HIZI HAPA SABABU ZA SHABANI DJUMA KULALAMIKIWA YANGA…

0
Habari za Yanga SC

Beki wa Kulia wa Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Young Africans Djuma Shaban amelalamikiwa kwa kushindwa kujitunza na kuruhusu mwili wake kuongezeka uzito kupita kiasi. Lawama hizo kwa Beki huyo kutoka DR Congo zimetolewa na Mwinyi Zahera aliyewahi kuwa Kocha Mkuu wa Young Africans, alipohojiwa na EFM kupitia Kipindi cha Sports HQ, mapema jana Jumanne (Oktoba 18). Zahera ambaye amewahi kufanya...

ZAHERA AITUMIA SIMBA KUTUPA MADONGO JANGWANI….ADAI YANGA HAWAJIAMINI…

0

Aliyekua Kocha wa Young Africans Mwinyi Zahera amesema anaamini kujiamini na utayari wa Wachezaji wa Simba SC ndio sababu kubwa ya klabu hiyo kufanikiwa kufuzu hatua ya Makundi mara nyingi zaidi ya klabu nyingine yoyote Tanzania na Afrika Mashariki. Simba SC imetinga hatua ya Makundi Ligi ya Mabingwa Barani Afrika mara ya tatu ndani ya miaka mitano, hali ambayo imedhihirisha...

KARIAKOO DABI…MO AIMALIZA YANGA MAPEMAAA…MGUNDA JEURI TUPU…NABI AINAMISHA KICHWA….

0

Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la Championi la leo Jumatano.

ISHU YA AJIBU KUDODA AZAM FC…MWINYI ZAHERA AIBUKA NA UFAFANUZI HUU…ADAI ANAMAPUNGUFU MENGI..

0

Aliyekua Kocha Mkuu wa Young Africans Mwinyi Zahera amemkingia kifua Kiungo Ibrahim AJibu, ambaye anadaiwa kushuka kiwango tangu alipoondoka Simba SC na kuhamia Azam FC. Ajibu alisajiliwa Azam FC Januari 2022 akitokea Simba SC ambako alikosa nafasi ya kucheza katika kikosi cha kwanza chini ya Kocha Franco Pablo Martin aliyoondoka Msimbazi mwishoni mwa msimu uliopita. Mwinyi Zahera ambaye aliwahi kufanya kazi...

SIMBA YAFICHUA SIRI NZITO MICHUANO YA KIMATAIFA…MAMBO MAKUBWA YANUKIA….

0

Uongozi wa Simba SC umefichua Siri ya Mafanikio katika Michuano ya Kimataifa, baada ya kufanikiwa kurejea Hatua ya Makundi Ligi ya Mabingwa Barani Afrika msimu huu 2022/23. Simba SC ilitinga hatua hiyo Jumapili (Oktoba 16) kwa ushindi wa 1-0, ambao unaifanya klabu hiyo kupata ushindi wa jumla wa mabao 4-1, baada ya kushinda ugenini Luanda-Angola 1-3, Oktoba 09. Mjumbe wa Bodi...

PAMOJA NA YOTE…LAKINI HILI SIMBA HAMUMTENDEI HAKI MGUNDA….ACHENI HIZO BANA….

0

Mwaka 1998, Tito Mwaluvanda aliiongoza Yanga kuichapa Coffee ya Ethiopia mabao 6-1 na hivyo vigogo hao wa Tanzania kuwa moja ya timu nane zilizofuzu kucheza robo fainali ya Ligi ya Mabingwa wa Afrika ambayo kwa mara ya kwanza ilichezwa kwa mtindo wa ligi na katika makundi. Lakini ushindi huo ukawa mwisho wa kocha huyo mzawa kuifundisha Yanga; alionekana kiwango chake...

KUELEKEA MECHI NA DABI KESHO KUTWA..AHMED ALLY AIBUKA NA ‘HOJA YA HAJA’ HII KWA YANGA…

0
Ahmed Ally Simba SC

Kuelekea mchezo wa Kariakoo Dabi unaotarajiwa kupigwa Jumapili hii, Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba, Ahmed Ally ameweka wazi kuwa watani zao Yanga wanafahamu ukubwa wa Simba ndiyo maana mara zote huingia kwa kuwakamia katika mchezo dhidi yao, lakini akawachimba mkwara mzito kwa kusema kwa moto walionao sasa basi wajiandae. Mara baada ya kumaliza ratiba za michezo ya Ligi...

BAADA YA YANGA KUTUPWA NNJE LIGI YA MABINGWA…MANARA ASHINDWA KUJIZUIA…ABADILI GIA ANGANI ‘CHAP’ HARAKA…

0
Habari za Yanga

Ofisa Mhamasishaji wa Klabu ya Yanga, Haji Manara amewatuliza wachezaji wa Yanga baada ya kuondolewa katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Barani Afrika kwa kipigo cha bao 1-0 na AL Hilal juzi Jumapili. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Manara ameandika; "Football haipo vile tunavyodhani Sisi huku mtaani, wala sio mchezo wenye guarantee ya matokeo utakayo wewe. Watu wa kisasa wanasema ni...

KISA KUFUZU MAKUNDI LIGI MABINGWA….KIGOGO SIMBA AFUNGUKA ‘WANAVYOCHEKEA KOONI’…ATAJA MIPANGO…

0

Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi Simba SC Mulamu Ng’ambi amesema, kufuzu Hatua ya Makundi Ligi ya Mabingwa Barani Afrika kwa kuitupa nje CD Primeiro de Agosto ya Angola sio habari sio habari kubwa kwao. Simba SC ilitinga hatua hiyo Jumapili (Oktoba 16) kwa ushindi wa 1-0, ambao unaifanya klabu hiyo kupata ushindi wa jumla wa mabao 4-1, baada ya kushinda...

BAADA YA KUPIGWA NA WAARABU WEUSI…CAF WAIPA YANGA WAARABU WEUPE….WAKISHINDWA NA HAPO WATABAKI ‘KUCHAMBUA MCHELE’…

0

Wawakilishi wa Tanzania kunako michuano ya Kombe la Shirikisho, timu ya Yanga hatimaye wameshusha pumzi baada ya kujua wanacheza na nani hatua ya mtoano kufuzu kwa makundi Kombe la Shirikisho Afrika. Yanga inakutana na Club Africain kutoka Tunisia ambao wametinga hatua hiyo baada ya kuvurumisha timu ya Kipanga FC ya Zanzibar mabao 7-0. Yanga inaanzia nyumbani mchezo ambao utapigwa Novemba 2...