PAMOJA NA TIMU KUPATA MATOKEO…MGUNDA AVUNJA UKIMYA SIMBA…AANIKA ANACHOKITAKA ILI AFANYE KAZI VIZURI…
Kocha wa Simba Juma Ramadhan Mgunda amewaomba mashabiki wa klabu hiyo kuendelea kumuombea kwa Mungu ili kazi yake ya kuifikisha klabu hiyo mahali fulani inafanikiwa na kuwapa furaha ambayo wanahitaji. Mgunda alisema anashukuru kwa upendo ambao wanampa tangu amefika kwenye klabu hiyo na yeye anawapenda zaidi na akiwataka kuwa wasichoke kuisapoti na kuipenda timu yao kwenye kila nyakati ambayo itakuwa...
KUELEKEA MECHI NA WASUDAN….MABOSI YANGA WAAMUA KUFANYA KUFRU….PHIRI AITIKISA CAF….
Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la Championi la leo Jumatano.
KUELEKEA KLABU BINGWA AFRIKA KWA WANAWAKE…SIMBA QUEENS WAANZA KULA TIZI LA KIBINGWA…MAMBO NI 🔥🔥🔥…
Mabingwa michuano ya Klabu Bingwa ya Wanawake kwa Nchi za Afrika Mashariki na Kati, Simba Queens baada ya mapumziko ya muda mfupi, Jumatatu ijayo wataingia kambini kuanza kujifua kwa ajili ya fainali za Ligi ya Mabingwa Afrika itakayofanyika kuanzia Oktoba 30 nchini Morocco.Meneja wa timu hiyo, iliyopangwa Kundi A, Seleman Makanya amethibitisha hilo, akiweka bayana mpango wa kuongeza beki...
HII NDIO YANGAAH….REKODI YAKE YAWA GUMZO AFRIKA NZIMA…HAIJAWAHI TOKEA KABLA NA HUENDA ISITOKEE TENA…
Yanga imeendelea kuboresha rekodi yake ya kucheza mechi mfululizo za Ligi Kuu Bara bila kupoteza, ikifikisha 41, baada ya Jumanne wiki hii kuifumua Mtibwa Sugar kwa mabao 3-0 katika pambano lililopigwa kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, jijini Dar es Salaam.Mara ya mwisho kwa Yanga kupoteza mechi katika ligi hiyo ilikuwa ni Aprili 25, mwaka jana ilipolala kwa bao 1-0,...
MAAJABU YA AFRIKA….STAA WA SOKA SIERRA LEONE AKATAA KUUZWA TIMU YA ULAYA…MSHIKIA PANGA WAKALA WAKE…
Huyu Mwamba anaitwa Musa Noah Kamara amezaliwa August 06, 2000 maeneo ya Tombo, Sierra Leone jina lake maarufu ni Musa Tombo ni mshambuliaji hatari wa timu ya taifa ya Sierra Leone kijana ana kipaji hasa yupo chini ya wakala Roland Ekokobe.Musa mwenye umri wa miaka 22 ameshidwa kabsa kucheza soka nje ya Sierra Leone sio kwa sababu ya kipaji...
KUELEKEA MECHI YA LEO DHIDI YA WAMALAWI….TSHABALALA AFUNGUKA MASTAA WA SIMBA KUINGIA KWA STAILI MPYA…
Nahodha Msaidizi wa Simba SC, Mohamed Hussein amesema kuwa Simba SC ni timu kubwa ya mataji hivyo wataenda kupambana kwenye mchezo wa leo dhidi ya Nyasa Big Bullet.Mchezo huo utapigwa leo jumapili kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar huku Simba SC wakiwa na faida ya mabao 2-0 waliyopata kwenye mchezo wa kwanza wakiwa ugenini.Mohamed Hussein alisema kuwa “Kikubwa ni kuendelea...
RASMI…SIMBA WATANGAZA SIKU YA KUACHANA NA MGUNDA…ISHU YA KOCHA MPYA YAWEKWA WAZI…
Uongozi wa Simba umebainisha kuwa umempa Mkataba wa muda kocha Juma Mgunda na hatma yake ipo kwa kocha mpya ambaye atakuja kukinoa kikosi hicho hivi karibuni.Mgunda amekabidhiwa timu na mabosi wa Simba SC baada ya kutangaza kuachana na Mserbia, Zoran Maki ambaye alikiongoza kikosi hicho kwenye mechi 2 za Ligi Kuu Bara na alishinda zote.Muda mchache baada ya kuachana...
KUTOKA KWENYE SIMULIZI ZA KNUD, MPAKA KWENYE USHINDI MKUBWA MERIDIANBET…..!
Turejee kutoka kwa mbobevu wa simulizi za Eskimo bwana Knud mpaka kwenye uhalisia wa ushindi wa kasino ya Mtandaoni kwenye Book of Eskimo, kutoka Expanse Studio, pale Meridianbet. Bila shaka kila mmoja anapenda kusikia watu wakismuliana stori kuhusu uthubutu wake na ushujaa alionao – ila hii haitokei pale usipokuwa mshindi! Kasino ya Meridianbetinakusogeza karibu na simulizi za washindi na...
BAADA YA KUWAFUMUA ZALAN….NABI AMTAKA IBENGE LEO KESHO…SIMBA WAITA WATU KUHESABU SENSA YA PASI LEO…
Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la MwanaSpoti la leo Jumapili.
MAYELE AWEKA REKODI CAF…ZALAN WAKIKUNG’UTWA KAMA NGOMA…KISINDA AMKUMBUKA MORRISON…
Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la SpotiXtra la leo Jumapili.