BAADA YA KUPOKEA KIPIGO CHA ‘MWAKA UKOME JANA’…KOCHA MTIBWA SUGAR AIBUKA NA HOJA HIZI NZITO…
Kuumia kwa Mlinda Lango chaguo la Kwanza, adhabu mbili za Kadi Nyekundu na kukosekana kwa baadhi ya wachezaji vijana waliopandishwa kutoka kikosi B, kumetajwa kama sababu ya Mtibwa Sugar kupoteza mchezo dhidi ya Simba SC jana Jumapili (Oktoba 30). Mchezo huo uliopigwa Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es salaam ulishuhudia wenyeji Simba SC ikichomoza na ushindi wa 5-0, huku...
KUELEKEA HATUA YA MAKUNDI CAF….HIZI HAPA REKODI ZA KUTISHA ZA MNYAMA…ATAKAYEJICHANGA ANAKULA ZA KICHWA…
Simba inasubiri Shirikisho la Soka Afrika (CAF) lipange droo ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika itakayofanyika Novemba ili kujua itaangukia kwenye kundi gani na wapinzani wake watatu watakuwa kina nani. Makala haya inakuletea mafanikio ya Simba kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika na Kombe la Shirikisho Afrika tangu 2013 na kile ilichokifanya katika michuano hiyo yenye fedha nyingi inayokutanisha miamba ya...
BAADA YA KUONA KISINDA KAMA HAMA KITU VILEE…YACOUBA KAMTAZAMA WEE..KISHA KAIBUKA NA HILI…
Tangu arudi Yanga winga Tuisila Kisinda hajawa na kiwango bora, lakini nyuma ya pazia Yacouba Sogne ameendelea kupiga tizi na kama atakuwa fiti huenda akarejeshwa kikosini dirisha dogo la usajili litakalofunguliwa Desemba. Iko hivi. Kisinda yupo Yanga kwa mkopo wa mwaka mmoja akitokea RS Berkane ya Morocco na ametimiza idadi ya wachezaji 12 wa kigeni kikosini, lakini mabosi wa chama...
YANGA WAPENYEZEWA SIRI 6 ZA KUWAUA WAARABU…DEWJI AWAPA SIMBA STRAIKA LA KAZI…
Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la Championi la leo Jumatatu.
SIMBA HII NI MZIKI MNEEE….WATUNISIA WATUA NA ‘MAWENGE’…NABI AWAFANYIA KITU MBAYA…
Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la MwanaSpoti la leo Jumatatu.
MAXIME ALAMBA DODO….KAGERA SUGAR WAMPIGIA SIMU MOJA TU….
Klabu ya Kagera Sugar imetangaza kuingia mkataba na kocha Mecky Maxime kurithi mikoba ya kocha Francis Baraza ambaye waliachana nae hivi karibuni. Kwa mujibu wa taarifa ya Kagera Sugar ni kwamba Maxime atahudumu hapo kama kocha mkuu hadi mwisho wa msimu huu wa 2022/2023 wa NBC Premier League.
A-Z JINSI SIMBA WALIVYOIFANYIA ‘UMAFIA’ MTIBWA SUGAR JANA…MWAMUZI AHUSIKA…
BAADA ya kushindwa kupata bao ndani ya dakika 180 kinara wa mabao Simba, Moses Phiri amefunga bao lake la tano na kutoa pasi moja ya bao timu yake ikiibuka na ushindi wa mabao 5-0 dhidi ya Mtibwa Sugar mchezo wa Ligi Kuu NBC. Mabao mawili ya Sakho, Okrah, Mzamiru na Phiri wakifunga moja moja yameipa Simba pointi tatu muhimu na...
FT: SIMBA SC 5 – 0 MTIBWA SUGAR ….SAKHO AIBUKA NA STAILI MPYA…AKPAN AKUMBUKWA…
KLABU ya Simba imeamua kuifanyia ukatili Mtibwa Sugar baada ya kuinyeshea mvua ya magoli 5-0 na kuondoka na ushindi huo muhimu wa ligi kuu Tanzania bara. Kipindi cha kwanza Simba Sc ilifanikiwa kupata bao kupitia kwa Mzamiru na kuwapeleka mapumziko wakiwa mbele ya bao 1-0 huku Mtibwa akiwa nusu baada ya mchezaji wake Kitenge kupewa kandi nyekundu. Kipindi cha pili Simba...
MERIDIANBET SOKA BONANZA YAWA NURU KWA VIPAJI VYA VIJANA KIWALANI..
Meridianbet Soka Bonanza wiki hii lilikuwa pale maeneo ya Yombo Kiwalani, kwenye ule uwanja wenye historia kubwa ya matukio ya kimichezo, na timu nzima kutoka Meridianbet iliandika historia nyingine ya kuwapa burudani ya msimu wakazi wa maeneo hayo kwa Soka safi na Zawadi za kutosha kama Jezi, Mipira, Soksi na Glovu na zawadi nyingi. Ilikuwa ni kama ndoto kwa vijana...
ARSENAL ‘KUFA NA MTU’ LEO…MAN UTD USO KWA USO NA MOYES..
Baada ya kutopata ushindi katika mechi mbili mfululizo zilizopita za mashindano tofauti, Arsenal leo ina nafasi ya kupooza machungu wakati itakapoikaribisha Nottingham Forest katika Uwanja wa Emirates. Sare ya bao 1-1 ugenini dhidi ya Southampton, Jumapili iliyopita iliifanya Arsenal iangushe pointi mbili muhimu ambazo ziliwapunguza kasi yao katika mbio za kuwania ubingwa wa Ligi Kuu ya England (EPL) msimu huu. Siku...