JEMEDARI SAID: INAKERA…YANGA WAKISHINDA WAMENUNUA MECHI… ILA SIMBA NI SAWA..?

0
Habari za Simba

Baada ya kuzuka kwa tabia ya watu kuzusha maneno ya rushwa pindi timu za Simba na Yanga zinapopata matokeo mbele ya timu zingine za Ligi Kuu Tanzania Bara. mchambuzi mahiri wa masuala ya Soka Jemedari said ameibuka na kukemea suala hilo huku akusisitiza ubora wa vikosi hivyo , walimu wenye uwezo ndio hasa siri ya kufanya vyema katika michezo yao. "imeanza...

ENG. HERSI: YANGA TUKO TAYARI KUMWACHA FEI TOTO AENDE…VYUMA VINAKUJA ZAIDI…

0
Habari za Yanga

Klabu ya Yanga imesema wapo tayari kumwachia kiuongo wao mshambulizaji, Feisal Salum 'Fei Toto' kwenda nje ya nchi ambayo itafikia makubaliano na si kwa klabu yoyote ya ndani ya nchi kama ambavyo imekuwa ikisemwa. Hayo yamesemwa na Rais wa Yanga, Eng. Hersi Said ikiwa ni siku chache baada ya tetesi kuanza kusambaa kuwa mchezaji huyo anataka kusajiliwa na matajiri wa...

ZA NDAANI KABISA….HII HAPA SIRI NYUMA YA PAZIA YANGA KUAMUA KUVAA JEZI NYEUSI….

0
Tetesi za Usajili Yanga

Unaambiwa Yanga ina jambo lake katika jezi rangi nyeusi inayopenda kuitumia na kuivaa sana kwa sasa katika mechi zake. Jezi hiyo ina mzuka wa aina yake na haijawahi kuiangusha pindi inapocheza mchezo wowote. Ni kama ina bahati Fulani hivi kwa mabingwa hao wa kistoria wa Ligi Kuu kwa mwaka huu tangu ilipoivaa na kumtoa Mwarabu wa Tunisia ugenini na kufuzu hatua...

PANGA LAPITA NA MASTAA HAWA 6 YANGA…KICHUYA ATANGAZA KURUDI ZAKE SIMBA….

0

Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la Soti Xtra la leo Jumanne.

SALAMBA AFUNGUKA A-Z KINACHOMPA MADILI YA KUCHEZA KWA WAARABU…AITAJA SIMBA ….

0

Baada ya mashabiki wa soka kujiuliza nani yupo nyuma ya dili za kupata timu nje kwa straika, Adam Salamba ambaye kwa sasa amejiunga na Ghaz El Mahalla ya Misri anayochezea Himid Mao, mchezaji huyo amefunguka. Anasema hajawahi kujibweteka tangu alipoamua kuchagua soka kuwa chanzo chake cha mapato. Ndipo alipoamua kujitengenezea utaratibu wa kuhakikisha kwa siku anafanya mazoezi mara tatu, ili...

MWARAMU NA WENZAKE KUNZA KUANIKA UKWELI WOTE MAHAKAMANI…

0

Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kupambana na Kuzuia Dawa za kulevya (DCEA), Gerald Kusaya amesema leo Jumatatu Novemba 21.2022 baadhi ya watuhumiwa wa dawa za kulevya akiwemo, kocha wa makipa wa timu ya Simba, Muharami Sultan (40) na mmiliki wa kituo cha Cambiasso Sport Academy kilichopo Tuangoma, Kambi Zuberi Seif watafikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam. Zikiwa...

BAD NEWS…PETER BANDA NNJE MIEZI MITATU…UJUMBE WAKE HUU HAPA…

0

Kiungo mshambuliaji wa kikosi cha Simba, Peter Banda leo ameainisha kuwa anaendelea vizuri na baada ya wiki mbili atarejea kwa daktari kwa ajili kufanya vipimo tena. Banda ambaye ni raia wa Malawi aliumia katika mchezi wa SImba hdidi ya Singida Big Stars ambapo alifanikiwa kufunga bao la kusawadhisha na mchezo huo kumalizika kwa sare ya bao 1-1. Aidha, Banda amesema atakuwa...

KUELEKEA MECHI NA YANGA KESHO….DODOMA JIJI WAWEKEWA MIL 30 MEZANI…

0

Uongozi wa Dodoma Jiji umeendelea kuweka mkazo kwenye mechi zao baada ya kutangaza dau la Sh30 milioni iwapo watatoka na ushindi kwenye mchezo wao wa Ligi dhidi ya Yanga. Dodoma Jiji na Yanga zitakutana kesho Jumanne Novemba 22 mchezo utakaochezwa saa 10:00 jioni katika uwanja wa Liti, Singida. Inaelezwa mabosi wa Dodoma Jiji wameweka dau hilo ili kuwapa motisha wachezaji wao...

WAKATI MORRISON AKITOLEWA YANGA…MAKAMBO NNJE MWEZI MZIMA…DJUMA NA FARID NAO YAWAKUTA…

0
Habari za Yanga

Klabu ya Yanga imesema imejiandaa vyema kuwakabili wapinzani wao Dodoma Jiji katika mchezo wa kesho, Jumanne, Novemba 22, 20222 utakaopigwa katika Dimba la Liti mjini Singida. Hayo yamesemwa leo na Kocha Mkuu wa Timu hiyo, Nasredine Nabi wakati akizungumza na wanahabari kuelekea mchezo huo huku akiwataja wachezaji watakaoukosa mchezo huo kesho kwa sababu mbalimbali. "Ukizingatia tumetika kucheza na Singida Big Stars...

YANGA WAITAKA REKODI YA ARSENAL…WAKISHINDA KESHO KUTWA….WANAINGOJA DODOMA TU…

0
Kikosi cha Yanga SC

Yanga SC imesafiri Hadi Mkoani Singida kucheza na Dodoma Jiji kesho kutwa Novemba 23, endapo Yanga atashida Mchezo huo atakuwa anaikaribbia rekodi kama ya Arsenal Mwaka 2003 May 7, The Gunners walicheza Mechi 49 Bila kupoteza mpaka Oktoba 16, 2004 Yanga wako Mkoani Singida kuzitafuta alama tatu kwenye uwanja wa Liti, watakapokuwa na kibarua kingine dhidi ya walima Zabibu, Dodoma...