuchelewa kuripoti kambini baada...
TECNO KUWAPA FURAHA WATANZANIA MSIMU WA SIKUKUU NA KOMBE LA DUNIA…
‘’Tunajua Kombe la Dunia ni la kusisimua lakini msimu wa Krismasi na likizo unakuja, je, unafikiria nini unaweza kumpa mpendwa wako? TECNO inakukumbusha kuwa watu hawa wana maana kubwa kwako kuliko kitu kingine chochote, andaa zawadi za kushiriki nao furaha, Shinda TECNO CAMON 19 mpya katika kila mechi kwa uwapendao msimu huu wa sikukuu’’, Ameyasema hayo wakati wa uzinduzi balozi...
KISA USHINDI DHIDI YA YANGA….WACHEZAJI IHEFU WAZIDI KUOGA MAMILIONI…MATAJIRI WAPAGAWA…
Ushindi raha sana buana asikwambie mtu, kwani unaambiwa baada ya kuizima Yanga juzi mastaa wa Ihefu wametembezewa mkwanja ikiwa ni motisha ya kuwapa nguvu na morari kuhakikisha mechi zinazofuata wanaendeleza moto na kujinasua nafasi za chini. Ihefu imekuwa timu ya kwanza kuifunga Yanga ambayo ilikuwa imeshindikana ikicheza mechi 49 za ligi kuu bila kupoteza na kujikuta ikiacha pointi tatu kwenye...
BAADA YA KUTIMULIWA KIMYA KIMYA YANGA…ZAHERA ALA SHAVU POLISI TZ…
Aliyekua Kocha wa Yanga na baadae Mkurugenzi wa soka la vijana na wanawake wa klabu hiyo Mwinyi Zahera. Zahera amejiunga na klabu ya Ligi Kuu ya Polisi Tanzania hadi mwisho wa msimu kwa mkataba wa miezi 6. Soma kwa kirefu Taarifa ya Polisi Tanzania;
‘USHIRIKINA’ WAMPONZA BEKI SIMBA…
Kocha wa Yanga, Mohamed Nasredine Nabi amefungiwa michezo mitatu na faini ya 500,000 kwa kosa la kuwashambulia kwa maneno Mwamuzi wa Kati na wa Akiba katika mchezo dhidi ya Ihefu. Kamati ya TPLB imesema Nabi aliendelea kuwashambulia licha ya kuonywa kwa kadi ya njano. Katika hatua nyingine mlinzi wa kushoto wa Simba SC, Gadiel Michael amefungiwa michezo mitatu na faini ya...
KUTOKA QATAR: SENEGAL WAINGIA MATATANI….FIFA WAANZA UCHUNGUZI…
Wapinzani wajao wa England kwenye Kombe la Dunia Senegal, wanachunguzwa na FIFA kwa kuvunja sheria nchini Qatar. Wawakilishi wa Afrika watamenyana na England katika hatua ya 16 bora Jumapili baada ya kuifunga Ecuador mabao 2-1 katika mechi ya mwisho ya Kundi A. Lakini Senegal wamejitupa kwenye maji moto kabla ya pambano lao dhidi ya kikosi cha Gareth Southgate kwa kutofuata kanuni...
AZAM: ‘UNBEATEN’ YA YANGA ILILINDWA SANA NA WAAMUZI…
Msemaji wa klabu ya Azam Fc Thabit Zakaria maarufu kama Zakazakazi amesema kua rekodi ya kutokufungwa kwa klabu ya Yanga imelindwa na waamuzi kwa muda mrefu. Zakazakazi anaamini klabu ya Yanga ilipaswa iwe imeshafungwa kwa muda mrefu ila kutokana tu na ubovu wa waamuzi wetu kwenye kutoa maamuzi imeifanya klabu hiyo kutokufungwa muda mrefu mpaka kufikisha michezo 49. Zakazakazi pia alipigilia...