WAARABU 6 WAIMEZEA MATE SIMBA CAF…WAKIKOSWA KOSWA SANA..WATAPANGWA NA HAWA…
KWA mara nyingine Simba imeendelea kuwa na rekodi nzuri kimataifa. Ndiyo klabu pekee ya Tanzania iliyofuzu hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika inayoanza Februari mwaka lakini droo itachezeshwa mapema mwezi ujao. Simba iko chungu namba tatu na timu za CR Belouizdad na JS Kabliye kutoka Algeria na Al Hilal ya Sudan ambayo bado inakumbukwa kwani iliinyima Yanga Yanga...
DIARRA AANZA ‘KUPOKOLEWA MAWE’ YANGA….MAKOSA YAKE YAIPONZA TIMU…
KITENDO cha kipa wa Yanga, Diarra Djigui kuruhusu mabao matano katika mechi tano alizocheza kumewaibua mafaza kumchambua namna anavyoruhusu nyavu zake kutikiswa. Diarra alikuwa kipa bora msimu uliopita lakini msimu huu ameanza vibaya baada ya mechi nne kuruhusu mabao matano kati ya mechi tano alizocheza kabla ya mchezo wa jana dhidi ya KMC. Kipa huyo aliruhusu bao mchezo dhidi ya Polisi...
MGUNDA: UCHOVU ULIIMALIZA SIMBA SC…
KAIMU Kocha Mkuu wa Simba, Juma Mgunda amesema sababu ya kupoteza mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Azam FC ni uchovu waliokuwa nao wachezaji wake baada ya kucheza mechi mfululizo bila kupata muda wa kutosha wa kupumzika. Huo ni mchezo wa kwanza kwa Simba kupoteza msimu huu na kocha huyo ameeleza kuwa kipigo hicho hapaswi kumlaumu mchezaji wala kiongozi yeyote...
INJINI HERSI AIBUKA NA HILI YANGA KUHUSU MAKUNDI CAF…SIMBA KUJIULIZA TENA LEO…
Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la MwanaSpoi la leo Jumapili.
FT: GEITA GOLD 0-1 YANGA SC….MORRISON AFUFUKIA MWANZA…MAKAMBO KIMEO…
MABINGWA wa Ligi kuu ya NBC Tanzania bara timu ya Yanga imeendeleza rekodi yao ya kutofungwa katika mechi 45 za ligi baada ya kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Geita Gold mchezo uliopigwa uwanja wa CCM Kirumba, jijini Mwanza. Shujaa wa Yanga ni Winga mtukutu Bernard Morrison aliipatia bao timu yake mnamo dakika ya 45 kwa mkwaju wa...
WAKATI SIMBA WAKITAMBA KWA UBORA…YANGA WAIFUNIKA KWA JEZI BORA AFRIKA NZIMA…
Jezi ya nyumbani ya @yangasc imetajwa kama moja kati ya jezi bora za vilabu vya mpira barani Afrika ikiwa inashika nafasi pili nyuma ya jezi ya Zamalek SC @zscofficial ya nchini Misri. Jezi hiyo ya Yanga imetajwa kama moja ya jezi zilizotengenezwa kwa ubora wa hali ya juu pamoja na ubunifu wa kipekee ambao ulifanywa na @sheriangowi . Jezi ya Simba...
EXCLUSIVE: KAGERE AANIKA A-Z ALIVYOFANYIWA NA SVEN NA KILICHOMTOKEA MPAKA SIMBA WAKAMUACHA…
Akiwa kwenye maandalizi ya msimu mpya nchini Misri na kikosi cha Simba, ghafla mshambuliji, Meddie Kagere alirejea nchini, wakati mashabiki wakijiuliza kulikoni?, akaibuka kwenye kikosi cha Singida Big Stars ambacho anakitumikia msimu huu. “Ilikuwa lazima iwe hivyo, japo viongozi wengi hawakupenda niondoke, lakini sikutaka mimi niwe ni sababu,” anasema Kagere katika mahojiano maalumu na gazeti la Mwanaspoti. Kagere ambaye alicheza Simba...
MWAMNYETO AJIONDOA YANGA….SIMBA WAVURUGA MISHE ZA NABI TZ…MGUNDA ABAKI NA LAKE…
Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la Championi la leo Jumamosi.
KISA KIPIGO TOKA AZAM FC….MGUNDA KAWAKA KINOMA HUKO SIMBA…HATAKI SAMAHANI….
Kocha wa muda wa Simba Sc, Juma Ramadhani Mgunda amesema kwamba hachukulii uchovu kama sababu ya kuwafanya wapoteze mchezo wao dhidi ya Azam FC. Mgunda amesema kwani ratiba imepangwa ili wao kama timu waweze kuifuata na kuikamilisha licha ya uchovu uliopo kwa wachezaji wake kutokana na ratiba ngumu waliyokuwa nayo. "Fatigue ina sehemu kubwa sana lazima nikiri hilo lakini kuna vitu...
GEITA GOLD WAPANGA “KUTIA MCHANGA KITUMBUA CHA NABI” WACHEZAJI WAHAIDIWA MAMILIONI….
Klabu ya Geita Gold FC imejinasibu kuwa tayari kwa mchezo wa leo Jumamosi (Oktoba 29) wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Mabingwa Watetezi Young Africans. Miamba hiyo ya Ligi Kuu Tanzania Bara itapapatuana katika Uwanja wa CCM Kirumba kuanzia mishale ya saa kumi jioni, huku kila upande ukiwa na hamu ya kuzinasa alama tatu za mchezo huo. Kaimu Katibu Mkuu...