KUELEKEA MECHI IJAYO YA LIGI….AZAM FC WAAMUA KUIFANYIA ‘MAJAMBOZI’ YA UHAKIKA YANGA SC…
Azam FC imeichungulia Yanga na kuangalia rekodi yao kwa mechi mbili zilizopita za msimu uliopita na fasta benchi la ufundi la timu…
Browse all posts in this category.
Azam FC imeichungulia Yanga na kuangalia rekodi yao kwa mechi mbili zilizopita za msimu uliopita na fasta benchi la ufundi la timu…
Wakati Ligi Kuu Tanzania Bara ikisimama kwa muda katika mzunguko wa pili, vinara kwenye msimamo, Simba imeweka rekodi kama ya Inter Milan…
Kocha wa Azam, Abdihamid Moallin anatarajia kufanya mabadiliko kwenye kikosi katika michezo ijayo. Moallin alisema moja ya mabadiliko hayo ni eneo la…
Kuelekea mechi ya ligi kuu na Yanga, Nyota wa Azam FC, Tepsi Evance ni miongoni mwa wachezaji walioanza ligi wakiwa kwenye ubora…
Kocha Mdenmark, Kim Poulsen amemuongeza kiungo Tepsi Evans wa Azam FC kwenye kikosi cha timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars…
Matajiri wa Chamazi, Azam FC katika kuendelea kujiweka sawa na mashindano ya Ligi Kuu NBC pamoja na Shirikisho Afrika kwa muda huu…
Mshambuliaji wa Azam FC Iddi Seleman ‘NADO’ huenda akaanza kuonekana tena kwenye kikosi cha klabu hiyo katika mchezo wa Mzunguuko wa tatu…
Klabu ya Azam imemtambulisha rasmi, Joao Rodrigues raia wa Ureno kuwa mtaalamu wao mpya wa tiba za wachezaji (physiotherapist). Rodrigues ametua usiku…
Kiungo mshambuliaji mpya wa Azam FC, Kipre Junior amesema kutokana na maandalizi mazuri aliyopata hadi sasa anajiona yuko fiti. Kipre aliyesajiliwa msimu…
Matajiri wa madini, Klabu ya Geita Gold imepangwa kukutana na timu ya Hilal Al Sahil ya Sudan Kaskazini katika mechi ya hatua…
KIKOSI cha Azam FC kimeondoka katika mji wa El Gouna kuelekea Cairo ili kusaka mechi nyingine za kirafiki na timu kubwa kwa…
Azam FC bado ipo kambini mjini El Gouna, Misri na juzi usiku ilicheza mechi ya pili ya kujipima nguvu dhidi ya Grand…