ACHANA NA NASHON….MUDATHIRI YAHAYA NAYE MBIONI KUTUA MSIMBAZI…DILI LIKO HIVI..

0

Dirisha dogo la usajili litafunguliwa Disemba 15 mwaka huu huku timu mbalimbali zikijipanga kufanya maboresho kwenye vikosi vyao hasa baada ya kuona matokeo ya mechi zao kwenye mzunguko wa kwanza wa Ligi Kuu Bara. Hata hivyo, miongoni mwa timu ambazo zinaweza kufanya usajili mkubwa ni Simba kutokana na namna inavyoonekana kushindwa kuwa na matokeo mazuri mfululizo na tayari imeanza kupiga...

MOLOKO AFICHUA KILICHOPO NYUMA YA KIWANGO CHAKE…NABI AMTAJA KISINDA…

0

Nyuma ya kiwango anachokionyesha Ducapel Moloko msimu huu, kinatokana na alamu mbaya iliyokuwepo kwake msimu uliopita, ambapo jina lake lilikuwa linatajwa kuenguliwa, anafunguka usiyoyajua. Ipo hivi: Moloko amesema kwamba wakati anatua Yanga alipokelewa kwa ukubwa na mashabiki, ingawa hawakuridhika na huduma yake, jambo ambalo msimu huu limempa hamu ya kujituma zaidi. Wakati anasajiliwa Yanga ilimfanya mbadala ya Tuisila Kisinda ambaye ilimuuza...

KOMBE LA DUNIA LEO…ODDS ZA LEO MERIDIANBET ZIKO KAMA HIVI …USIKOSEE MKEKA WAKO KIZEMBE..

0

Ni siku nyingine tena ya kushuhudia mbungi ikipigwa kwenye viwanja mbalimbali Qatar, ni mechi za kufunga mwezi Novemba na kuukaribisha mwezi wa Sikukuu Desemba. Jumatano tulivu ya kumtazama Kylian Mbappe, Messi na Robert Lewandowsk,pia ni Alhamis njema kabisa ya kuziona Ubelgiji, Hispania, Ujerumani na Croatia zikitoa burudani ya mocho na roho. Usiwe nyuma burudika ukibeti Meridianbet. Jumatano 30 Novemba 2022  Unaweza...

A-Z JINSI IHEFU WALIVYOISASAMBUA YANGA JANA…KEKI YA ‘UNBEATEN’ YATUPWA…

0

Hatimaye Yanga imemaliza rekodi yake ya kutopoteza katika michezo 49 baada ya  kufungwa kwenye mchezo wao wa 50 dhidi ya Ihefu sawa na dakika 4,500 tangu walipopoteza mara ya mwisho. Ihefu imemaliza rekodi hiyo ya Yanga baada ya kuwachapa vinara hao wa ligi kwa mabao 2-1 kwenye mchezo uliopigwa Uwanja wa Real Estates Mbarali mkoani Mbeya. Huo unakuwa ni ushindi wa...

BAADA YA KUTUNGULIWA JANA….NABI AITABIRIA MAZITO SIMBA SC…JEZI NYEUSI CHANZO KIPIGO CHA YANGA…

0

Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la MwanaSpoti la leo Jumatano.

FT: IHEFU 2-1 YANGA SC…..MENDE KAANGUSHA KABATI…’KELELE ZA UNBEATEN ‘ ZAFIA MBARALI…

0
Habari za Yanga

HATIMAE klabu ya Ihefu imevunja rekodi ya Yanga ya kutokufungwa katika mechi ya 50 kwenye mechi za ligi kuu Tanzania bara baada ya kufungwa kwa mabao 2-1, mchezo ambao ulipigwa Mbarali mkoani Mbeya. Yanga Sc ilianza kupata bao kupitia kwa Yannick Bangala kabla ya Never Tigere kusawazisha kwa kupiga mpira wa adhabu uliomshinda kipa wa Yanga na kutinga nyavuni moja...

BAADA YA KUZINDUKA JUZI….MOSES PHIRI AFUNGUKA JAMBO ZITO SIMBA..AMTAJA JOHN BOCCO…

0
Habari za Simba

Mshambuliaji kutoka Zambia Moses Phiri amesema hajawahi kucheza nafasi ya ushambuliaji, na wala hajawahi kupewa jukumu la kufunga tangu alipotua Simba SC. Phiri alisajiliwa Simba SC mwishoni mwa msimu uliopita akitokea ZANACO FC ya nchini kwao Zambia, na ujio wake katika kikosi hicho cha Msimbazi umeanza kuonyesha matunda kufuatia kasi yake ya ufungaji mabao. Amesema anaamini sana katika kufunga na ndio...

BAADA YA KUKAA KIMYA MUDA MREFU…MWAKINYO AIBUKA NA NGEBE ZA KUMPIGA MZUNGU ‘KAVU KAVU’…

0
Habari za Michezo leo

BONDIA maarufu, Hassan Mwakinyo amesema amejiandaa vyema kupambana na Peter Bobson wa Marekani katika kuwania mkanda wa WBC Desemba 30 kwenye Uwanja wa Mao tse Tung, Zanzibar. Amesema anataka kulitumia pambano hilo kuandika historia ya kuwa bondia wa kwanza kupigana tangu kuruhusiwa mchezo wa masumbwi visiwani Zanzibar. Akizungumza na waandishi wa habari jijini hapa jana, Mwakinyo ambaye atapigana pambano hilo chini...

PABLO ARUDI TENA BONGO…AONEKANA NA BOSI WA SIMBA …AFUNGUK A-Z KILICHOMLETA…

0

SIMBA juzi Jumapili ilikuwa Kilimanjaro dhidi ya wenyeji wake, Polisi Tanzania lakini habari ikufikie kocha wa zamani, Pablo Franco yuko nchini akitua kimyakimya. Ujio wa Pablo unaleta maswali mengi hasa wakati huu Simba ikitafuta kocha mkuu atakayekuja kuungana na Juma Mgunda ambaye Mwanaspoti linafahamu mzawa huyo mkataba wake unaonyesha atakuwa kwa wekundu hao kama kocha msaidizi. Ingawa Pablo alikuwa mgumu kuthibitisha...

KISA VIGEZO VYA FIFA……UWANJA WA CHAMAZI KUFUMULIWA UPYA….MPANGO MZIMA UKO NAMNA HII…

0

MABOSI wa Azam FC wamepania kuuboresha uwanja wao ili kuendelea kukidhi vigezo vya Shirikisho la Soka Kimataifa (FIFA) sambamba Shirikisho la Soka Afrika (CAF). Uwanja wa Azam Complex ni miongoni mwa viwanja bora ndani ya Afrika Mashariki. Mhandisi wa uwanja huo, Victor Ndozero, amesema wanataka kuweka viti kwa mashabiki na kuondoa kabisa mbao ambazo zinakaliwa kwasasa. Ndozero amesema viti hivyo tayari vipo...