KUELEKEA MECHI YA KESHO…ZAHERA AMNYOOSHEA KIDOLE MAYELE…AFUNGUKA SIMBA WALIVYO…

0

Kocha Mwinyi Zhera amedai kuwa kuelekea kwenye mchezo wa derby ya Kariakoo baina ya Yanga dhidi ya Simba myama atakufa uwanjani siku hiyo licha ya mchezo kuwa mgumu. Zahera amesema hayo kupitia east africa radio huku akiongeza kuwa Simba itaingia kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa kwa kujiamini hasa kutokana na maendeleo yake mazuri kimataifa. ”Nadhani tutashinda mchezo wa derby, tunao wachezaji...

MZUKA WA MECHI ZENYE ODDS KUBWA WIKI HII UKO HIVI NDANI YA MERIDIANBET…

0

Yule mtu aliyesema maisha bila soka hayaendi wala hakukosea, ni kweli kabisa mpira ni maisha na maisha ni mpira. Sasa kamata mzuka kamili wa mechi kali wiki hii, mzuka huu umepewa nguvu kubwa na Meridianbet kwa ODDS kubwa. EPLitaendelea tena kwa michezo kadhaa, macho ya wengi yatakuwa kwenye game ya Chelsea atakaowakaribisha vijana na Eric Ten hag ambao wametoka kuwabagaza ...

MAYELE ATAMBA KUMALIZANA NA SIMBA MAPEMAA…PHIRI ANG’ATA MENO…MGUNDA MHH…

0

Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la Champoni la leo .

KUELEKEA KARIAKOO DABI…SURE BOY ATULIZA PRESHA YANGA…NABI ROHO KWATUU..

0

Kiungo Mzawa Salum Abbubakari ‘Sure Boy’ huenda akawa sehemu ya kikosi cha Young Africans kitakachoikabili Simba SC Jumapili (Oktoba 23), kwenye mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara. Young Africans inayoshikilia taji la Ligi Kuu itakua mwenyeji wa mchezo huo uliopangwa kuanza mishale ya saa kumi na moja jioni, huku ikijivunia kumbukumbu nzuri ya kuifunga Simba SC mara mbili mfululizo kwenye...

WAKATI YANGA WAKIWAZA DABI…MO DEWJI AENDELEA KUTANGAZA NEEMA MPYA SIMBA…

0

Mwekezaji na Rais wa heshima wa klabu ya Simba Mo Dewji bado ameendelea kuiota ndoto ya kuiona klabu ya Simba ikibeba Ubingwa wa Afrika siku moja baada ya kufanya uwekezaji klabuni hapo. Klabu ya Simba imekua ikifika hatua ya makundi na robo fainali kwa mara kadhaa sasa kutokana na uwekezaji alioufanya Mo dewji klabuni hapo kwa kipindi cha misimu isiyopungua...

YANGA MMEMSIKIA MOSES PHIRI HUKOO…’ATAWAGONGA AISEE NYIEE’….

0
Habari za Simba

Mshambuliaji kutoka nchini Zambia Moses Phiri ameahidi mazito baada ya kuipeleka Klabu ya Simba SC hatua ya Makundi Ligi ya Mabingwa Barani Afrika msimu huu 2022/23, huku akiwa kinara wa kufumania nyavu katika kikosi cha wababe hao wa Msimbazi. Mshambuliaji huyo aliyetua Simba SC mwanzoni mwa msimu huu akitokea Zanaco FC ya nchini kwa Zambia, alifunga bao la ushindi dhidi...

BAADA YA KUONEKANA WAKO KINYOONGE SANA…NABI ‘AFINYIWA’ SIRI ZA SIMBA KIJASUSI…

0

Aliyekuwa Kocha Mkuu wa kikosi cha Yanga, Kostadin Papic amempa mbinu kocha Mkuu wa Yanga, Nassredine Nabi kuwachezesha wazawa kuliko nyota wa kigeni. Kikosi cha Yanga tayari kimeanza maandalizi ya kujiandaa na mchezo wa ligi kuu dhidi ya Simba, Oktoba 23 mwaka huu kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar. Akizungumzia Dabi hiyo ya Kariakoo, Papic amesema mchezo huo utakuwa mgumu lakini timu...

ZAHERA: ‘MIMI SIO SHABIKI WA YANGA’…AFUNGUKA A-Z KUHUSU ISHU YA MKATABA WAKE…

0

Kocha wa Soka, Mwinyi Zahera raia wa Congo DR amefunguka kuwa amemaliza mkataba wake ndani ya Klabu ya Young Africans SC. kauli hiyo ya Zahera inakuja baada ya kuonekana katika vyombo vya habari akiwasema baadhi ya wacheaji wa Yanga kama beki Djuma Shaban kuwa unene unamuangusha. "Mimi ni Yanga naipenda sana Yanga, mkataba wangu na Yanga umemalizika, uliisha Septemba 30, 2022. "Japo...

JEMEDARI SAID NAYE AWAFUNDA YANGA…’AWAPA MAKAVU’ KUHUSU MICHUANO YA CAF..

0
Habari za Simba

Mchambuzi wa Michezo nchini Tanzania Jemedari Saidi Kazumari amesema umefika wakati kwa Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Young Africans kuthibitisha ubora wao Kimataifa, kupitia Michuano ya Kombe la Shirikisho. Young Africans ilitupwa Kombe la Shirikisho Barani Afrika, baada ya kutolewa Ligi ya Mabingwa mwishoni mwa juma lililopita kwa kufungwa na Al Hilal ya Sudan kwa ushindi wa jumla wa 2-1. Jemedari...

KUELEKEA KARIAKOO DABI…MGUNDA AIPA JEURI SIMBA…MABOSI WALAMBA ‘MDOMO’…

0

Uongozi wa Simba SC una imani kubwa na Kaimu Kocha Mkuu Juma Ramadhan Mgunda ataiongoza vizuri timu hiyo na kurejesha furaha kwa mashabiki wa klabu hiyo dhidi ya Young Africans. Kocha Mgunda atakutana na Young Africans kwa mara ya kwanza Jumapili (Oktoba 23) tangu alipotangazwa kuwa Kaimu Kocha Mkuu wa Simba SC mapema mwezi uliopita, baada ya kuondoka kwa Kocha...