WAKATI YANGA WAKITAMBA KUWA NA BIGIRIMANA WAO….PACHA WAKE AIBUKIA KMC …KUANZA MAJAMBOZI NA IHEFU…
Straika mpya wa KMC, Bigirimana Blaise ameanza mazoezi na kikosi hicho baada ya kupona majeraha ya nyama za paja.Bigirimana alijiunga na kikosi cha KMC kwenye dirisha kubwa la usajili akitokea Namungo ambapo hakupata nafasi ya kucheza baada ya kuvunjika mguu.Akizungumzia maandalizi yao, Ofisa Habari wa KMC, Christina Mwagala amesema kuwa βKikosi kinaendelea vizuri na maandalizi kuelekea mchezo wetu dhidi...
RASMI…SUALA LA KISINDA KUZUIWA KUCHEZA BONGO…LAISHA KININJA….APEWA NAFASI YA KAMBOLE…WAGANDA WAOKOA JAHAZI…
Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imepitisha usajili wa Twisila Kisinda kuichezea Yanga baada ya klabu hiyo kumuhamisha mchezaji wake wa kigeni Lazarous Kambole.Awali Kamati hiyo ilizuia usajili wa Kisinda licha ya kuwa ulifanyika ndani ya dirisha la usajili kwa vile tayari Yanga ilikuwa na wachezaji 12 wa kigeni.Licha ya...
ACHA KUNGOJA NGOJA AISEE…. KWA MTAJI WA TSH 100 UNATOBOA MAMILIONI…YOTE HAYA NI NDANI YA M-BET PEKEE…
Wengi wanaiita bati, wengine wanaiita mia. Ni sarafu yenye thamani ndogo sana kwa maisha ya sasa kwasababu hata soda tu hupati. Zile stori za leo nimefulia kinoma, siwezi kubeti game ya leo zimefika mwisho.Kwa bati tu, ndoto na mipango yako inaweza kukamilika kupitia M-Bet. Shilingi mia ambayo wengi tunaichukulia poa, mia hiyo hiyo inakuwezesha kuingia kwenye ulimwengu wa mamilionea...
BAADA YA ADHABU YAKE KUPUNGUZWA….MANARA ATUPA KOMBORA LA AINA YAKE TFF…”NILITARAJIA HILI”….
Baada ya kutangaza kupunguziwa adhabu ya Faini kutoka Milioni 20 hadi Milioni 10 lakini anaendelea na adhabu ya kifungo cha miaka miwili cha kutojihusisha na Soka, aliyekua Msemaji wa Young Africans Haji Manara ameibuka na kuonesha kupuuzwa kilichotangazwa na Kamati ya Rufaa ya TFF.Manara ameweka andiko la kupuuzia maamuzi ya Kamati ya Rufaa ya TFF katika Kurasa zake za...
KOCHA MPYA CHELSEA AANZA KAZI NA ‘GUNDU’…ADAI KUONA ‘MAPICHA PICHA’ KWA WACHEZAJI…πππ…
Kocha wa Chelsea Graham Potter amesema hajapendezwa na matoko ya sare ya bao 1-1 waliyoyapa dhidi ya RB Salzburg kwenye mchezo wa Ligi ya mabingwa barani Ulaya jana usiku. Huu ulikuwa mchezo wa kwanza Potter anakiongoza kikosi che The Blues akiwa kocha mkuu.Graham Potter ameshuhudia kibarua chake cha kwanza akiwa kocha wa Chelsea na mchezo wake wa kwanza na...
AISEEE…KUMBE MBWEMBWE ZOOTEE ZILE ZA MANDONGA NI SAWA NA ‘UTOPOLO’ TU….MWENYEWE AJISHANGAA…
Achana na umaarufu wa Karim 'Mandonga' Said, unaambiwa mapambano yote aliyocheza hivi karibuni, ni ya maonyesho ambayo hayajampa rekodi yeyote kwenye renki.Pambano lake la Machi 26 alilochapwa kwa Knock Out (KO) na Magambo Christopher ndilo lilikuwa la mwisho kuingizwa kwenye rekodi, huku lile la Shaban Kaoneka na mengine yaliyofuatia yakiwa ya maonyesho ambayo hayatambuliki kwenye rekodi zake za ngumi.Baada...
KISA USHINDI WA JANA MBELE YA PRISONS…MGUNDA AWAPIGA MKWARA SIMBA SC…ATAKA AHESHIMIWE….
Kocha Mkuu wa muda Simba SC Juma Mgunda ametaja sababu za kumtoa Beki Henock Inonga Baka na kumpa nafasi Joash Onyango wakati wa mchezo wa Mzunguuko wanne wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Tanzania Prisons.Simba SC iliibuka na ushindi wa 1-0 dhidi ya Maafande wa Tanzania Prisons jana Jumatano (Septemba 14), Uwanja wa Kumbukumbu ya Sokione jijini Mbeya,...
PAMOJA NA KURUDI KIKOSINI…ONYANGO AENDELEA KUKUMBUSHA HILI KUHUSU MUSTAKABALI WAKE SIMBA…AITAJA TFF..
Hatimaye Beki kutoka Kenya Joash Onyango Achieng amefunguka sakata lake la kutaka kuvunjiwa mkataba wake Simba SC, na kupelekea taharuki kubwa kwa Mashabiki na Wanachama wa Msimbazi kwa kipindi cha mwezi uliopita.Onyango amefunguka juu ya sakata hilo baada ya mchezo dhidi ya Tanzania Prisons jana Jumatano (Septemba 14), jijini Mbeya ambapo amekiri alishinikiza kuvunjwa kwa mkataba wake.Amesema sababu kubwa...
HAKUNA CHA MAYELE WALA BANGALA…INONGA AWAPIGA HATUA MBELE TIMU YA TAIFA DR CONGO…
Beki wa Kati wa Klabu ya Simba SC Henock Inonga Baka ametajwa kwenye kikosi cha Timu ya Taifa ya DR Congo kitakachopambana katika michezo ya kuwania kufuzu Fainali za Mataifa ya Afrika βAFCON 2023β dhidi ya Mauritania mwezi huu.Hii inakuwa mara ya kwanza kwa Beki huyo kutajwa kwenye kikosi cha DR Congo, tangu alipojiunga na Simba SC mwanzoni mwa...
SAKATA LA MANARA KUFUNGIWA…TFF WAANZA KULEGEZA KAMBA MDOGO MDOGO…ISHU NZIMA IKO HIVI…
Msemaji wa Klabu Bingwa Tanzania Bara Young Africans Haji Sunday Ramadhan Manara amepunguziwa adhabu ya Faini kutoka Milioni 20 hadi Milioni 10, huku hukumu ya kufungiwa kujihusisha na soka kwa miaka miwili ikibaki palepale.Maamuzi ya kumpounguzia adhabu Manara yametangazwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Rufaa ya Maadili ya TFF Richard Mbaruku jana Jumatano (Septemba 14) majira ya Usiku.Richard Mbaruku...