MAYELE AWEKA REKODI CAF…ZALAN WAKIKUNG’UTWA KAMA NGOMA…KISINDA AMKUMBUKA MORRISON…

0

 Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la SpotiXtra la leo Jumapili.

FT: YANGA 5-0 ZALAN FC …..MAYELE ATETEMA KWA HASIRA….AZIZ KI ATOA GUNDU TENA…GEITA GOLD SAWA LAKINI HAITOSHI..

0

TIMU ya Yanga SC imetinga raundi ya Kwanza Ligi ya Mabingwa barani Afrika baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 5-0 dhidi ya Zalan FC kutoka Sudan Kusini mchezo wa  mkondo wa kwanza hatua ya awali Ligi ya Mabingwa Afrika uliopigwa katika uwanja wa Taifa wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam.Kipindi cha kwanza timu zote zilienda mapumziko bila...

ISHU YA MWAMBUSI KUWA KOCHA MKUU IHEFU IMEKAA HIVI AISEE..KATWILA AFANYIWA YA KAZE NA YANGA….

0

Baada ya Ihefu kushindwa kupata ushindi kwenye mechi tatu za mwanzo za Ligi Kuu Bara msimu huu, uongozi wa timu hiyo umeamua kumteua Juma Mwambusi kuwa kocha mkuu mpya akichukua nafasi ya Zuberi Katwila atakayesalia kama kocha msaidizi.Mwambusi aliyekuwa mapumzikoni tangu Januari 2021 alipojiuzulu nafasi ya kocha msaidizi wa Yanga kutokana na sababu za kiafya, ameongezwa kwenye benchi la...

MAN CITY WAZIDI KUKIWASHA EPL….’JINI LA MAGOLI’ HAALAND AZIDI KUTETEMA KAMA MAYELE…

0

Manchester City wamefanikiwa kushinda mchezo wao wa tano wa ligi kuu ya England msimu huu wakiwa katimba dimba Molineux stadium nyumbani kwa klabu ya Wolverhampton.Mchezo huo ambao ulipigwa mapema kabisa kwenye muda wa saa nane mchana kwa saa za Afrika mashariki, Jack Grealish alifungua njia kwa klabu ya City baada ya kuipatia bao timu hiyo dakika ya kwanza tu...

ISHU YA KUWA KOCHA MKUU KABISA…AHMED ALLY ‘AMSILIBIA DOLE GUMBA MGUNDA’ …ADAI TIMU ILIKUWA HAIPAMBANI…

0

Msemaji wa Simba SC, Ahmed Ally amesema Kocha Mkuu wao wa muda Juma Mgunda anatosha kuifundisha klabu hiyo licha ya kuwa mchakato wa kumtafuta kocha wa kudumu unaendelea.Ahmed amesema, Kocha huyo ana hadhi ya kuifundisha Simba kwa sababu anayo leseni A na alipoingia, ameonesha kitu cha tofauti.“Anatosha, ni kocha mwenye viwango kwa maana amesom kuanzia hatua ya kwanza hadi...

KUEPUSHA AIBU KESHO….MGUNDA AHAIDI ‘KUNG’ATA MENO’ DHIDI YA WAMALAWI…TSHABALALA ATAJA ‘UCHAWI’….

0

KOCHA mkuu wa Simba, Juma Mgunda amesema bado hawajamaliza kazi licha ya kushinda 2-0 dhidi ya Nyasa Big Bullets katika mchezo wao wa kwanza.Simba iliibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Big Bullets nchini Malawi katika mchezo wa raundi ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika na kesho saa 10:00 jioni watacheza mchezo wa marudiano katika uwanja wa...

KIPANGA FC WAZIFUNIKA SIMBA NA YANGA CAF….YAWA TIMU YA KWANZA KUVUKA KUTOKA TZ…KIMBEMBE KIPO HUKU…

0

KIPANGA ya visiwani hapa imekuwa timu ya kwanza ya Tanzania kusonga mbele kwenye michuano ya CAF, baada ya kuingoa Al Hilal Wau ya Sudan Kusini kwa mikwaju ya penalti 4-3 na kuifuata Azam FC ilipangwa kuanzia raundi ya kwanza ya Kombe la Shirikisho Afrika.Dakika 90 za mchezo huo wa marudiano uliopigwa Uwanja wa Amaan, mjini Unguja, ziliisha kwa sare...

BAADA YA KUONA KAZI YA KILA MMOJA…KIGOGO SIMBA ASHINDWA KUJIZUIA UBORA WA MAYELE DHIDI YA PHIRI…

0

Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba, Ahmed Ally, amemtabiria makubwa mshambuliaji wao Mzambia, Moses Phiri msimu huu wa Ligi Kuu Bara kutwaa Tuzo ya Ufungaji Bora.Nyota huyo kabla ya mchezo wa jana wa ligi dhidi ya Tanzania Prisons, alikuwa amefunga mabao matatu, akiwa sawa na mshambuliaji wa Yanga, Mkongomani, Fiston Mayele.Mayele ambaye msimu uliopita alizidiwa bao moja na...

SIKU CHACHE BAADA YA KUITWA TENA TAIFA STARS…ABDI BANDA AWARUSHIA MASTAA WENZAKE UJUMBE HUU ‘LIVE’…

0

BEKI wa kimataifa wa Tanzania anayekipiga Chippa United ya Afrika Kusini, Abdi Banda amesema kitendo cha kuitwa Taifa Stars, kimempa mzuka na kumuongezea kujiamini wa kuzidi kupiga mzigo nje ya nchi kwa vile ni muda mrefu alisahaulika kwenye timu hiyo ya taifa.Banda, aliitwa na Kocha Hanour Janza kwa ajili ya mechi za kirafiki za kimataifa dhidi ya Libya, ikiwa...

KISA AZIZ KI NA MAYELE….’BATO’ YA SIMBA NA YANGA KUVUMA MOROCCO….MCHONGO MZIMA UMEKAA HIVI AISEE…

0

WAKATI Simba wakishangilia beki wao Henock Inonga kuwa staa pekee kuitwa kikosi cha DR Congo Burkina Faso wamemkutanisha rasta huyo na kiungo mshambuliaji wa Yanga Stephane Aziz Ki.Azizi KI amejumuishwa kwenye kikosi cha wachezaji 25 cha Burkina Faso wataocheza mchezo wa kirafiki dhidi ya DR Congo kwenye Uwanja wa Moulay Abdallah jijini Rabat nchini Morocco, Septemba 23.Kikosi hicho kina...