TABIRI BUREE USHINDE INFINIX NOTE 12 YA FEI TOTO NA AISHI MANULA….ZINGATIA HAYA…

0

Ni msimu wa kombe la dunia na Makampuni mengi yametafuta namna ya kujiweka karibu na wateja wake kupitia soka na moja ya Kampuni hizo ni Kampuni ya simu janja Infinix. Kama haukua unafahamu Kampuni ya simu Infinix inatoa zawadi mbalimbali ikiwamo simu aina ya Infinix NOTE 12 kupitia kampeni ya PIGA UTOBOE unachotakiwa kufanya ni kubashiri kwa kila mechi ni...

PAMOJA NA UKIMYA WAKE….HAYA HAPA MAMBO MAKUBWA ALIYOYAFANYA DICKSON JOB KWA MSIMU HUU TU…

0
Habari za Yanga SC

Licha ya kuwa na nyota wengi kwenye eneo la beki wa kati, Dickson Job amejihakikishia namba na kutengeneza rekodi ya kuwa beki pekee aliyecheza dakika nyingi kuliko yeyote msimu huu. Hadi sasa, Yanga imecheza mechi kumi na mbili na Job amecheza michezo kumi na moja mfululizo, huku nyota wengine kwenye eneo hilo Bakari Mwamnyeto, Ibrahim Abdallah ‘Bacca’ na Yannick Bangala...

A-Z JINSI AZAM FC WALIVYOMALIZANA NA COASTAL UNION NDANI NA NNJE YA UWANJA…

0

MABAO matano yamekusanywa kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya wenyeji Azam FC na Coastal Union. Baada ya dakika 90, ubao wa Uwanja wa Azam Complex ulisoma Azam FC 3-2 Coastal Union. Coastal Union walianza kupata bao la utangulizi dakika ya 14 kupitia kwa Betrand Ngafei lilidumu mpaka muda wa mapumziko. Kipindi cha pili Azam FC walirejea mchezoni na kufunga kupitia...

HII ‘UNBEATEN’ YA YANGA HAIKUJA HIVI HIVI….KARIBU BILIONI KUMI ZIMETUMIKA…UKWELI HUU HAPA…

0
Tetesi za Usajili Yanga

KATIKA kujenga kikosi bora Yanga kinachowapa matokeo ya sasa, haikufikia mafanikio hayo kwa usiku mmoja tu. Yanga ilifanya mabadiliko makubwa ikiondoa kundi la wachezaji 12 na kuingiza wapya 26 kwa nyakati tofautikitu ambacho kinaweza kuwa kimeugharimu uongozi wa Yanga zaidi ya bilioni kumi za usajili na kuitunza timu kwa kipindi cha miaka mitano iliyopita. Kwa nyakati tofauti Yanga iliwatema, kuwauza...

USIBAKI NYUMAAA…KAMATA ODDS KUBWA KUTOKA MERIDIANBET SPECIAL KWA KOMBE LA DUNIA….

0

Siku ni Jumatatu na Jumanne wakati ambao wengi wanakuwa kwenye mihangaiko ya kutafuta chochote kitu, ili mkono uende kinywani, sikia mdau! Meridianbet hawakuachi ukateseka, msimu huu wa kombe la dunia wanakupa machaguo special kwa ODDS kubwa na Bomba, kikubwa ni wewe kubeti bila kuchoka tena ukibeti kwa kitochi dau lako la chini tu TZS 250/= Inakubali!!!  Jumatatu 28 November 2022  Hizi...

PABLO ARUDI BONGO KIMYA KIMYA…AFUNGUKA KILICHOMLETA…..NABI ATAJA WANAPOMKOSEA MAYELE…IHEFU WAIPIGA MKWARA YANGA…

0

Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la MwanaSpoti la Leo Jumatatu ya 28/11/2022

MABOSI SIMBA WAFUATA KIUNGO ANGOLA…BARBARA ATOA KAULI YA KIBABE…NABI AWAPIGA “KUFULI” MASTAA YANGA….

0

Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la Championi la Leo Jumatatu ya 28/11/2022

FT: POLISI TZ 1-3 SIMBA SC ….PHIRI AMSAIDIA BOCCO KUMJIBU MAYELE..

0

KLABU ya Simba imefanikiwa kuonoka na alama tatu mbele ya timu ya Polisi Tanzania baada ya kuichapa mabao 3-1 kwenye mchezo huo ambao ulichezwa kwenye dimba la Ushirika mjini Moshi. Kwenye mechi hiyo tumeshuhudia mshambuliaji wao Moses Phiri akiweka kambani mabao mawili na kumfanya awe na mabao nane kwenye ligi kuu NBC na kuwa nafasi ya pili kwenye ufungaji mabao...

MASTAA WALIOZALIWA AFRIKA….LAKINI WANACHEZEA MATAIFA MENGINE KOMBE LA DUNIA….

0

Wachezaji wanaocheza fainali za kombe la dunia wenye asili ya Afrika Wanao wakilisha Mataifa ya Ulaya katika Kombe la Dunia Mwaka Huu 2022. 1.Ansu Fati. (Spain) Born in Bissau, Guinea Bissau. 2.Alphonso Davies. (Canada) Born in Buduburam, Ghana. 3.Eduardo Camavinga. (France) Born in Cabinda, Angola by Congolese parents. 4.Youssoufa Moukoko. (Germany) Born in Younde, Cameroon 5.Danilo Pereira. (Portugal) Born in Bissau, Guinea Bissau 6.Steve Mandanda....

MGUNDA: LEO ‘TUTAWATEMBEZEA MOTO’ USIOZIMIKA POLISI TZ….

0
Kocha Msaidizi Simba SC

Kocha mkuu wa klabu ya Simba Juma Mgunda ameongea na wanahabari jana kuelekea mchezo wao dhidi ya klabu Polisi Tanzania na kueleza mipango yake kuelekea mchezo huo ni kupata alama tatu muhimu katika mchezo huo. Kocha huyo anaeleza “Maandalizi ya mchezo yamekamilika na wachezaji wapo kwenye hali nzuri,Tunajua mechi itakua ngumu. Na Polisi haipo kwenye nafasi nzuri tutaiheshimu lakini malengo...