HIZI HAPA SIKU 60 ZA NDOA YA MGUNDA NA SIMBA…KAWEKA NA KUVUNJA REKODI KIBAO ZA WAZUNGU…
Kama hujui ni kwamba jana ilitimia miezi miwili kamili ambayo ni sawa na siku 60, tangu kocha Juma Mgunda atue Msimbazi kuinoa Simba na kuweka heshima ya kibabe. Simba ilimtambulisha kocha huyo iliyemchukua kutoka Coastal Union ili kukaimu nafasi ya kocha mkuu kuziba nafasi iliyoachwa na Mserbia Zoran Maki aliyesitisha ghafla mkataba na kuibukia Al Ittihad ya Misri. Kutua kwa kocha...
CHAMA: MOYO WANGU UMEYEYUKA …
Kiungo fundi wa klabu ya Simba na timu ya Taifa ya Zambia Claotus Chama amefanikiwa kukutana na shabiki wake kijana mdogo anaefahamika kwa jina la Masanja aliejichora jina la kiungo huyo mkononi mwake. Kijana huyo anaelelewa kwenye kituo cha kulelea watoto yatima kinachopatikana katika wilaya ya Kisarawe Mkoani Pwani, Siku kadhaa nyuma picha yake ilisambazaa kwenye mitandao ya kijamii akiwa...
MIKAKATI YA SIMBA QUEENS KUWA MABINGWA AFRIKA YAANZIA NA ‘MADEMU’ WA SAUZI…
Wawakilishi wa Tanzania na Afrika Mashariki na Kati ‘CECAFA’ ‘Simba Queens’ watacheza Nusu Fainali ya Pili ya Ligi ya Mabingwa Barani Afrika dhidi ya Mabingwa watetezi Mamelodi Sundowns. Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini, imemaliza kinara wa Kundi B wakifikisha alama 9, ikishinda michezo mitatu ya hatua hiyo, na kikanuni itakutana na Mshindi wa Pili wa Kundi A ambaye ni Simba...
MWAMNYETO AVUNJA UKIMYA YANGA…AFUNGUKA SIRI KIBAO ZA NABI..KISA SINGIDA .., MGUNDA ABADILI RATIBA…
Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la MwanaSpoti la leo Jumatatu.
WAARABU KWISHNEI…KOCHA MWEZAO AWASALITI ATOA SIRI KWA YANGA…WAWA NA KAGERE WAMTIA WASIWASI MGUNDA…
Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la Championi la leo Jumatatu.
NABI AIWAHI YANGA …AAGANA NA MASHABIKI…ASISITIZA KILA KITU KITAISHA TUNISIA…
KOCHA Mkuu wa Yanga, Mtunisia Nasreddine Nabi ameshangaa kuwaona watu kama wamefungwa katika mchezo wa kwanza huku akiwaambia mashabiki wa timu hiyo, kuwa wasikate tamaa bado wana nafasi ya kupata matokeo mazuri ugenini. Kauli hiyo ameitoa juzi wakati timu hiyo, inajiandaa na safari ya kuelekea nchini Tunisia kujiandaa na mchezo wa marudiano wa Play-Off wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi...
YANGA YAWAACHA WAARABU KWENYE MATAA…WAFIKIA MJI WA MBALI KABISA …WATUNISA HAWAAMINI….
HATIMAYE uongozi wa Yanga umewaacha kwenye mataa wapinzani wao Club Africain baada ya kufanikiwa kugundua mitego mizito, jambo lililowafanya kwenda kuweka kambi nje ya Jiji la Sousse nchini Tunisia. Yanga imekwea pipa kuelekea nchini Tunisia kwa ajili ya mchezo wa marudiano wa Kombe la Shirikisho dhidi ya timu hiyo, msafara ambao umejumuisha watu 41, kati yao wachezaji 22, viongozi wa...
KISA MASHABIKI KULALAMIKA SANA KUHUSU UWEZO WA NABI…YANGA WAFANYA MAAMUZI HAYA MAGUMU…
KUELEKEA mchezo wa marudiano dhidi ya Club Africain ya Tunisia, uongozi wa Yanga umeibuka na kuweka wazi kuwa mastaa wa timu hiyo wamesikia malalamiko ya mashabiki wao na kuapa kuyachukua kama motisha kuhakikisha wanawashangaza watu kwenye mchezo wa marudiano nchini Tunisia. Yanga Jumatano wiki hii wakiwa kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar walilazimishwa suluhu na wageni wao Club Africain katika mchezo...
HUYU HAPA NOVATUS DISMAS MTZ ANAYEWAPAGAWISHA WAZUNGU ULAYA…KAZI YAKE NI BALAAH NA NUSU…
Nguvu na akili ya mpira aliyonayo kiungo wa Kitanzania, Novatus Dismas Miroshi aliyezaliwa Septemba 2, 2002 ni miongoni mwa mambo ambayo yanamkosha kocha wake huko Ubelgiji, M'Baye Leye kwenye Klabu ya Zulte Waregem. Leye ambaye ni mchezaji wa zamani wa timu hiyo, alifichua hilo wiki chache zilizopita baada ya kuanza kumtumia mchezaji huyo wa zamani wa Azam na Maccabi Tel...
MGUNDA – TUNAMKANDA MTU GOLI ZA KUTOSHA HUKU PIRA LIKITEMBEA…HII NDIO SIMBA NAYOITAKA…
Kaimu Kocha Mkuu wa Simba SC Juma Ramadhan Mgunda amesema mwenendo wa kikosi chake unamfurahisha kutokana na kasi ya wachezaji wake, ambao wakipambana na kupata matokeo mazuri katika Mshike Mshike wa Ligi Kuu Tanzania Bara. Simba SC inashika nafasi ya pili kwenye msimamo wa Ligi Kuu ikiwa na alama 17, baada ya kuifunga Mtibwa Sugar mabao 5-0 Jumapili (Oktoba 30),...