WAZUNGU WAMUWEKEA DAU KUFURU FEI TOTO….VIONGOZI YANGA WAKUNA KICHWA …WAIBUKA NA HILI…
Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la SpotiXtra la leo Jumanne.
SIMBA INABEBA NA HUYU…NI KIUNGO ‘ROHO YA PAKA’….MAMBO NI KIMYA KIMYA…
Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la MwanaSpoti la leo Jumanne.
WAKATI iPhone WAKIITAKA MAN UTD…MABILIONEA WA KIARABU WAJITOKEZA KUINUNUA LIVERPOOL…
Liverpool wamefanya mazungumzo na miungano miwili ya Mashariki ya Kati, ili kuchukua paundi bilioni 3 kutokana na uuzwaji wa hisa za timu hiyo. Taarifa kutoka Uingereza zimeandika kuwa wawakilishi wa miungano kutoka Saudi Arabia na Qatar wameonyesha nia ya kutaka kuinunua klabu hiyo. Vyanzo kadhaa vya habari vinaripoti kwamba maafisa wa muungano wamemwendea mkurugenzi wa Fenway Sports Group Mike Gordon, mtu...
BAADA YA KUSHINDA JUZI…SASA MANDONGA NA MWAKINYO ‘KULA SAHANI MOJA’ …ISHU IKO HIVI…
Bondia Karim ‘Mandonga’ Said yuko mbioni kuingia kwenye rekodi tamu ya ndondi nchini na huenda akawa bondia namba moja akifuata nyayo za Hassan Mwakinyo. Mandonga ambaye juzi aliwaacha vinywa wazi wadau wengi wa ndondi nchini kwa kumchapa kwa Knock Out (KO), Said Mbelwa bondia mwenye rekodi ya kucheza mapambano mengi anatajwa kuwa kwenye orodha ya mabondia namba moja nchini kwenye...
DE BRYUNE: UBELGIJI INAWAZEE WENGI…HATUWEZI KUSHINDA KOMBE LA DUNIA…
Baada ya kupokea kichapo cha magoli 2-0 kutoka kwa Morocco, Kiungo wa Kimataifa wa Ubelgiji anayekipiga Man City, Kevin De Bryune haamini kama Timu ya Taifa ya Ubelgiji inaweza kubeba kombe la Dunia linaloendelea nchini Qatar. De Bruyne ametoa kauli hiyo akiamini kuwa uwezo wa kikosi chao umepungua kutokana na wachezaji wengi wa kikosi hicho kuwa na umri mkubwa. "2018 tulikuwa...
MAYELE: NITAENDELEA ‘KUWAKANDA’ MPAKA WAITIKIE ‘ABEEEH’….
Mshambuliaji tegemeo wa Kikosi cha Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Young Africans Fiston Kalala Mayele amesema, bado ana kiu ya kufunga mabao katika Mshike Mshike wa Ligi Kuu msimu huu 2022/23. Mayele alifunga mabao mawili wakati wa mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Mbeya City FC Jumamosi (Novemba 26), na kumfanya kufikisha idadi ya mabao saba katika michezo mitatu mfululizo...
RAGE AIBUKIA YANGA….AMWAGA SIFA KAMA ZOTE…”WANACHOKIFANYA HUWEZI KUKIONA POPOTE PALE:…
Mwenyekiti wa zamani wa Simba SC Ismail Aden Rage ameipongeza Klabu ya Young Africans kwa kufanikiwa ndani na nje ya Uwanja, baada ya kupitia kipindi kigumu kwa miaka ya hivi karibuni. Young Africans ilirejesha heshima ya Ubingwa msimu uliopita, wakiutwaa kutoka kwa Watani zao Jadi Simba SC waliotawala Soka la Bongo kwa misimu minne mfululizo. Rage amesema kujitambua, upendo na mshikamano...
NUSU MSIMU TU…TAYARI MAYELE KASHAVUNJA REKODI YAKE NA ANAELEKEA KUWEKA HII MPYA…
Akiwa hajamaliza hata nusu msimu, mshambuliaji wa Yanga, Fiston Mayele ameifikia idadi ya magoli yote aliyofunga msimu iliyopita. Mayele msimu uliopita 2021/22 kwa ujumla; ⚽ 16 - Magoli ligi kuu - NBC ⚽ 01 - Ngao ya jamii ⚽ 02 - Magoli - (FA) ASS 05 - Total assists ➖ 19 - Total goals Mayele msimu huu (2022/23) mpaka Novemba 26, 2022 ⚽ 10 - Magoli ligi...
KUMEKUCHA SIMBA….VYUMA VYA KAZI KUANZA KUSHUKA….MASTAA WATAKAOACHWA HAWA HAPA…
Mabosi wa Simba wamekerwa na kitendo cha timu yao kudondosha pointi kwenye mechi za ugenini na wamekubaliana kwamba hakuna namna dirisha dogo la usajili lazima watumie pesa timu irudi kwenye ubora wake katika baadhi ya maeneo. Kwenye mahojiano Ofisa Mtendaji Mkuu wa Simba, Barbara Gonzalez alisema jambo la kwanza uongozi umekubaliana kutenga pesa ya maana ili kuwasajili wachezaji watakaokuwa wanawahitaji...
TETESI ZA USAJILI: HUYU HAPA KIUNGO ‘KISHADA’ ANAYENUKIA SIMBA…BEI YAKE MIL 500..
Klabu ya Simba SC inahusishwa na kumsajili kiungo wa kati wa Primeiro De Agosto ya Angola, Dago Tshibamba Samu raia wa DR Congo kwenye usajili wa dirisha dogo. Nyota huyo kwa mwenye umri wa miaka 25, thamani yake inatajwa kuwa ni takribani Tsh million 500.