Azam FC

KUHUSU ISHU YA AZAM KUMWAGANA NA MUDATHIRI YAHYA…UKWELI WOTE HUU HAPA…MAMBO NI KIMYA KIMYA AISEE…

admin August 1, 2022 4:20 pm


Matajiri wa Jiji, Klabu ya Azam FC, imethibitisha kuachana na mchezaji wake wa muda mrefu, Mudathir Yahya Abbas, baada ya mkataba wake kumalizika tangu Juni 30, mwaka huu.

Azam FC, imetumia mitandao yake ya kijamii kumtakia kila la heri mchezaji huyo katika kazi yake ya mpira na wamemkaribisha klabuni hapo wakati wowote.

Mudathir Yahaya alijiunga na Azam FC mwaka 2011, akidumu klabuni hapo kwa zaidi ya miaka 10.

SAA KADHAA BAADA YA KUMALIZANA NA M-BET…TRY AGAIN AFUNGUKA HAYA  KUHUSU TARIMBA WA SportPESA… BAADA YA KURUDI BONGO TENA….FAILI LA DAVID MOLINGA LATUPWA KWA MZAMBIA…NI KUSUKA AU KUNYOA….

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply