KUELEKEA MECHI YA CAF KESHO KUTWA…HATMA YA KAPOMBE NA MKUDE MIKONONI MWA MGUNDA….

0

Shomari Kapombe na Jonas Mkude wameungana na kikosi katika safari ya kwenda kuvaana na Wamalawi, Nyasa Big Bullet.Shomari na Mkude hawakuwa sehemu ya kikosi cha Simba kilichocheza jana Septemba 7, 2022 dhidi ya KMC na Wekundu hao wa Msimbazi kutoka sare ya goli 2-2.Kapombe, Mkude sambamba na Peter Banda wameonekana mapema hii kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa...

BAADA YA KUIONA RANGI HALISI YA YANGA….STAA WA ZAMANI WA NEWCASTLE YA EPL KAAMUA KUFUNGUKA HAYA YA MOYONI…

0

Kiungo wa Yanga aliyewahi kukipiga Newcastle United ya Ligi Kuu England, Gael Bigirimana baada ya kupiga tizi la kufa mtu na Wanajangwani hao na kuanza kuzoea mazingira ya Tanzania amesema, “sasa niko tayari kupambana.”Gael aliyekulia England na kuishi aliwahi kuichezea timu ya taifa hilo chini kwa wachezaji wenye umri chini ya miaka 20, kabla ya kubadili mawazo na kuichezea...

KUHUSU MCHEZO WA BOXING…MO DEWJI KAAMUA KUFANYA KWELI AISEE…MABONDIA WAKUBWA DUNIANI KUTIA MGUU TZ…

0

Mfanyabiashara Mohamed Dewji ‘Mo’ ametimiza ahadi yake ya kuandaa Pambano la Kimataifa la Masumbwi, baada ya kutambulisha Mo Boxing.Mo Dewji ambaye pia ni Rais wa Heshima na Mwekezaji Mwenza wa Klabu ya Simba SC alitangaza kuanzisha Mo Boxing mapema mwaka huu, kama sehemu ya kuendeleza michezo nchini Tanzania, baada ya kufanya hivyo upande wa Soka.Kwa mujibu wa taarifa iliyochapishwa...

SAA KADHAA TOKA ATEULIWE UKOCHA MKUU SIMBA… COASTAL UNION WAIBUKA NA HILI KUHUSU MGUNDA…

0

Klabu ya Coastal Union imetangaza kutokuwa na mkataba na Kocha Juma Mgunda ambaye kwa sasa anaitumikia Simba akiwa kocha wa muda.Coastal imeeleza mazungumzo ya kusaini mkataba mpya baina yao na Mgunda yalikuwa kwenye mchakato, hivyo suala la Mgunda kujiunga na Simba ni la kwake binafsi.Kutokana na hali hiyo uongozi wa Coastal...

KWELI KUJIPENDEKEZA SIO….UNAAMBIWA TUCHEL ALIKATAA OFA ZA MAN UTD NA BARCA KISA CHELSEA…LEO HANA KAZI…

0

Chelsea ilimtimua kocha wao mkuu Mjerumani Thomas Tuchel hapo jana. Huku baada ya akifukuzwa, kuna ripoti kwamba alikataa nafasi mbili za kazi kutoka kwa wababe wa Ulaya msimu uliopita. Tuchel aliamua kutoondoka Stamford Bridge kwenda Barcelona na Manchester United.Tuchel aliivumilia timu katika mzozo uliosababishwa na vita kati ya Urusi na Ukraine msimu uliopita, ambao ulisababisha timu hiyo kubadilisha umiliki...

BAADA YA KUKIANGALIA KIKOSI CHA SIMBA…MGUNDA KAFUNGA MACHO KISHA AKASEMA HILI KWA MATOLA…

0

Kocha mpya wa Simba, Juma Mgunda amesema anajua ana kibarua kigumu cha kuisaidia timu hiyo, lakini kupewa majukumu hayo haoni ni kitu cha ajabu.Mgunda ambaye ametokea Coastal Union ya Tanga, amesema kocha kuhama timu moja kwenda nyingine siyo kitu cha sapraizi, bali kazi yao inahitaji utayari muda wote."Kazi ya wachezaji, makocha wanahitaji utayari wa kufanya kazi muda wote, ndicho...

KUELEKEA MECHI NA WASUDANI….YANGA WAJIPA MBELEKO YA CAF….WAJIPELEKA HATUA YA MBELE KABLA YA WAKATI…

0

Kueleka mchezo wa mkondo wa kwanza wa hatua ya awali ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Zalan FC ya Sudan Kusini utakaopigwa keshokutwa Jumamosi, Rais wa Yanga, Injinia Hersi Said, amepiga mkwara mzito akisema kikosi chao kitatoboa na hakuna wa kuwazuia.Septemba 10, mwaka huu, Zalan watakuwa wenyeji, mechi ikitarajiwa kuchezwa Uwanja wa Azam Complex, Dar, kisha Septemba 17,...

BAADA YA MANARA…MWIJAKU NAYE MASHUSHIA MVUA YA MANENO MWAKINYO…ADAI NI MUONGO…AFICHUA YA PROMOTA WAKE…

0

DC wa Insta, Mwijaku amefunguka na kusema kwamba bondia Hassan Mwakinyo amewadanganya Watanzania kwamba kuna pambano la marudiano kati yake na bondia Liam Smith wa Uingereza, Januari 23, 2023.Mwijaku ameyasema hayo huku akionyesha video anayodai kuwa ametumiwa na promota wa pambano hilo wakati alipokuwa akilalamika kuhusu pambano hilo lilivyomalizika na kuongeza kwamba ametumia nguvu kubwa na pesa katika kuandaa...

KISA MECHI NA AZAM….KISUBI AMUONDOA DIARA YANGA….AMTAKA ASEPE BONGO HARAKA…

0

Kipa wa Polisi Tanzania, Jeremiah Kisubi amemshauri mdaka mishale wa Yanga, Djigui Diarra akapumzike kwao ili kuupa mwili wake nguvu ya kufanya kazi kwa ushindani mkali.Kisubi ameufafanua ujumbe alioundika kwenye mitandao ya kijamii, akimtaka Diarra akapumzike kwao ila anachoshangaa ni tafsiri za baadhi ya watu ambao wanauhusisha ujumbe huo na imani za kishirikina."Msimu uliopita ukitaja makipa wenye viwango vya...

ALICHOSEMA MATOLA BAADA YA ISRAEL MWENDA KUCHEZA ‘FYONGO’ NYINGI JANA…ATUPA LAWAMA KWA WOTE…

0

Kocha Msaidizi wa Simba SC Seleman Matola ametetea maamuzi ya kumtumia muda wote Beki wa Kulia Israel Patrick Mwenda, katika mchezo dhidi ya KMC FC uliomalizika kwa sare ya 2-2.Miamba hiyo ya Dar es salaam ilipapatuana jana Jumatano (Septemba 07) Uwanja wa Benjamin Mkapa, huku beki Israel Mwenda akigeuka gumzo kutokana na kuonesha kiwango duni.Kabla ya kuondoka Dar es...