HUYU NI MFALME WA MERIDIAN USSD BETI NA KITOCHI…ASHINDA MAMILIONI KIRAHISII…
Haijalishi unatoka familia gani ili uwe Mfalme, Yeyote aliyepo kwenye famila ya Meridianbet ni mfalme wa Maisha yake, na Leo Meridianbet wanamleta kwenu Mfalme wa Beti na Kitochi kwa USSD. Mfalme huyu anaitwa Zamiru Mohammed kutoka Chalinze, Gwiji aliyejishindia Pesa Taslimu TZS 1,324,878/= Milioni moja, Laki tatu na Elfu Ishirini na nne, Mia nane sabini na nane, alibeti kwa dau...
AKILI KUBWA YAIBEBA SIMBA SC…YANGA WAFANYA KWELI MWANZA…DIARRA ATAWALA SHOO…
Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la MwanaSpoti la leo Jumatatu
NABI AZIDI KUMFUNIKA MGUNDA NA SIMBA YAKE…
Kocha wa Yanga SC, Nasreddine Nabi amechaguliwa kuwa kocha bora wa mwezi Oktoba wa Ligi kuu ya NBC Tanzania bara. Nabi raia wa Tunisia amewashinda Mubiru Abdallah wa Mbeya City na Thiery Hitimana wa KMC alioingia nao fainali. Yanga SC kwa mwezi Oktoba:- ✅ 2-1 vs Ruvu Shooting (A) ✅ 1-0 vs KMC (H) ✅ 1-0 vs Geita Gold (A) ✅ 1-1 vs Simba SC...
FT:KAGERA SUGAR 0-1 YANGA SC….DOGO WA TIMU B AMFUNIKA MAYELE…
KLABU ya Yanga imeendeleza ubabe kwenye ligi kuu Tanzania Bara baada ya kuichapa Kagera Sugar 1-0 kwenye mchezo ambao uliopigwa kwenye dimba la CCM Kirumba Jijini Mwanza. Yanga Sc imepata bao kupitia kwa nyota wao kinda kabisa Clement Mzize ambaye alipokea krosi nzuri kutoka kwa Feisal Salum katika kipindi cha kwanza cha mchezo na kuisadia timu yake kuibuka na ushindi...
OKWA : MO DEWJI ALINITAKA NIJE SIMBA…KWA MAISHA YA HAPA KLABUNI…NI DENI TU…U
BAADA ya kuonyesha kiwango bora kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika msimu uliopita michezo miwili hatua ya awali akiwa na Rivers United, Nelson Okwa dhidi ya Yanga aliwavutia mabosi wa Simba. Okwa aliyekuwa nahodha wa Rivers United ya Nigeria alionyesha kiwango bora ikiwemo kuwasumbua mabeki wa Yanga kwenye michezo yote miwili na kuivusha timu hiyo ya Afrika Magharibi hatua inayofuata. Mabosi wa...
BAADA YA KUTUSUA CAF…YANGA MOTO UNAWAKA….KUKIPIGA NA WAARABU TENA HATUA YA MAKUNDI..
KIKOSI cha Yanga baada ya kutua nchini, wachezaji na viongozi wao wakitembea kwa kuvimba baada ya ushindi na kutinga hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika na wamesema kwamba “sasa tuna mzuka aje yeyote makundi.” Kikosi hicho kilipotua kilikaa muda mchache Dar es Salaam kabla ya kuunganisha ndege kwenda jijini Mwanza ambako leo Jumapili watacheza mechi ya Ligi Kuu...
UNAKUMBUKA USHINDI WA 4-3 WALIOPATA AZAM FC JANA…BASI HAYA NDIYO YALIYOTOKEA …
USHINDI wa mabao 4-3 walioupata Azam FC dhidi ya Mtibwa Sugar ugenini, Uwanja wa Manungu, Morogoro una maana ya kuwapandisha kileleni kuongoza Ligi Kuu Bara kwa pointi 23. Ukiachana na kuongoza Ligi Kuu ikiwa imecheza mechi 11 imeshinda saba, sare mbili, imefungwa michezo miwili, ina mabao ya kufunga 16 ya kufungwa matano, pia imeifanya Mtibwa Sugar mnyonge wake. Mtibwa Sugar inakuwa...
KISA KUSUGULISHWA BENCHI…BIGIRIMANA AVUNJA UKIMYA YANGA…ADAI YEYE NI BORA…
KIUNGO wa Yanga, Gael Bigirimana hajawa na uhakika wa nafasi ya kucheza ndani ya kikosi hicho tangu amejiunga na Wanajangwani hao kwenye dirisha kubwa la usajili msimu huu lakini leo ameweka wazi sababu zinazomfanya asote benchi. Kiungo huyo alitua Yanga na kutambulishwa na Rais wa klabu hiyo Hersi Said mbele ya wanachama waliohudhuria Mkutano mkuu wa klabu hiyo ulioambatana na...
A-Z JINSI SAKHO ALIVYOFUTA AIBU SIMBA SC JANA…IHEFU ‘WAENDELA KUBEBA WATU’…
DAKIKA 90 za mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya Simba na Ihefu zimemalizika katika Uwanja wa Benjamin Mkapa kwa wenyeji kushinda bao 1-0, lililowekwa nyavuni na Pape Sakho dakika ya 63. Ushindi kwa Simba unaifanya kufikisha pointi 21 ikiwa nafasi ya pili huku Ihefu FC ikiendelea kusalia mkiani na pointi tano baada ya timu zote kucheza michezo 10. Zifuatazo ni...
SURE BOY ATOA SIRI YA KUUPIGA MWINGI TUNISIA…RAMANI NZIMA YA USHINDI ILIKUWA HIVI..
YANGA ilirejea juzi mchana saa 8 mchana, ikitokea Tunisia ilipoweka rekodi kubwa ya kushinda mechi ya CAF katika ardhi ya Uarabuni. Kiungo aliyechangia kwa kiasi kikubwa kuukamata mchezo huo wa Club Africain kiufundi, Salum Aboubakar ‘Sure Boy’ amefichua siri ya ushindi. Sure Boy alisema wakati alipoitwa kwa mara ya kwanza na kocha wake Nasreddine Nabi kumueleza anataka kumpa nafasi ya...