Azam FC
Browse all posts in this category.
PAMOJA NA KUWA NA USAJILI MZURI…MASTAA WAPYA AZAM WAHAHA NA LUGHA…WENGI HAWAJUI KIINGEREZA…
Licha ya kukiwasha wakiwa kwenye maandalizi ya msimu ujao lakini nyota wapya wa Azam wamekwamishwa na mawasiliano yao ya uwanjani kutokana na…
ADEL ZRANE AIPA SIMBA BONGE LA KOCHA WA VIUNGO….AFUNGUKA DILI LILIVYOKUWA A-Z….
Unamkumbuka yule kocha wa viungo Mtunisia ambaye alikuwa kipenzi cha mashabiki wengi wa wa Simba katika ufanyaji wake wa kazi. Si mwingine…
HAWA AZAM WAKO ‘SIRIAZI’ SANA AISEEE…HUKO MISRI WANAPIGA MATIZI YA KIULAYA ULAYA TU…WAMWAJIRI MWALIMU WA CHUO KIKUU..
Wiki ya pili ya kambi ya Azam FC hapa El Gouna Misri imekuwa tofauti kidogo na ya kwanza. Wiki ya kwanza ilitawaliwa…
BAADA YA KUTANGAZA KUACHANA NAYE…AZAM FC WAIBUKA NA HAYA MAPYA KUHUSU MUDATHIRI YAHYA…
Uongozi wa Azam FC umetoa ufafanuzi wa kuachana na Kiungo kutoka Visiwani Zanzibar Mudathir Yahya, baada ya kuthibitisha taarifa hizo jana Jumatatu…
STAA MPYA WA AZAM ALIYESAJILIWA ‘JUU KWA JUU’ …AFUNGUKA MAMBO YALIVYO KWA MABOSI HAO…KOCHA ATIA NENO…
Kiungo Mshambuliaji mpya wa Azam kutoka Muivory Coast, Tape Edinho amekiri kwa muda aliopo ndani ya timu hiyo, anaamini msimu ujao watatisha…
SAKATA LA SENZO KUMWAGANA NA YANGA..MAPYA YAIBUKA…AFUNGUKA ANAPOKWENDA…AZAM FC YATAJWA….
Wanachama na mashabiki wa Yanga wamepata mshtuko mkubwa baada ya kupata taarifa juzi usiku juu ya Ofisa Mtendaji Mkuu, Senzo Masingisa kugoma…
KUHUSU ISHU YA AZAM KUMWAGANA NA MUDATHIRI YAHYA…UKWELI WOTE HUU HAPA…MAMBO NI KIMYA KIMYA AISEE…
Matajiri wa Jiji, Klabu ya Azam FC, imethibitisha kuachana na mchezaji wake wa muda mrefu, Mudathir Yahya Abbas, baada ya mkataba wake…
GOLI KIPA AZAM AGEUKA’ LULU SABUNI YA ROHO’ KWA TIMU ZA ULAYA…AANZA KWA KUWEKA REKODI HII LIGI YA MABINGWA ULAYA..
AZAM FC ipo kambini Misri ikijifua kwa msimu ujao wa mashindano ya ndani na yale ya kimataifa, lakini kipa wao zamani,…
NDALA AANIKA ALIYOYAONA KAMBI YA AZAM NCHINI MISRI…ATOA ONYO KWA MASTAA WAPYA….
Kiungo mkabaji wa Azam, Mnigeria Isah Ndala amesema kwa jinsi alivyokiona kikosi cha timu hiyo na mazoezi wanayofanya nchini Misri, anaamini watatikisa…
BAADA YA KUUMALIZA MSIMU ULIOPITA AKIWA HOI …PRINCE DUDE KAJITIKISA NA KUFUNGUKA HAYA KUHUSU AZAM FC…
Supastaa wa Azam FC, raia wa Zimbabwe, Prince Dube amesema msimu ujao amepanga kurejesha upya makali yake katika Ligi Kuu Bara itakaponza…
KUELEKEA MSIMU UJAO…VITA VYA MATAJIRI SOKA LA BONGO KUTAWALA…MWENYE NGUVU ZAIDI NDIYE BINGWA…
Nguvu ya fedha baina ya matajiri watatu wanaozipa nguvu ya kiuchumi Simba, Yanga na Azam huenda ikawa na mchango mkubwa katika kuamua…