SIMBA QUEENS WAPEWA KAMSELELEKO LIGI YA MABINGWA AFRIKA WANAWAKE…CAF YAWAPA UHAKIKA…WAFELI WENYEWE TU…
Timu ya Simba Queens imepangwa Kundi A katika Ligi ya Mabingwa Afrika pamoja na ASFAR ya Morocco,Green Buffaloes ya Zambia na Determines Girls ya Liberia.Katika michuano hiyo itakayoanza Oktoba 30 hadi Novemba 13 nchini Morocco, Kundi B linaundwa na mabingwa watetezi, Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini, Bayelsa Queens ya Nigeria, Wadi Degla ya Misri na mwakilishi wa ukanda wa...
KISA TABIA ‘ZA KIHUNI’ KWENYE MCHEZO DHIDI YA YANGA…AZAM WAMKALIA KITAKO BAJANA…KOCHA MZUNGU ‘AMMAINDI’..
Kocha wa makipa wa Azam FC, Dani Cadena amesema atakaachini na kuzungumza na kiungo, Sospeter Bajana baada ya kuonyesha kitendo cha utovu wa nidhamu katika mchezo wa juzi wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Yanga ulioisha kwa kufungana mabao 2-2.Katika mchezo huo uliopigwa kwenye Uwanja wa Benjamini Mkapa, Bajana alitolewa ilinafasi yake kuchukuliwa na Cleophance Mkandala jambo ambalo nyota...
HII HAPA SIRI YA YANGA KUEPUKA VIPIGO LIGI KUU KWA ZAIDI YA DAKIKA 3,600….NABI KAANIA YOTE YA NYUMA YA PAZIA…
NASREDDINE Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga amefichua kuwa kutopoteza kwenye mechi za ligi kwa muda mrefu kunatokana na jitihada za wachezaji kusaka ushindi.Ni mechi 40 za ligi Nabi kaongoza bila kuonja ladha ya kupoteza mchezo ikiwa ni dakika 3,600 zimeyeyuka. Aprili 25,2021 ilikuwa ni mara ya mwisho Yanga kufungwa ilipoteza kwa kufungwa bao 1-0 dhidi ya Azam FC uliochezwa Uwanja...
KUELEKEA MECHI YA CAF….WAFAHAMU WAPINZANI WA SIMBA NYASA BIG BULLETS…HAWAJAWAHI KUFUNGWA KWAO..
Simba itakuwa na kibarua kigumu leo kwenye Uwanja wa Taifa wa Bingu, jijini Lilongwe, kutokana na rekodi ya wenyeji wao, Nyasa Big Bullets, ambao wanatetea ubingwa wao wa ligi yao ya ndani ‘TNM’, ambayo ipo raundi 20 bila ya kupoteza.Simba ikiwa na kocha wake wa muda, Juma Mgunda iliondoka nchini jana, kwenda Malawi kupigania nafasi ya kucheza hatua ya...
HAWA HAPA ZALAN FC…MABINGWA SUDAN KUSINI….HAWAVUMI LAKINI WAMO…YANGA WAKIJICHANGANYA TU WANAKULA ZA USO…
Mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga inaanza kampeni zake kwenye hatua ya awali ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa kucheza na Zalan FC ya Sudan Kusini.Yanga inaanzia ugenini kwenye mchezo wa kwanza utakaopigwa kesho katika Uwanja wa Mkapa, Dar es Salaam, marudiano kufanyika katika uwanja huo huo, Septemba 17.Zalan imeamua kutumia Uwanja wa Benjamin Mkapa kwenye mchezo huo...
ACHANA NA STORI ZAKUOKOTEZA HUKO….KOCHA WA SIMBA QUEENS KAENDA MALAWI KWA KAZI HII MAALUMU TU….
Kocha Mkuu wa kikosi cha timu ya wanawake cha Simba, Simba Queens, Sebastian Nkoma tayari ameshatinga kambi ya Simba iliyopo Lilongwe Malawi ili kuliongezea nguvu benchi la timu hiyo inayojiandaa kuivaana Nyasa Big Bullets ya Malawi katika mechi ya Ligi ya Mabingwa Afrika.Nkoma aliondoka asubuhi ya jana kwa usafiri wa shirika la ndege la Malawi na taarifa zilizopatikana ni...
MGUNDA : HAWA WAMALAWI TUTAWAPIGA KAMA NGOMA…NIMEONA ‘MAPENGO’ YAO MENGI TU…
Kocha mpya wa Simba SC, Juma Mgunda, amesema kwa muda mchache aliokaa na timu yake hiyo mpya, amepata nafasi ya kuwasoma wapinzani wake na tayari amejipanga kuwakabili Nyasa Big Bullets wanaocheza nao leo Septemba 10, 2022.Mgunda amesema ametazama clip za wapinzani wao hao katika Ligi ya Mabingwa, wameona ubora na udhaifu wao hivyo amewaelekeza vijana wake nini cha kufanya.“Nimetazama...
SAKATA LA KISINDA….TFF WAANZA KUMJADILI…KOCHA MPYA SIMBA AANZA NA KIKAO KIZITO…
Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la Championi la Leo Jumamosi.
BAADA YA ‘KUFANYWA VIBAYA’ NA FEI TOTO JUZI…GOLIKIPA LA AZAM FC AIBUKA KWA HASIRA NA NENO HILI KWA YANGA…
Baada ya kuchomoa mkwaju wa penalti wa Djuma Shaban na kuokoa mashambulizi kibao ya Yanga kwenye mechi ya Ligi Kuu juzi Jumanne mechi iliyomalizika kwa sare ya 2-2, kipa wa Azam FC Ali Ahamada amefichua siri ya ubora wake kwa kusema hakuwa na presha.Ahamada mwenye uraia wa Ufaransa na Comoro aliyewahi kuichezea Timu ya Taifa ya Vijana ya Ufaransa...