BAADA YAPEWA UHAKIKA MSIMBAZI…MGUNDA NI MWENDO WA KUCHEKA TU….AFUNGUKA HAYA KUHUSU MASTAA WAKE..

0
Kocha Msaidizi Simba SC

Kuanza kurejea kwa Wachezaji waliokua majeruhi katika kikosi cha Simba SC, kumempa faraja Kaimu Kocha Mkuu wa Klabu hiyo Juma Ramadhana Mgunda, ambaye ana kazi ya kurejesha furaha ya Ubingwa wa Tanzania Bara msimu huu 2022/23. Mgunda amesema anafurahi kurudi kwa baadhi ya wachezaji wake muhimu waliokuwa majeruhi akiwamo mchezaji mwandamizi, Shomari Kapombe ambaye alimtumia kwenye mchezo uliopita wa Ligi...

BUMBULI NAYE AWASHA MOTO….” WACHA SIMBA WATUCHEKE KABISA..WANASTAHILI”…

0

Aliyekuwa Afisa Habari wa Young Africans Hassan Bumbuli ametoa maoni yake kwa uchungu kuhusu mwenendo wa Klabu hiyo katika Michuano ya Kimataifa, baada ya kuambulia sare ya bila kufungana jana Jumatano (Novemba 02) dhidi ya Club Africain ya Tunisia. Young Africans ilicheza mchezo huo wa Mkondo wa Kwanza hatua ya mtoano Kombe la Shirikisho Barani Afrika katika Uwanja wa Benjamin...

KISA SARE NA WATUNISIA JANA…MWAKALEBELA NAYE KASHINDWA KUJIZUIA…KAWASHUKIA JUMLA JUMLA KINA HERSI…

0

Aliyekua Makamu Mwenyekiti wa Young Africans Fredick Lameck Mwakalebela ni kama ametakata tamaa kwenye Michuano ya Kombe la Shirikisho Barani, kufuatia sare ya bila kufungana dhidi ya Club Africain ya Tunisia. Young Africans itacheza mchezo wa Mkondo wa Pili mjini Tunis-Tunisia Jumatano (Novemba 09), ikiwa na kazi kubwa ya kusaka matokeo ya ushindi ama sare ya mabao yatakayoipeleka Hatua ya...

MGUNDA AJIPA UJIKO KUHUSU OKRAH…” MIMI NDIYE NIMEBADILISHA..HAKUWA HIVI HUKO NYUMA”…

0
Habari za Simba leo

Kocha Mkuu wa Simba Sc, Juma Mgunda, amesema amembadilishia majukumu ya uchezaji kiungo wa timu hiyo, Augustine Okrah raia wa Ghana kutoka namba kumi nakumpeleka winga moja kwa moja ambapo anafanya vizuri. Mghana huyo ni kati ya wachezaji wapya waliosajiliwa na Simba msimu huu kwa ajili ya kukiongezea nguvu kikosi hicho. Kiungo huyo katika michezo mitatu iliyopita ya Ligi Kuu Bara,...

NABI: HUU NI MPIRA..AZIZI KI NI ZAIDI YA FEI TOTO UWANJANI…

0

Kocha Mkuu wa Young Africans Nasreddine Nabi amesema Kiungo Mshambuliaji kutoka nchini Burkina Faso Stephen Aziz Ki, anazidi kuimarika kutokana na uwezo ambao ameuonesha kwenye Michezo iliyowakabili msimu huu 2022/23. Ndani ya Ligi Kuu Tanzana Bara, Kiungo huyo ameshacheza michezo saba kati ya nane, akitumia dakika 468, ametupia mabao mawili, ana pasi moja ya bao. Kocha Nabi amesema kiungo huyo ni...

BAADA YA YANGA KUCHEZA VIBAYA JANA…SHAFIIH DAUDA KATOA USHAURI HUU KWA FEI TOTO…

0

Mchambuzi maarufu wa Soka nchini na mtangazaji wa Clouds Media, Shaffih Dauda amelishauri benchi kla ufundi la Klabu ya Yanga kumrejesha kiungo wake mshambuliaji, Feisal Salum 'Fei Toto' katika nafasi yake ili aweze kuwa na mchango mkubwa katika kikosi hicho na kupata matokeo. Kauli hiyo ya Shaffih inakuja baada ya Yanga wakiwa nyumbani katika Dimba la Mkapa jana kutoa sare...

RASMI…MGUNDA AKABIDHIWA JAHAZI SIMBA…ADEL ZRANE KUONGEZA NGUVU..’TRY AGAIN’ ATOA BARAKA…

0
Habari za Simba

Simba imeendelea kunoga baada ya juzi kuichapa Mtibwa Sugar mabao 5-0 huku kaimu kocha mkuu, Juma Mgunda akitaja majembe yake mapya ya ushindi kuwa ni Moses Phiri, Augustine Okrah, Pape Sakho, Clatous Chama na Habib Kyombo. Katika mchezo huo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa kwenye Uwanja wa Mkapa jijini Dar es Salaam, Simba iliibuka na ushindi mnono na kupanda hadi...

HILI HAPA JIBU LA ALLY KAMWE BAADA YA MASHABIKI KULIA NA UWEZO WA NABI…

0
Habari za Yanga

Afisa Habari wa Young Africans Ally Kamwe amewajibu baadhi ya Mashabiki wa Klabu hiyo, waliotoa maoni katika Vyombo vya Habari na kuandika katika Mitandao ya Kijamii, kuhusu matokeo ya mchezo wa jana Jumatano (Novemba 02), dhidi ya Club Africain ya Tunisia. Young africans iliambulia matokeo ya sare ya bila kufungana katika mchezo huo wa Mkondo wa Kwanza hatua ya mtoano...

DODOMA JIJI WARUDISHIWA FURAHA….KUWEKA HISTORIA NA YANGA…

0

Hatimaye burudani ya soka inarejea tena makao makuu ya nchi baada kupita mechi kadhaa za Ligi bila kuona timu yao ya Dodoma Jiji FC ikicheza katika uwanja wake wa nyumbani, Jamhuri jijini Dodoma. Uwanja wa Jamhuri ulifungiwa na Bodi ya Ligi kutokana na upungufu kadhaa ikiwemo sehemu ya kuchezea, hivyo kukosa sifa za kuandaa mechi za Ligi Kuu Bara msimu...

MGUNDA : SIMBA TUNAKAZI KUBWA….AFUNGUKA NAMNA UGUMU ULIVYO…

0

Kaimu Kocha Mkuu wa Simba SC Juma Ramadhan Mgunda amesema Kikosi chake kina kazi kubwa ya kuhakikisha kinakusanya alama za kutosha mwezi Novemba, ambao watakabiliwa na Michezo sita ya Ligi Kuu Tanzania Bara. Katika michezo hiyo sita, Simba itaanza kucheza dhidi ya Singida Big Stars katika Uwanja wa Liti mkoani Singida Novemba 9 kabla ya siku tatu baadaye kurejea Dar...