‘JUJU’ ZA MBOMBO ZAMPAGAWISHA ONGALA AZAM FC…HASIKII WALA HAAMBILIKI KWAKE…

0

Kaimu Kocha Mkuu wa Azam FC, Kally Ongala amesifu uwezo unaoendelea kuonyeshwa na staa wake, Idris Mbombo huku akiweka wazi amekuwa mchezaji muhimu kwenye kikosi chake msimu huu. Kauli ya Ongala inajiri baada ya Mbombo kufunga mabao mawili na kufikisha matano msimu huu wakati kikosi hicho kilipoibuka na ushindi wa mabao 4-3 dhidi ya Mtibwa Sugar. Akizungumza Kally alisema haukuwa mchezo...

KOCHA MPYA WA VIUNGO SIMBA HUYU HAPA…’PROFAILI’ LAKE SIO LA KITOTO…

0
Habari za Simba

Uongozi wa Simba SC umepanga kumtangaza Kocha wa Viungo wakati wowote kuanzia sasa, ili kuimarisha viwango vya wachezaji ambao wana jukumu la kuipa matokeo klabu hiyo ya Msimbazi. Kwa siku za karibuni Mashabiki na Wanachama wa Simba SC wamekua wakitoa malalamiko juu ya wachezaji wa timu hiyo kutokuwa na utimamu wa miili, wakidai hali hiyo inasababishwa na kutokuwepo kwa Kocha...

TWENDE MBELE TURUDI NYUMA…UKWELI MCHUNGU HATA SIMBA BADO HAIJAFANIKIWA..

0

Ukiona timu inashangilia na kufanya jambo kubwa kuingia hatua ya makundi kwenye mashindano madogo ya CAF usiwacheke au kuwazuia kwa sababu wametimiza lengo au ndiyo faraja waliyoipata ambayo kujirudia tena sio leo wala kesho. Tatizo letu kubwa Watanzania kwa kiasi kikubwa tunaridhika na vitu vidogo sana. Tunahisi kufanikiwa mapema sana. Leo hii ni kawaida tu mtu kukuambia kuwa Simba ndiyo...

KARIA AZIPIGA MKWARA SIMBA NA YANGA KISA U-20…

0

Katika kukuza soka la vijana na kuzalisha wachezaji wengi wapya watakaolisaidia taifa hapo baadae, Shirikisho la Soka nchini (TFF) limepitisha azimio kuwa kwa sasa timu za vijana chini ya umri wa miaka 17 na 20 (U-17 na U-20) ndizo zitashiriki Ligi za Wilaya (daraja la nne). Hayo yameelezwa na Rais wa TFF, Wallace Karia katika mkutano mkuu wa 17 wa...

PAMOJA NA SIMBA QUEENS KUKOSA KOMBE…OPAH AACHA GUMZO KUBWA MOROCCO…

0

Mfungaji wa bao la timu ya wanawake ya Mamelodi Sundowns, Boitumelo Rabale dhidi ya Simba Queens kwenye mchezo wa nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika, amemtaja Opah Clement kuwa miongoni mwa wachezaji hatari aliowaona msimu huu kwenye michuano hiyo ambayo imefanyika kwa mara ya pili. “Tulimwona kabla ya mchezo kuwa ni kati ya wachezaji muhimu kwa Simba (Queens), mpango...

KUHUSU TETESI ZA KUTAKIWA TENA SIMBA…ADEL AVUNJA UKIMYA…AFUNGUKA MSIMAMO WAKE…

0
Habari za Simba SC

Kocha wa Viungo kutoka nchini Tunisia Adel Zrane amesema yupo tayari kurudi Simba SC endapo Uongozi wa Klabu hiyo utakua tayari kumrudisha. Zrane ametoa kauli hiyo akiwa nchini Kuwait anakofanya kazi kwa sasa, akiwa na klabu ya Al-Wehdat inayonolewa na aliyekua Kocha Mkuu wa Simba SC Didier Gomes Da Rosa. Zrane amesema anaipenda na kuithamini Simba SC kwa sababu aliishi kama...

KISA WACHEZAJI KUPATA MAJERAHA SANA…SIMBA WAAMUA KUFANYA KWELI…DILI LA KOCHA WA VIUNGO LANUKIA…

0
Mzamiru akiwajibika Simba SC

Dili linanukia. Simba itamtambulisha kocha mpya viungo aliyekuwa akifundisha kwenye nchi za Kiarabu na kabla ya wiki hii kumalizika. Taarifa kutoka ndani zinaeleza mabosi wa Simba wameanza harakati za kuboresha benchi la ufundi na kulipa nguvu za wataalamu wapya pamoja na kuwafuatilia wachezaji wapya ambao watawasajili kwenye dirisha dogo akiwemo straika Mghana Kwame Opoku. Maboresho ya kwanza kuna mtaalamu ‘fundi’ na...

BOSI AMTAJA KOCHA MPYA SIMBA SC…MASTAA YANGA WAHOFIA KUULIWA…DIARRA ALAMBA BINGO YANGA…

0

Pitia Ukurasa wa mbele wa gazeti la Spoti Xtra la leo Jumanne.

KINACHOITESA SIMBA HIKI HAPA….WAANDAA SAPRAZI YA KIBABE…NABI AFUNGUKA KILICHOMKUTA MAYELE…

0

Pitia Ukurasa wa mbele wa gazeti la MwanaSpoti la leo Jumanne.

BAADA YA KUONA USHINDI ANAPATA KWA TABU…MGUNDA AANZA ‘KUGUNA’ NA SIMBA YAKE..

0
Habari za Simba

Kaimu Kocha Mkuu wa Simba SC Juma Ramadhan Mgunda amesema hana budi kuanza kuisuka upya safu yake ya Ushambuliaji, ili irejee katika hali yake ya kawaida baada ya kusuasua kwenye michezo miwili ya Ligi Kuu Tanzania Bara. Simba SC ilipata wakati mgumu ilipocheza ugenini Singida dhidi ya wenyeji wao Singida Big Stars na kuambulia sare ya 1-1, kisha ikashinda kwa...