ONYANGO ASHTUA SIMBA…AJITENGA NA WENZAKE…AKATAA KUPANDA BASI LA TIMU..

0
Habari za Simba SC

Beki wa kati Simba, Mkenya Joash Onyango ameduwaza wenzie mazoezini huku ikielezwa kuwa anachofanya ndicho kilichomrejesha kwenye ubora wake na kutetea namba yake. Staa huyo anayewania namba na Kennedy Juma na Mohammed Ouattara, amekuwa na programu binafsi ya mazoezi ya ndani na nje ya Uwanja ambayo imelifurahisha benchi la ufundi lakini baadhi ya mastaa wamekuwa wakimshangaa na kutamani kufuata nyendo...

MPOLE :- VIONGOZI WANAONITAFUTA WANANINYIMA MSHAHARA…SITAMANI KURUDI GEITA…

0

Mshambuliaji wa Geita Gold FC George Mpole ameshangazwa na taarifa za kuhusishwa kutoroka Kambini kwa shinikizo la kutaka alipwe sehemu ya fedha anayoidai klabu hiyo inayoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara. Mpole aliyemaliza Kinara wa Ufungaji Bora msimu uliopita, amesema taarifa hizo sio za kweli, lakini ni kweli yupo nje ya Kambi ya Geita Gold FC katika kipindi hiki ambacho Ligi...

INJINIA HERSI: TUTAKACHOWAFANYIA HAWA WAARABU LEO …NI MUNGU TU ANAJUA…

0
Habari za Yanga leo

Rais wa Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Young Africans, Hersi Said amesema kila kitu kiko sawa kwa upande wa maandalizi ya mchezo wa Mkondo wa Pili hatua ya Mchujo Kombe la Shirikisho Barani Afrika, kilichobaki ni wachezaji kutimiza wajibu wao. Hersi ameyasema hayo kwenye mazoezi ya mwisho ya kikosi cha Young Africans yaliofanyika kwenye uwanja wa Olympic Rades uliopo Jiji...

RASMI…SIMBA NA YANGA KUPIGWA TENA MWEZI UJAO…RATIBA KAMILI HII HAPA…

0

LIGI Kuu ya Soka ya Wanawake Tanzania Bara msimu huu wa 2022/23, inatarajiwa kuanza Desemba 5, huku 'dabi' ya watani wa jadi, Simba Queens na Yanga Princess wakitarajiwa kupambana Desemba 16, mwaka huu. Kwa mujibu wa ratiba iliyotolewa na Shirikisho la Soka nchini (TFF), Mabingwa Watetezi, Simba Queens, watakata utepe wa msimu mpya wa ligi hiyo Desemba 5 watakapocheza dhidi...

BONIFACE AMBANI:- VIONGOZI YANGA NI SHIDA…HAWANA MIPANGO ZAIDI YA KUIFUNGA SIMBA TU…

0

ALIYEKUWA mshambuliaji wa Yanga, Mkenya Boniface Ambani, amewataka viongozi wa klabu yake hiyo ya zamani kuweka mikakati kwenye mashindano ya kimataifa na kuacha utamaduni wa kusajili kwa ajili ya kuifunga Simba tu kwenye mashindano ya ndani. Ambani ameyasema hayo baada ya kikosi hicho kushindwa kutinga hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika na kujikuta kikiangukia kucheza mechi ya mchujo kuwania...

BAADA YA MPOLE KUISUSIA GEITA…NTIBAZONKIZA NAYE AKIWASHA..ASUSA KUJIUNGA NA TIMU…

0
Geita Gold FC

Kikosi cha Geita Gold kinaendelea kupukutika baada ya idadi ya wachezaji muhimu kudaiwa kujiweka pembeni kutokana na madai yao ya kimaslahi na sasa kufikia saba huku uongozi ukisisitiza kuwa hakuna mchezaji anayewadai. Geita Gold ambayo ipo chini ya kocha Fredy Felix ‘Minziro’ inacheza na KMC Novemba 17, inashika nafasi ya 10 kwenye msimamo wa ligi. Mechi 10, imeshinda tatu, sare...

SIMBA WAPAGAWA CHAMA KUFUNGIWA…NABI AWASHIKA ‘PABAYA’ WAARABU…MBUGI LITAPIGWA KILA KONA…

0

Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la Championi la leo Jumatano.

LIWALO NA LIWE…MASTAA YANGA WAWEKEWA MAMILIONI WAMALIZE KAZI LEO..

0

Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la MwanaSpoti la leo Jumatano.

WALIOFUNGWA GOLI 7 BILA WAIPA YANGA MBINU ZA KUIFUNGA CLUB AFRICAIN KESHO…

0

Kocha Mkuu wa Kipanga FC ambayo ilifungwa magoli 7 bila na Club Africain, Hassani Kitimbe amewaondoa hofu Yanga kwa kuwaambia wana nafasi ya kufuzu makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika kwa kuwafunga wapinzani wao, Club Africain ya nchini Tunisia. Timu hizo zitavaana katika mchezo wa Play-Off wa Kombe la Shirikisho kesho Jumatano baada ya ule wa awali kutoka suluhu kwenye...

KUELEKEA MECHI YA KESHO..SIMBA WATAMBA NA LENGO LILE LILE LA ‘KUSAFISHA JALALA’…

0
Kocha Msaidizi Simba SC

Kocha Mkuu Juma Mgunda, amesema maandalizi ya mchezo wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Singida Big Stars utakaopigiwa kesho saa 10 jioni katika Uwanja wa Liti yamekamilika. Mgunda amesema wachezaji wote waliosafiri wako kwenye hali nzuri tayari kwa mchezo huo ambao malengo yao ni kuhakikisha tunapata alama tatu ugenini. Mgunda ameongeza kuwa anaamini mchezo utakuwa mgumu kutokana na ubora wa...