BAADA YA KUONA MAMBO MAGUMU…YANGA WAAZIMA WACHEZAJI SIMBA ILI WAFUZU CAF…
Mabingwa wa mara nyingi zaidi wa Tanzania, Yanga SC jioni ya leo watashuka kwenye dimba la Benjamin Mkapa kuliwakilisha taifa kwa mara nyingine tena kwenye mchezo wa mtoano wa kombe la Shirikisho barani Afrika ‘play off’ hatua ya kwanza, baada ya kuondoshwa kwenye mashindano ya klabu bingwa (CAFCL). Yanga watacheza mchezo wao majira ya saa 10:00 jioni, dhidi ya miamba...
DAKIKA KADHAA KABLA YA KIPUTE CHA CAF…ALLY KAMWE AWAPA ZA USO MASHABIKI YANGA….
Saa kadhaa zikisalia kabla ya kuanza kwa Mchezo wa Mkondo wa Kwanza Hatua ya Mtoano Kombe la Shirikisho Barani Afrika dhidi ya Club Africain ya Tunisia, Uongozi wa Young Africans unaamini wachezaji watapambana na kupata matokeo. Young Africans itakua mwenyeji wa mchezo huo utakaopigwa Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es salaam kuanzia mishale ya saa kumi jioni, huku ikihitaji...
GSM KAMA MO DEWJI…ATAKA MAKUBWA LEO…AWEKA MEZANI MIL 500…WACHEZAJI KAZI KWAO…
Haina Mbambamba! Ndivyo utakavyoweza kusema baada ya Kamati ya Mashindano ya Yanga, kutoa ahadi ya nusu bilioni, yaani Sh 500Mil kwa mastaa wake kama watafanikiwa kuipeleka timu hiyo katika hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika. Mastaa baadhi wa Yanga, Fiston Mayele, Khaliod Aucho, Yannick Bangala, Djigui Diarra, Feisal Salum ‘Fei Toto’ na Dickson Job, leo wanatakiwa kupambana watakapocheza...
BAADA YA KUONA MECHI NA WATUNISIA LEO NI NGUMU…NABI KAONA ISIWE TABU…AITAJA SIMBA…
Yanga leo itakuwa uwanja wa Mkapa kuwakabili Watunisia katika mechi ya mtoano kuwania kufuzu hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika, lakini kocha Nasreddine Nabi amesema ana kazi kubwa ya kuhakikisha washambuliaji wake wanatumia vyema nafasi za kufunga ili kuimaliza mechi nyumbani. Yanga leo Jumatano itaikaribisha Club Africain ya Tunisia kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam...
DK KADHAA KABLA YA YANGA KUKIPIGA NA WATUNISIA…MTOTO WA NABI AJITOKEZA NA HILI….BABA YAKE AKIFELI NDIO BASI TENA…
Yanga ina dakika 180 kuamua hatma yake kimataifa msimu huu dhidi nya Club Africain ya Tunisia. Ni mechi mbili ambazo zitaamua nani akacheze makundi ya Kombe la Shirikisho. Mechi ya kwanza ni leo, Novemba 2 na marudiano Novemba 9. Nitakupa tathmini ya kikosi cha Club Africain kwa ubora na udhaifu wa kila mmoja wao na tathmini hii nimeshea pia na...
PAMOJA NA KUITA WAGANGA WA KIENYEJI…MIKOSI YAZIDI KUMUANDAMA POGBA….
Kiungo wa klabu ya Juventus na timu ya taifa ya Ufaransa Paul Pogba ni wazi atakosekana nchini Qatar kwenye michuano ya kombe la dunia inayotarajiwa kuanza mwezi huu baada ya kupata majeraha mapya siku kadhaa zilizopita. Hii imekuja siku chache baada ya kiungo huyo kupona majeraha yake ya goti aliyoyapata mwezi wa nane wakati anajiunga klabuni hapo akitokea klabu ya...
BAADA YA KURUDI UWANJANI…KAPOMBE AFUNGUKA MAZITO ALIYOYAPITIA…AMTAJA ALIYEMUOKOA…
Beki wa Kulia wa Simba SC Shomari Salum Kapombe amefunguka kwa mara ya kwanza baada ya kurejea kwenye kikosi mwishoni mwa Juma lililopita, wakati wa mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Mtibwa Sugar. Simba SC ilikua mwenyeji katika mchezo huo uliounguruma Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es salaam, huku ikiibuka na ushindi wa mabao 5-0 na kujiongezea alama kwenye...
WASHINDI WA PROMOSHENI YA BODABODA NA SIMU WAPATIKANA….
Kila mmoja ni Bingwa kwenye uwanja wake! Meridianbet walitoa nafasi ya kutamba ukibashiri kwa USSD bila kutumia Intaneti, ukibeti na kitochi au Simu janja, na ndivyo walivyofanya ndugu Godson Alex wa Chalinze-Ubena Nzomonzi na Denice wa Shinyanga Mjini. Ile promosheni iliyokuwa ikifanyika pale nyumba ya Mabingwa wa kubashiri Tanzania na Afrika Mashariki, Meridianbet hatimaye juzi tarehe Oktoba 31 ilitamatika na...
BAADA YA KUONA MWAMNYETO ‘ANAZINGUA’ KILA AKIPANGWA…KAZE AAMUA KUJIMALIZA KWA BACCA…
Kocha Msaidizi wa Yanga Cedric Kaze amesema Ibrahim Bacca amewaongezea wigo katika machaguo ya wachezaji wa kuwatumia kwenye safu ya ulinzi. Bacca ameonyesha utayari wa kutumika katika kikosi cha kwanza kwenye mchezo wa shirikisho dhidi ya Club Africain baada ya kuwa na kiwango kizuri katika mechi mbili zilizopita dhidi ya KMC na Geita Gold "Bacca amecheza vizuri mechi zilizopita hili jambo...
ILI KUEPUKA MAKOSA TENA…NABI KAONA ISIWE TABU…KAPANGA KUTUMIA MBINU HIZI ZA SIMBA LEO…
Kocha Mkuu wa Yanga, Mtunisia, Nasreddine Nabi, amepanga kuingia na mbinu mpya katika mchezo wa Play-Off wa Kombe la Shirikisho Afrika atakapocheza dhidi ya Club Africain ya Tunisia. Mbinu hiyo ni ya kupata ushindi wa mabao mengi nyumbani, ambayo inatumiwa na Kocha Mkuu wa Simba, Juma Mgunda hadi akafanikisha timu yake kufuzu hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika...