BAADA YA MANARA KUMUITA ‘LOFA’ NA ‘MVUNJA KUNI’….MWAKINYO NAYE AJIBU MAPIGO…AMSHUKIA JUMLA JUMLA…

0

Juzi, Septemba 3, 2022 Bondia Mtanzania, Hassan Mwakinyo alipoteza pambano dhidi ya Bondia Muingereza, Liam Smith kwa TKO raundi ya 4 katika pambano lenye raundi 12.Mwakinyo alianza pambano vizuri na wakati likiendelea alionekana kuumia mguu kiasi cha Muamuzi kusimamisha pambano ambalo kabla ya round ya nne kumalizika Mwakinyo alionekana kapiga goti chini.Baada ya pambano hilo kumalizika Mwakinyo alijirekodi video...

YAMETIMIA….ZORAN MAKI ‘ALIWA KICHWA’ SIMBA…SABABU HIZI HAPA….MATOLA KAMA KAWA AENDELEA KUPETA….

0

Baada ya ramli nyingi za mashabiki , hatimaye leo Klabu ya Simba imefikia makubaliano ya kuvunja mkataba na kuacahana na Kocha wake Mkuu, Zoran Maki Manojlovi.Maki ambaye ni raia wa Serbia ameitumikia Simba katika michezo ya Ligi miwili ambapo ameshinda mechi zote huku akifungwa mchezo mmoja wa Ngao ya Jamii baada ya kufungwa bao 2-1.“Klabu imefikia makubaliano kuvunja mkataba...

ULE MPAPATUKO WA MECHI ZA LIGI KUU YA NBC KUENDELEA LEO…HII HAPA RATIBA YA MECHI ZOTE ….

0

LIGI Kuu Tanzania Bara leo Septemba 6 inaendelea kwa mechi mbili kuchezwa katika viwanja tofauti.Geita Gold wao watakuwa na kibarua cha kusaka ushindi mbele ya Kagera Sugar, mchezo utakaochezwa Uwanja wa CCM Kirumba.Geita Gold ipo nafasi ya 13 na pointi moja inakutana na Kagera Sugar iliyo nafasi ya 16 haijakusanya pointi.Kagera Sugar watakuwa ugenini kusaka pointi tatu ndani ya...

UNAAMBIWA HUYU KOCHA MPYA WA AZAM FC NI MZEE WA MAKOMBE TUU….AL AHLY YA MISRI WANAIJUA ‘SHOW’ YAKE…

0

Hatimaye Uongozi wa Azam FC umekamilisha mchakato wa kumpata Kocha Mkuu, baada ya kuvunja mkataba wa Kocha kutoka nchini Marekani Abdihamid Moallin mwishoni mwa mwezi Agosti.Azam FC imethibitisha kukamilisha mchakato wa Kocha huyo kupitia kurasa zake za Mitandao ya kijamii usiku wa kuamkia leo, huku ikielezwa kuwa Kocha huyo anatarajiwa kuwasili nchini Tanzania leo Jumanne (Septembe 06).Taarifa ya Azam...

MERIDIANBET WAINGIA LIGI KUU…, WAMWAGA PESA KWA KMC….!

0

Wiki imeanza vyema zaidi kwa Klabu ya soka ya KMC, ambao wamepata mdhamini mpya, ikiwa ni neema kwa klabu hiyo inayoshiriki Ligi Kuu ya NBC Tanzania. KMC wameingia rasmi mkataba wa udhamini na klabu ya Meridianbet, ambao ni mabingwa na Kampuni ya kwanza ya ubashiri Tanzania. KMC imekuwa ni klabu inayokua kwa kasi tangu kuanzishwa kwake mwaka 2014, ikiwa...

BAADA YA KUONA JINSI MORRISON ANAVYOCHEZA NA TABIA ZAKE…NABI KATIKISA KICHWA ..KISHA AKAFUNGUKA HAYA….

0

KOCHA wa Yanga, Nassredine Nabi amemwangalia Bernard Morrison ‘BM33’ na kusema huyu wa sasa ndiye anayemjua kutokana na kurejea kwenye kiwango chake tofauti na alivyojiunga kwenye maandalizi ya msimu mpya alipokuwa hana utimamu wa kimwili.Nabi alisema, wiki kadhaa nyuma Morrison alionekana kuwa hovyo licha ya kumwandalia programu maalumu ya kujiweka fiti, lakini kwa sasa anavyomwona mazoezini na hata kwenye...

BAADA YA KUONYESHA KIWANGO CHA JUUU….MRITHI WA MANULA SIMBA AANZA KUPEWA MAELEKEZO…AKIZINGATIA AMEULA ….

0

Kipa wa zamani wa Simba, Kelvin Mhagama amemuangalia kipa namba tatu wa timu hiyo, Ally Salim na kumwambia awe anatumia vyema nafasi za Aishi Manula na Ben Kakolanya kuwa timu ya taifa, Taifa Stars kufanya mambo ili ajihakikishe namba.Salim ndiye aliyetumika kwenye mechi tatu za kimataifa za Simba, mbili zilizopigwa nchini Sudan dhidi ya Asante Kotoko ya Ghana na...

KISA TUZO YAKE YA CAF…..SAKHO AAPA KUKINUKISHA SIMBA….HATAKI KUSIKIA CHOCHOTE ZAIDI YA KUTIMIZA LAKE….

0

Straika wa Simba, Pape Sakho amesema kiwango alichomaliza nacho msimu uliopita kwenye mashindano ya ndani na kimataifa amepanga kukiendeleza msimu huu.Sakho alisema Simba msimu huu ina wachezaji wengi bora zaidi ya uliopita ambao hakufanikiwa kufanya vizuri mwanzoni kutokana na majeraha ambayo yalikuwa yakimsumbua.Alisema baada ya kurejea mashindano ndani watakuwa na ratiba ngumu mechi za ligi na zile za CAF,...

YANGA WALIPA CAF KISINDA ACHEZE…TFF WAKAZA , WAMTAKA KAMBOLE…SIMBA WAFANYA UMAFIA KIMYA KIMYA….

0

 Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la MwanaSpoti la leo Jumanne.

WAKATI SIMBA WAKIMKAZIA ONYANGO…BOCCO ATISHIA KUONDOKA…YANGA WAAMUA KUKOMAA NA KISINDA….

0

Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la Spoti Xtra la leo Jumanne.