MGUNDA : MASHABIKI MSIJE NA MATOKEO YENU UWANJANI…SIMBA TUNAKOSA SANA NAFASI…

0
Kocha Msaidizi Simba SC

Kaimu Kocha Mkuu wa Simba SC Juma Ramadhan Mgunda amesema anatarajia Mchezo wenye upinzani mkubwa kutoka kwa Ruvu Shooting kesho Jumamosi (Novemba 19), kutokana na wapinzani wake kuwa na kikosi imara. kinachoongozwa na Benchi la Ufundi lenye weledi. Simba SC kesho itakua Mgeni wa Ruvu Shooting katika mchezo huo wa Ligi Kuu Tanzania Bara, huku ikizitaka alama tatu sawa na...

UKWELI LAZIMA USEMWE….SHIDA YA SIMBA NI HAPA TU…PAKIKAA SAWA YANGA WATAKIMBIA NCHI…

0
Kikosi cha Simba SC Msimu huu wa 2022/23

Dirisha dogo la usajili litakalofunguliwa Desemba 15 mwaka huu, linailazimisha Simba kusajili idadi kubwa ya wachezaji ambao kiasili ni washambuliaji kulinganisha na wale wa nafasi nyingine kwani tathmini ya kiufundi inaonyesha tatizo si benchi la Juma Mgunda bali ni uhalisia. Tathmini ya kiufundi inaonyesha kuwa uwepo wa kundi kubwa la wachezaji ambao kiasili ni walinzi, hapana shaka umekuwa ukilipa wakati...

PAMOJA NA KUIPELEKA YANGA MAKUNDI CAF…NABI APATA WENGE NA KIKOSI CHAKE..

0
Habari za Yanga

Yanga jana iliibuka na ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya Singida Big Stars na kuboresha rekodi yake ya kibabe ya kucheza mechi 47 mfululizo za Ligi Kuu Bara bila ya kupoteza, lakini kuna mkwara mzito kocha, Nasreddine Nabi ameushusha kuanzia mechi hii. Alichowaambia Nabi wachezaji wake wote kuwa kunaweza kuwa na usajili wa nyongeza katika dirisha dogo la usajili lakini...

MANDLA: WATU WANACHUKULIA POA TU…SIMBA TIMU KUBWA AFRIKA..

0
Mzamiru akiwajibika Simba SC

Kocha mpya wa Viungo Simba SC Kelvin Mandla amefunguka kwa mara ya Kwanza baada ya kutambulishwa rasmi na Uongozi wa Klabu hiyo jana Alhamis (Novemba 17). Mandla ametambulishwa Klabuni hapo akichukua nafasi ya Kocha Sbai Karim aliyeoondoka na Kocha Mkuu Mserbia Ziran Maki mapema mwezi Septemba mwaka huu. Kocha Mandla amesema amefurahi kujiunga na Klabu ya Simba SC ambayo imekua na...

KAGERE: KWA YANGA HII…UBINGWA NI WAO TENA…WAMEKAMILIKA KILA IDARA…

0
Singida Big Stars

Mshambuliaji kutoka nchini Rwanda na Klabu ya Singida Big Stars Meddie Kagere amesema kwa sasa Young Africans ina Kikosi Bora kinachoundwa na wachezaji wenye umahiri mkubwa. Kagere ametoa kauli hiyo baada ya mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliopigwa jana Alhamis (Novemba 17), Uwanja wa Benjamin Mkapa, ambapo Singida Big Stars ilikubali kupoteza kwa kufungwa 4-1. Mshambuliaji huyo ambaye ameacha historia...

RASMI: SADIO MANE KUKOSA KOMBE LA DUNIA…SENEGAL MATUMAINI HAKUNA…

0

Siku ya Jumanne, shirikisho la kandanda la Senegal lilisema Mane, 30, atakosa "michezo yao ya kwanza" katika mashindano hayo. Lakini uchunguzi zaidi wa MRI ulikamilishwa siku ya Alhamisi ambayo ilionyesha upasuaji unahitajika. Mane alilazimika kutolewa nje wakati Bayern iliposhinda Bundesliga dhidi ya Werder Bremen mnamo Novemba 8. Bayern wamethibitisha kuwa mchezaji huyo "alifanyiwa upasuaji wa mafanikio" siku ya Alhamisi, ili kuunganisha...

MO DEWJI AAMUA SIMBA…MAWAKALA KUTOKA ULAYA KUSHUSHA ‘VIFAA’ VYA KAZI…MPANGO UMESUKWA HIVI…

0
Habari za Simba SC

Bodi ya Wakurugenzi Simba Sc imeanza mkakati maalum wa usajili ili kukiboresha kikosi chao kupitia Dirisha Dogo la usajili ambalo linatarajiwa kufunguliwa siku za usoni. Simba SC siku za karibuni imekua ikionesha mchezo usiovutia licha ya kupata matokeo yanayoipa alama tatu, hali ambayo imewaibua baadhi ya Mashabiki na Wanachama wa Klabu hiyo na kuutaka Uongozi kufanya usajili kupitia Dirisha Dogo,...

NABI ALIVYOTUMIA MBINU ZA KIMAFIA KUMZIDI BABU HANS WA SINGIDA BIG STARS JANA..

0
Habari za Yanga SC

Kocha Mkuu wa Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Young Africans Nasridden Mohamed Nabi amefichua siri ya ushindi wa 4-1 dhidi ya Singida Big Stars, iliyofunga safari kutoka mkoani Singida hadi Dar es salaam. Young Africans jana Alhamis (Novemba 17) ilikua nyumbani Uwanja wa Benjamin Mkapa ilicheza mchezo wake wa Kumi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, huku ikidhamiria kutetea taji la...

BAADA YA KUTUPIA JANA….MAYELE AFUNGUKA ALIYOKUWA AKIPITIA YANGA…

0
Habari za Yanga

Mshambuliaji hatari wa Klabu ya Yanga raia wa Jamhuri ya Kidemkrasia ya Congo, Fiston Mayele amesema kuwa alimisi sana kutetema kutokana na kuwa na ukame wa mabao katika michezo mitano mfululizo ya mashindano akiwa ndani ya klabu hiyo. Mayele alifanikiwa kufunga jumla ya mabao matatu (Hat Trick) katika mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Singida Big Stars wakati timu...

ILE ISHU YA MATOLA KUSEPA….UONGOZI SIMBA WAIBUKA NA TAMKO HILI..

0
Habari za Simba

UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa umetoa baraka zote kwa kocha msaidizi wa timu hiyo Seleman Matola kuondoka. Matola anatarajiwa kuanza masomo ya masuala ya ukocha ambapo anatafuta Leseni A itakayompa fursa ya kuwa kocha mkuu kwenye timu yoyote. Ahmed Ally, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba amesema kuwa kila kitu kinakwenda sawa ndani ya timu na hawana tatizo...