BAADA YA KUONA AZAM HAWATANII KWA FEI TOTO…YANGA WAIONA ISIWE TABU…WAJA NA HILI …

1
Fei toto Yanga SC

Ikiwa imesalia takribani miezi miwili dirisha Dogo la usajili la mwezi Januari kufunguliwa, inasemekana Bosi wa Azam FC, Yusuf Bakhresa ameanza kufanya michakato ya kuboresha kikosi cha Azam na rada yake imetua kwa Nyota wa Yanga SC, Feisal Salum (Fei Toto). Inasemekana Fei Toto na Bakhresa wapo mezani kujadili matakwa ya mchezaji huyo na endapo wataafikiana basi kiungo huyo aliyejizolea...

IMEFICHUKAAA…TATIZO SIO MGUNDA…NABI AWACHANA MASTAA YANGA..AWAPA SIKU TISINI ZA MOTO…

0

Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la MwanaSpoti la leo Alhamisi.

MANARA ASHTUSHWA NA KIWANGO CHA DIARRA…AMMIMINIA ‘POVU’ KAMA LOTEE…

0

Mhamasishaji wa Klabu ya Yanga, Haji Manara amemmwagia sifa kipa wa timu hiyo, Djigui Diarra raia wa Mali ambaye ameonyesha kiwango cha hali ya juu kwa siku za hivi karibu. Kauli hiyo ya Manara inakuja baada Diarra kuisaidia timu yake kutinga hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika. Mbali na hilo, Diarra alifanya kazi kubwa kwenye mchezo wao dhidi ya...

KUELEKEA MECHI YA KESHO DHIDI YA YANGA …MBRAZILI WA SINGIDA APANIA ‘KUTOBOA MTUMBWI’ ……

0

Wakati Mashabiki wa Soka nchini Tanzania wakisubiri Kandanda la Ligi Kuu Tanzania Bara kati ya Mabingwa watetezi Young Africans dhidi ya Singida Big Stars, Mchezo huo umeteka hisia za upinzani kwa pande zote mbili. Young Africans iliyoshushwa kileleni jana Jumanne (Novemba 15) na Azam FC iliyochomoza na ushindi wa 1-0 dhidi ya Ruvu Shooting, itahitaji kushinda kesho Jumatano (Novemba 17)...

FT:SIMBA SC 1-0 NAMUNGO FC….’MUSA’ AIPITISHA SIMBA JANGWANI SALAMA…

0

KLABU ya Simba imeendelea kutoa dozi ndani ya ligi kuu baada ya kufanikiwa kuwanyuka Namungo Fc 1-0, mchezo uliopigwa kwenye dimba la Benjamini Mkapa Jijini Dar es Salaam. Mechi hiyo ambayo Simba alionesha kandanda safi kupitia kwa mastaa wao walipata nafasi nyingi za kufunga lakini walifanikiwa kupata bao moja tu ambalo lilifungwa dakika za mwanzo kipindi cha kwanza. Bao la Simba...

MDAKA MISHALE WA YANGA KUIKOSA SINGIDA KESHO…SABABU KUBWA HII HAPA…

0
Habari za Yanga SC

DJIGUI Diarra kipa namba moja wa Yanga ataukosa mchezo wa kesho dhidi ya Singida Big Stars kwa kuwa yupo kwenye majukumu ya timu ya taifa ya Mali. Mdaka mishale huyo ni chaguo la kwanza la Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi hivyo kwa sasa amebakiwa na nyota wawili ambao ni Aboutwalib Mshery na Erick Johora. Pia Aziz KI naye atakosekana kwenye mchezo huo...

KAPOMBE: NIKIWA NNJE YA UWANJA SIJIELEWI…NIKIENDA HOSPITALI SIKUTI KITU…

0

Wote tulikuwa tunafahamu kuwa kilichokuwa kinamuweka nje ya uwanja kwa muda beki wa kulia wa Simba, Shomari Kapombe ni majeraha, lakini kumbe ilikuwa ni tofauti ya tulichokuwa tunakifahamu. Kapombe amefunguka kwa mara ya kwanza baada ya kurejea uwanjani akisema kuwa ni kweli alikuwa nje ya uwanja akiwa mgonjwa, lakini kwa bahati mbaya hakuwahi kujua anaumwa nini kwani hata madaktari walishindwa...

INJIA HERSI AFANYA MAAMUZI MAGUMU KWA CEO MPYA…”YALIKUWA MALENGO YETU”…

0
Habari za Yanga leo

Rais wa Klabu ya Yanga, Eng. Hersi Said amesema amemtuma Mtendaji Mkuu wa Klabu hiyo, Andre Mtine nchini Misri kwa ajili ya kushiriki katika usimamizi wa upangaji makundi wa michuano ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika. Ikumbukwe kuwa, Yanga imetinga hatua ya Makundi ya kombe hilo baada ya kuiondoa Club Africain ya Sudan huku Simba ikitinga hatua ya Makundi ya...

YANGA HAKUJAPOA….KAZE ALIAMSHA TENA KUELEKEA MECHI YA KESHO NA SINGIDA…

0
Kikosi cha Yanga SC

Kocha Msaidizi wa Yanga, Cedric Kaze  amesema pamoja na uchovu waliokuwa nao wachezaji wao na ratiba kuwabana lakini wamejipanga kuhakikisha kesho Alhamisi wachukua pointi tatu dhidi ya Singida Big Stars. Akizungumza, kocha huyo amesema kikosi chao kimeingia kambini  Avic Town Kigamboni kwa ajili ya kujiandaa na mchezo huo wanajua utakuwa mgumu kutokana na ubora wa kikosi cha wapinzani wao lakini...

KOMBE LA DUNIA NA MACHAGUO SPESHO MERIDIANBET TWEN’ZETU KIBINGWA QATAR….

0

Kila baada ya miaka minne wapenda soka kote duniani huwa wanaungana na kushuhudia utamu wa burudani ya macho na moyo nikimaanisha hisia zote huwa uwanjani. Ndio Namaanisha Kombe la Dunia, ni jukwaa maalum kabisa la Mabingwa kuonesha ukali wao na Mabingwa wenzao.  Na wewe una nafasi ya kuonesha ubingwa wako kwa kubeti kwenye nyumba ya Mabingwa, Meridianbet ambao safari...