POINTI NNE ZA MBEYA ZAMPAGAWISHA MEXIME NA KAGERA SUGAR YAKE…MSIMAMO WAKE HUU HAPA…

0

Pointi nne walizovuna Mbeya zimempagawisha Kocha Mkuu wa Kagera Sugar, Mecky Mexime huku akiwapongeza vijana wake kwa kazi waliyoifanya huku akiahidi kuendeleza moto mechi zilizobaki. Kagera Sugar katika mechi mbili ilizocheza kwenye Uwanja wa Sokoine ilishinda mechi moja dhidi ya Prisons bao 1-0 na sare ya mabao 2-2 mbele ya Mbeya City na kupanda nafasi ya tisa kwa pointi 15. Kwa...

WAKATI MBEYA CITY WAKIPATWA NA MCHECHETO…HIZI HAPA REKODI ZA KIBABE ZA MAYELE KWA MSIMU HUU TU…

0
Habari za michezo

Fiston Mayele gari limewaka. Mabao mawili aliyotupia dhidi ya Dodoma Jiji juzi, yamemfanya abakize timu nne tu ambazo hajazifunga kwenye Ligi Kuu Bara. Kila moja huko iliko inajiuliza ; “Sasa itakuwaje jamani.” Mayele anaongoza chati ya ufungaji bora Ligi Kuu msimu huu, lakini ametimiza mambo manne ambayo ni nadra kutokea katika ligi yetu. Mayele alifikisha idadi ya mabao nane wakati...

BARBARA ATANGAZA KISHINDO CHA USAJILI SIMBA…ADAI WATANUNUA POPOTE PALE…MSTAA TUMBO JOTO…

0

Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la MwanaSpoti la leo Jumamosi.

KISA KAULI YA “TUNAOUMIA NI SISI”…MASHABIKI YANGA WAPIGWA MARUFUKU KUONGEA ONGEA OVYO…

0

Uongozi wa Matawi ya Klabu ya Yanga Mkoa wa Dar es Salaam umewapiga marufuku viongozi wake na wananchama wote kuzungumza na wanahabari kuhusu mambo kadha wa kadha yanayohusu klabu hiyo. Hayo yamesemw jana Alhamisi Novemba 24, 2022 na uongozi wa Matawi ya Yanga mkoa huo, wakati wakizungumza na wanahabari katika makao makuu ya klabu hiyo jijini Dar es salaam. "Tumeshakubaliana kukutana...

BAADA YA MATOLA KUSEPA …MGUNDA ASHUSHA KITU KINGINE SIMBA…MABOSI WAMPITISHA CHAP HARAKA…

0

Huku akimsubiri bosi wake kutua muda wowote, Kaimu Kocha Mkuu wa Simba, Juma Mgunda amemuongeza kwenye benchi lake, staa wa zamani wa Msimbazi, Mussa Hassan Mgosi. Straika huyo aliyekuwa anakochi timu ya vijana ya Simba, tayari ameanza kazi yake rasmi na juzi alikuwa benchi Simba ikiivaa Mbeya City kwenye Uwanja wa Sokoine. Mgosi ambaye ni staa wa zamani wa Mtibwa na...

USAJILI DIRISHA DOGO….PANGA LAPITA NA MASTAA HAWA SIMBA…KIGOGO ASHUSHA JEMBE LA KAZI YANGA…

0

Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la Championi la leo Jumamosi.

KISA KUIKAZIA SIMBA JUZI…YANGA WAINGIA UBARIDI KUKIPIGA NA MBEYA CITY KESHO…

0

Upambanaji wa Kikosi cha Mbeya City msimu huu 2022/23 umemshutua Kocha Mkuu wa Young Africans Nasreddin Nabi na kuvuruga mpango wote wa kikosi chake kuelekea mchezo ujao wa Ligi Kuu Tanzania Bara. Mbeya City imekua ikizungumzwa sana baada ya kuwakomalia Simba SC juzi Jumatano (Novemba 23), na kulazimisha sare ya 1-1, ikiwa nyumbani Uwanja wa Kumbukumbu ya Sokoine jijini Mbeya. Kocha...

BAADA YA KUONA ‘VIBE’ LAKE LINASHUKA…MANARA AJA NA ‘KISANGA’ HIKI KIPYA MJINI…

0
Mkutano Mkuu Simba leo

Ofisa Mhamasishaji wa Klabu ya Yanga, Haji Sunday Manara amesema yeye amezaliwa kuwa maarufu kwa hiyo si rahisi kwa mtu yeyote kuififisha nyota yake. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Manara ameandika; "Wakati wa kuzaliwa kwangu, nchi hii ikiwa na magazeti mawili tu ya Kiswahili na Kingireza Uhuru na Daily News, yaliandika stori ya Sunday Manara apata Mtoto wa kiume, kumbuka...

AZIZ KI AIONEGESHA YANGA…KESHO JAMBO LIKO KAMA KAWAIDA…

0
Habari za Yanga

Kiungo mshambuliaji wa Young Africans Sports Club Stephane Aziz Ki amemaliza adhabu ya kukosa mechi tatu sasa akiwa tayari kurejea kikosini kwenye mchezo wa ligi kuu dhidi ya Mbeya City ambao utapigwa uwanja wa Benjamin Mkapa kesho Jumamosi, Novemba 26, 2022. Aziz Ki ambaye alipewa ruhusa kwenda kuitumikia timu ya Taifa, alikosa mechi dhidi ya Kagera Sugar, Singida Big Stars...

KAZE AVUNJA UKIMYA YANGA…AFUNGUKA SIRI ZA NYUMA YA PAZIA ZA USHIDNI WAO KWENYE LIGI…

0
Habari za Michezo Bongo

Kocha msaidizi wa Yanga, Cedric Kaze amesema kutofungwa kwao mechi 48 ni heshima kubwa kwao na mashabiki wa timu hiyo kwa misimu miwili mfululizo. Yanga ni timu pekee ambayo haijapoteza mechi hizo hali ambayo inawafanya mashabiki na hata wachezaji wao watembee kifua mbele kwasasa. Akizungumza na Waandishi wa Habari, Kaze amesema siri ya kutopoteza kwao inatokana na kuchukulia umuhimu wa kila...