TFF BAANA….WAKATI YANGA WAKILIA LIA KUHUSU KISINDA WAO…WENYEWE WAMEAMUA KUWAJIBU HIVI…’SIMPO’ TU…

0

Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limesema kuwa majina ya wachezaji wa Kigeni kwa Timu zitakazoshiriki mashindano ya Kimataifa, tayari yameshapitishwa kwa hiyo timu inayojaribu kuingiza jina jipya ni kukiuka kanuni za TFF.Hayo yameelezwa kupitia taarifa ya Shirikisho hilo iliyotolewa leo ikiwa ni saa chache baada ya taarifa kusambaa kuwa mchezaji mpya wa Yanga, raia wa Congo DR, Tuisila Kisinda...

ZA NDAANI KABISA YANII….MRITHI WA SENZO YANGA HUYU HAPA….KAFANYA MAKUBWA SANA DR CONGO…AKITUA ANAANZA NA HILI…

0

Yanga imempokea winga teleza, Tuisila Kisinda ‘TK Master’ aliyetua alfajiri ya leo kutoka Morocco alikokuwa akiichezea RS Berkane, lakini taarifa za kusisimua ni kwamba klabu hiyo inahesabu siku kabla ya kushusha ofisa mtendaji mkuu kutoka Zambia.Za Ndaani Kabisa zinasema kuwa, tayari mabosi wa Jangwani wameanza mchakato wa kuzungumza na mtendaji huyo mpya kuja kuchukua nafasi iliyoachwa wazi na Senzo...

SAKATA LA USAJILI WA KISINDA KUKATALIWA….MANARA AZIDI ‘KUWAPELEKEA MOTO TFF’..AKUMBUSHIA ISHU YA KAHATA NA SIMBA…

0

Baada ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kutoa ufafanuzi kuhusu kuukataa usajili wa mchezaji wa Yanga, Tuisila Kisinda raia wa Congo DR kwa madai kuwa tayari majina 12 ya wachezaji wa kimataifa wa klabu hiyo yalishapitishwa na shirikisho hilo, Haji Manara ameibuka na jipya tena.Msemaji huyo wa Yanga SC ambaye ameshafungiwa na TFF kujihusisha na masuala ya soka kwa...

JEMEDARI SAID: TFF INAWEZEKANA INAONEAGA…..LAKINI KWA HILI YANGA MMEJIONEA WENYEWE….!

0

Kufuatia sakata la mchezaji wa Congo DR, Tuisila Kisinda kuzuiliwa kusajiliwa na Yanga akitokea RS Berkane ya Morocco, mchambuzi wa soka nchini, Jemedari Said amesema Yanga wamelikoroga wenyewe.Tangu jana kumekuwa na lawama kedekede mitandaoni zikielekezwa TFF kwamba wana agenda binafsi na mabingwa wa nchi Yanga SC kwa kitendo chao cha kuzuia usajili wa Kisinda.Wenye nasaba na Yanga na walio...

KMC NAO WALAMBA ASALI YA UDHAMINI WA MERIDIAN BET….WASAINI MKATABA MNONO HUJAWAHI KUTOKEA ….

0

Klabu ya soka Kinondoni Municipal Football Club ‘KMC’ leo wamesaini mkataba wa udhamini na kampuni ya michezo ya kubahatisha Meridianbet kwa mkataba wa miaka mitatu ambapo kiasi cha pesa cha udhamini huo hakikuwekwa wazi kwenye press hiyo.Klabu ya KMC inashiriki ligi kuu ya Tanzania ‘NBC Premier League’ leo kwenye ukumbi wa mikutano wa ndani wa manispaa ya kinondoni uongozi...

KURUDI KWA LIGI KUU….AHMED ALLY AANIKA NAMNA SIMBA WATAKAVYOSELELEKA…AZINDUA “GREEN CITY MISSION”…..

0

Baada ya kumaliza michezo ya Kimataifa ya kirafiki katika kipindi cha mapumziko ya Ligi Kuu Tanzania Bara, Meneja wa Habari na Mawasilino wa Simba SC Ahmed Ally ameweka wazi mipango na mikakati ya klabu hiyo kwa mwezi Septemba.Simba SC ilicheza michezo miwili ya Kimataifa ya Kirafiki nchini Sudan dhidi ya Asante Kotoko ya Ghana na Al Hilal ya Sudan...

KIMEELEWEKA….PROMOTA AKUBALI OMBI LA MWAKINYO….PAMBANO KURUDIWA MWAKANIIII….

0

Bondia Mtanzania Hassan Mwakinyo amesema kutokana na refa wa pambano la jana kuwa ‘unfair’ kwake, Promota Benjamin Shalom, sasa wamefikia makubaliano ya kurudia pambano hilo na mpinzani wake, Liam Smith, Januari 23, 2023.Usiku wa Septemba 3 2022 Mwakinyo katika pambano dhidi ya Muingereza Liam Smith lililochezwa jijini Liverpool England alipoteza kwa TKO round ya 4 katika pambano la round...

KUELEKEA MECHI YA KESHO….NABI ASHTUKIA JAMBO ZITO YANGA….KAMBI YA AZAM YACHUNGUZWA KIJASUSI…

0

WAKATI zikiwa zimesalia siku tatu kabla ya Dabi ya Dar es Salaam ipigwe, Kocha Mkuu wa Yanga Mtunisia Nasreddine Nabi ameshitukia mitego ya wapinzani wao Azam FC na kuifyatua.Dabi hiyo ya Dar es Salaam inayotarajiwa kuwakutanisha Yanga dhidi ya Azam inatarajiwa kupigwa Septemba 6, mwaka huu kwenye Uwanja wa Mkapa jijini Dar es Salaam.Timu hizo zote mbili hivi sasa...

HII HAPA SABABU YA YANGA KUKAZA MISHIPA ISHU YA KISINDA…KUMBE WALITUMIA MAMILIONI YA PESA NYUMA YA PAZIA…

0

IMEFAHAMIKA kuwa Yanga imetumia kitita cha Sh 350Mil kumrejesha winga wake Mkongomani, Tuisila Kisinda kutokea RS Berkane ya Morocco ambapo alikuwa akicheza.Yanga imempa mkataba wa miaka miwili winga huyo raia wa DR Congo kwa ajili ya kuitumikia timu hiyo katika msimu huu.Kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa mmoja wa mabosi wa timu hiyo kiungo huyo amekubali kurejea kukipiga Yanga...

USAJILI WA KISINDA WAZUA TAFRANI YANGA….MANARA AWEKA KIFUNGO PEMBENI…ASHUKIA JUMLA JUMLA TFF…

0

Msemaji wa zamani wa Yanga Haji Manara ameeleza kushangazwa na uamuzi wa Shirikisho la Mpira wa miguu Tanzania (TFF) kuzuia usajili wa winga Tuisila Kisinda kujiunga na Yanga akitokea klabu ya RS Berkane.Manara amesema Yanga imekamilisha usajili wa Kisinda kabla ya dirisha la usajili kufungwa, wamewasilisha majina ya wachezaji 12 wa kigeni waliosajiliwa ndani ya wakati lakini wanashangaa kwa...