OKWA KWA NINI HACHEZI…?UKWELI HUU HAPA…MAYELE AIVIZIA SIMBA KWA KUICHUNGULIA….
Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la MwanaSpoti la leo Alhamisi.
ACHANA NA MESSI NA RONALDO…HUYU DOGO NDIYE MWANASOKA TAJIRI ZAIDI DUNIANI….ALAFU HANA ‘DEMU’ ETI…
Kama unaamini Christiano Ronaldo au Lionel Messi ndio wachezaji matajiri duniani basi unajidanganya hao wote wanatuliza kitenesi mbele ya huyu dogo ninayekwenda kukutajia. Anaitwa Faiq Bolkiah mwenye miaka 24 akizaliwa 9 may 1998 Los Angeles Marekani. Faiq ni mtoto wa prince Jefri Bolkiah ambaye ni mdogo wake na Hassanal Bolkiah Sultan wa Brunei. Anatajwa ndiye mcheza soka tajiri zaidi ulimwengu akimiliki...
MASTAA SIMBA WAANIKA SABABU ZA YANGA KUPIGWA ZA USO SUDAN….
Wachezaji wa zamani wa Simba SC, Abdallah Kibaden na Bakari Malima, wameibuka na kusema kuwa sababu kubwa iliyopelekea Yanga kuondolewa kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika ni kutokana na kukosa uzoefu kama ilivyo kwa wapinzani wao Simba. Wakongwe hao wametoa kauli hiyo kufuatia Yanga kuondolewa kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika kwa jumla ya mabao 2-1 dhidi ya Al Hilal...
KUELEKEA KARIAKOO BADI….ALLY KAMWE AWATISHIA ‘NYAU’ SIMBA….
Klabu ya Yanga wameanza tambo kuelekea mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Simba SC unaotarajiwa kuchezwa wikiendi hii kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar. Siku tano zimebaki kabla ya watani hao wa jadi kumenyana katika mchezo wa mzunguko wa kwanza wa Ligi Kuu Bara msimu wa 2022/23. Mtu wa karibu na benchi la Ufundi la Yanga, amesema kuwa: “Kila mmoja anajua...
SIMBA QUEENS MGUU SAWA KUANZA KUITIKISA AFRIKA…CAF YAWABEBA KWENYE RATIBA…
Simba Queens itaanza harakati zake za kuutafuta ubingwa wa Afrika kwa kuwavaa wenyeji, ASFAR FC katika mchezo wa kwanza wa Ligi ya Mabingwa Afrika utakaofanyika Oktoba 30 kwenye Uwanja wa Prince Heritier Moulay nchini Morocco. Mashindano hayo yatakayoanza Oktoba 30 hadi Novemba 13 yanashirikisha timu nane ambapo kutoka kundi A ni Simba Queens (Tanzania), ASFAR FC (Morocco), Green Buffaloes (Zambia)...
BAADA YA KUBEBA TUZO YA Ballon D’Or JUZI…BENZEMA ATAJA TIMU ATAKAYOSTAAFIA SOKA…
Staa wa klabu ya Real Madrid na timu ya Taifa ya Ufaransa Karim Benzema, amesema anapanga kustaafia Madrid kwa kuwa haoni nafasi ya kwenda mahala pengine. Staa huyo mshindi wa tuzo ya Ballon D'or amezungumza hayo katika hafla ya ugawaji wa tuzo hizo jana usiku wakati akiibuka mshindi wa tuzo hiyo pale alipoulizwa na mwandishi wa habari kuhusu hatma yake...
MAYELE : SUDAN PALIKUWA PAGUMU SANA…LAZIMA TUFANYE JAMBO…
Straika wa Yanga, Fiston Mayele amesema mazingira magumu waliyokutana nayo kwenye mchezo wa marudiano dhidi ya Al Hilal ya Sudan ndiyo yaliyochangia wao kupoteza mchezo huku viongozi wakisisitiza kuweka nguvu michezo yao ijayo ikiwemo mechi yao na watani, Simba itakayochezwa Oktoba 23, mwaka huu. Yanga iliondolewa kwenye mashindano hayo kwa jumla ya mabao 2-1 baada ya kutoka sare ya bao...
VIPERS WAITAMANI SIMBA LIGI YA MABINGWA AFRIKA…WATAMBA KUITOA ‘SHURUBU’….
Mabingwa wa Soka nchini Uganda Vipers SC wametangaza hadharani kuitamani Simba SC kwenye Michuano ya Ligi ya Mabingwa Barani Afrika, Hatua ya Makundi msimu huu 2022/23. Vipers SC ilitinga Hatua ya Makundi kwa kuwaondoa Mabingwa mara tano wa Ligi ya Mabingwa Afrika TP Mazembe kwa changamoto ya Penati, mjini Lubumbashi-DR Congo. Meneja Masoko wa Klabu ya Vipers Robert Sentongo amesema, anaamini...
MPYA KUTOKA MERIDIANBET, PLANET POWER YA EXPANSE STUDIOS….!
Kwa wataalamu wa kasino ya mtandaoni ya wanafahamu vyema kwa nini wachague sloti ya kasino ya mtandaoni, lakini wanafahamu zaidi kilichopo kwenye stoo ya Expanse Studios kwa ajili yao. Kazi mpya kutoka Expanse Studio imewasili kwenye kasino ya Meridianbet! Ukiacha michezo mingine bora inayotolewa na Expanse Studio, unayoweza kuipata kwenye Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet, Expanse wamekuletea mzigo mwingine mpya...
KUELEKEA MECHI DHIDI YA YANGA…HUU HAPA MSIMAMO WA SIMBA KUENDELEA NA MGUNDA…
Meneja wa Habari na Mawasilino wa Simba SC Ahmed Ally amesema wana imani kubwa na Kocha Juma Mgunda kuelekea mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Young Africans. Miamba hiyo ya Kariakoo-Dar es salaam inatarajia kukutana Jumapili (Oktoba 23) Uwanja wa Benjamin Mkapa, huku Young Africans wakiwa mwenyeji. Ahmed Ally ameweka wazi kuwa na imani na Kocha Mgunda alipohojiwa na...