SIKU CHACHE BAADA YA MAN UTD KUMTEMA…WAZIRI SAUDI ARABIA AAGIZA RONALDO ASAJILIWE KWAO..
Waziri wa Michezo wa Saudi Arabia, Prince Abdulaziz bin Turki Al-Faisal amebainisha nia ya kutamani kumuona Cristiano Ronaldo akishiriki katika Ligi Kuu ya Nchi hiyo kufuatia kuvunjiwa mkataba wake na Klabu ya Manchester United. “Nani ambaye hatamtaka Ronaldo kucheza kwenye Ligi yetu? Ni mfano wa kuigwa kwa vijana wengi sana duniani, yeye na Messi ningependa kuwaona wote kwenye Ligi yetu,...
TETESI ZA USAJILI BONGO….SIMBA KUMRUDISHA MIQUISSONE..? VYUMA HIVI VITATU VINAKUJA…
Uongozi wa Simba SC umefanya mazungumzo na Nyota watatu wapya wa Kimataifa kwa ajili ya kuongeza nguvu kwenye kikosi chao kuelekea Dirisha Dogo la Usajili litakalofunguliwa mwezi ujao. Hadi sasa Simba SC imeshafanya mazungumzo na Winga kutoka nchini Msumbiji, Kiungo mkabaji raia wa Senegal na Mshambuliaji raia wa Ghana. Taarifa za ndani zinadai kuwa, ongezeko la Nyota hao linatokana na baadhi...
PINGA UKATILI WA KIJINSIA KWA WANAWAKE NA MERIDIANBET!
Hauko peke yako – Meridianbet ina ujumbe mzito kwa wanawake wahanga wa matukio ya ukatili wa kijinsia. Popote ulipo, mtaani, maeneo ya kazi, maeneo binafsi... Wanawake wanne kati ya watano hupitia ukatili mitaani. Mmoja kati ya wanawake watatu huathiriwa na ukatili wa kijinsia na kimwili. Mmoja kati ya wanawake watano amepitia unyanyasaji mtandaoni, lakini pia aslimia 50 ya wanawake wamepitia...
FAGIA FAGIA LIGI KUU….JE YANGA KUONDOKA NA MKENYA WA TZ PRISONS..?
Wakati benchi la ufundi la Tanzania Prisons likilia na mastaa kurudia makosa yale yale hadi kuinyima timu matokeo mazuri, uongozi umetoa mechi mbili kuamua hatima ya Kocha mkuu Patrick Odhiambo. Prisons imecheza mechi tano mfululizo sawa na dakika 450 bila kuonja ushindi ikiwa ni sare mbili dhidi ya Namungo na Ruvu Shooting, ikipoteza tatu mbele ya Coastal Union mabao 2-0,...
ADEBAYOR AANIKA A-Z JINSI MABOSI SIMBA ‘WALIVYOZINGUA’ KUMSAJILI…”WALIOGOPA GHARAMA”….
STAA wa Berkane ya Morocco, Victorien Adebayor wa RS Berkane ya Morocco amesema kuwa bado akili yake ni kuchezea Simba haswa kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Kiungo huyo mshambuliaji, alionyesha kiwango kikubwa akiwa na USGN ya Niger iliyocheza na Simba kwenye hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho. USGN Jijini Dar es Salaam walilala mabao 4-0 na nyumbani...
BUNDI ATUA KMC…MABALAA WANAYOYAPATA NI MUNGU TU…HITIMANA MAJI YA SHIGO…
KMC inakabiliwa na majeruhi sita ya wachezaji wake wa kikosi cha kwanza ambao kila mmoja jambo linaloipa wakati mgumu timu hiyo. Kabla ya mechi ya juzi ugenini dhidi ya Singida Big Stars, Watoza ushuru hao wa Kinondoni walikuwa na wachezaji majeruhi watatu ambao ni beki wa pembeni Kelvin Kijiri na viungo Ally Awesu na Emmanuel Mvuyekure lakini hadi dakika 90...
KISA KUPEWA UNAHODHA…MAYELE AANDIKA HISTORIA HII MPYA YANGA…
FISTON Kalala Mayele ameanza kucheza kwenye Ligi ya ushindani mwaka 2013 nchini Congo. Alianza kwenye klabu ya mtaani kwao ya Jsl ya Lkasi ya Lubumbushi, kisha akahamia AS SIMBA ya mjini Kolwezi kisha baada akajiunga AS Vita Club. Ni zaidi ya mechi 200 ukijumlisha na zile alizocheza akiwa na jezi ya Yanga msimu uliopita, lakini jambo moja ambalo huwezi kuamini, Mayele...
UNYONGE SASA BASI….SIMBA SC YASHUSHA STRAIKA MGHANA…MO DEWJI AMWAGA PESA NDEFU…MBADALA WA KAPOMBE NAYE NDANI…
Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la Championi la leo Ijumaa.
KITENDO CHA KUIFUNGA ARGENTINA TU…SAUDI ARABIA WAMEVUNJA NA KUWEKA REKODI HIZI KIBAO…
TIMU ya Taifa ya Saudi Arabia imeanza vyema michuano ya Kombe la Dunia inayoendelea huko Qatar baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Argertina. Mchezo huo wa kundi C ulianza kwa Argentina kupata bao la utangulizi kupitia kwa nyota wake mahiri, Lionel Messi dakika ya 10 kwa mkwaju wa penalti kisha Saudia kusawazisha kupitia kwa Saleh Al-Shehri...
WAKATI SIMBA WAKILIA NA AINA YA WACHEZAJI WAO…NABI KAFUNGUKA HAYA KUHUSU MASTAA WAKE YANGA…
KOCHA Nasreddine Nabi amesema anajivunia sana wachezaji wa kikosi chake cha Yanga kutokana na upambanaji wao waliouonyesha kwenye mchezo dhidi ya Dodoma Jiji FC. Mchezo huo uliopigwa kwenye dimba la CCM Liti mkoani Singida ulimalizika kwa Wananchi kubeba alama tatu baada ya ushindi wa mabao 2-0. Akizungumza baada ya mchezo huo, Nabi amesema walikutana na timu ngumu sana lakini wachezaji wake...