KISA USHINDI WA SIMBA JANA…RAIS SAMIA ATUMA KONGOLE MSIMBAZI…YANGA WACHUNIWA…..

0

Rais Samia Suluhu Hassan, amewapongeza Simba SC kwa kufanikiwa kutinga hatua ya Makundi ya Klabu Bingwa Afrika. Simba ilitinga hatua hiyo jana Oktoba 16, 2022 katika Uwanja wa Benjamini Mkapa jijini Dar baada ya kuwafunga goli moja kwa bila vijana wa Agosto kutoka Angola. Kupitia ukuara wake wa Instagram ambao upo varrified, Rais Samia aliposti picha ya kikosi cha Simba na...

HAKUNA KULAZA DAMU….BAADA YA KUPASUKA JANA….YANGA WARUDI TZ NA HASIRA….SIMBA WANACHEEKAA…

0
Habari za Yanga leo

Kikosi cha Young Africans kimeanza safari mapema leo Jumatatu, Oktoba 17, 2022 asubuhi kurudi nyumbani ikitokea Sudan kupitia Ethiopia. Yanga ilikuwa Sudan kwa ajili ya mchezo wao wa Ligi ya Mabingwa barani Afrika na kukubali kipigo cha goli 1-0 kutoka kwa wenyeji wao Al Hilal Omdurman katika mechi iliyochezwa Khartoum. Kwa matokeo hayo, Yanga, ambao ni mabingwa wa Tanzania Bara wametolewa...

KUELEKEA MAKUNDI CAF…SIMBA NA WABABE WA YANGA WAWEKWA KAPU MOJA….ISHU ITAKUWA HIVI…

0

Timu 16 zilizofuzu katika hatua ya Makundi ya Kombe la Klabu Bingwa Barani Afrika 2022-2023. Al Ahly - Misri Al Hilal SC - Sudan Al Merrikh - Sudan Petro de Luanda - Angola Coton Sport - Cameroon Cr Belouizdad Off - Algeria Eperance - Tunisia Horoya Athlétic Club - Guinea Jeunesse Sportive de Kabylie - Algeria Mamelodi Sundowns -...

BAADA YA KUTINGA MAKUNDI….SIMBA WAPANGA KUSAFISHA MASTAA HAWA ILI KUSAJILI VYOMBO VIPYA…

0

Mabosi wa Simba wamepanga kuongeza majembe mawili mapya dirisha dogo, huku beki wa kati, Mohamed Ouattara akihesabiwa siku kabla kuonyeshwa mlango wa kutokea. Za Ndaani Kabisa, zinasema Simba inataka kuleta straika mkali wa kutupia zaidi ya Moses Phiri ambaye kiasili ni kiungo mshambuliaji ili kuiongezea nguvu timu, huku nafasi nyingine ikiwa ni beki wa pembeni na nafasi hizo zitapatikana kwa...

BAADA YA KUBONDWA JANA USIKU….YANGA YAVAMIWA NA WENYE SILAHA SUDANI…MABOSI SIMBA MENO YOTE NNJE…

0

Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la Championi la leo Jumatatu.

SIMBA WATINGA MAKUNDI KIBABE….MO DEWJI APAGAWA …AMUITA MGUNDA CHEMBA….YANGA MHHHH

0

Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la MwanaSpoti la leo Jumatatu.

KUELEKEA MECHI NA WASUDAN..SENZO NAYE AWAPA ZA USO YANGA…AWACHANA UKWELI KUHUSU WANAVYOCHEZA…

0
Habari za Yanga

Ofisa Mtendaji Mkuu wa zamani wa Yanga, Msauzi, Senzo Mazingiza amekuwa akiifuatilia timu hiyo kwa karibu ikiwamo kuitazama mechi iliyopita dhidi ya Al Hilal ya Sudan na amewashusha presha mashabiki wenzake akiwaambia wasiisakame timu kama vile imepoteza baada ya sare ya 1-1, akisema bado ina nafasi kwa mchezo wa marudiano utakapigwa leo jijini Khartoum, Sudan. Kisha akamgeukia Nabi na kumwambia...

DAKIKA CHACHE KABLA YA KUKIPIGA SUDAN…MAYELE AFUNGUKA ALIVYOMTAMBIA IBENGE…”NITAMFUNGA TENA”…

0

Straika kiongozi wa Yanga SC, Fiston Mayele amesema wachezaji na bechi la ufundi la timu hiyo wameyasikia maneno kutoka kwa mashabiki na wanachama wa timu hiyo kuelekea mechi yao ya mkondo wa pili wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi Al Hilal ya Sudan itakayochezwa usiku huu. Mayele amesema hayo akiwa Addis Ababa nchini Ethiopia pamoja na kikosi cha wachezaji wenzake...

FT: SIMBA 1-0 De AGOSTO….PHIRI AFANYA YALIYOMLETA TZ….MGUNDA AITISHIA CAF…

0

KLABU ya Simba imefanikiwa kutinga hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kuichapa timu ya Primeiro de Agosto ya nchini Angola 1-0 na kuwa jumla ya mabao 4-1 baada ya mechi ya kwanza Simba Sc kushinda 3-1 ugenini. Mechi hiyo ambayo imepigwa katika dimba la Benjamini Mkapa, Simba Sc imefanikiwa kutawala mchezo na kuwafanya mashabiki ambao waliujaza uwanja...

MO DEWJI AMWAGA MAMILIONI KWA WACHEZAJI SIMBA…WAPEWA ZAIDI YA MIL 600 …CHAMA ,PHIRI WAONGOZA KWA MGAO MKUBWA…

0
Habari za Simba SC

Kishindo cha tajiri wa Simba, Mohammed Dewji ‘Mo Dewji’ akiwa sambamba na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi, Salim Abdallah ‘Try Again’ kimezikumba akaunti za mastaa hao baada ya kujazwa mkwanja. Mo ambaye alikuwa kimya kwa muda akiacha majukumu kwa wasaidizi wake, amewalipa bonasi zote alizokuwa amewaahidi tangu kwenye mechi ya ugenini dhidi ya Nyasa Big Bullets. Mkwanja huo umeongeza mzuka...