BAADA YA KUONA WABONGO WENGI NI ‘MIYEYUSHO’ AZAM WAMVUTA MMAREKANI KUWA BOSI WAO…
Aliyekuwa kuwa Kocha msaidizi wa Columbus Crew, Abdihamid Moalin ameingia mkataba wa miaka miwili na Azam FC kuwa Mkurugenzi wa Ufundi…
Browse all posts in this category.
Aliyekuwa kuwa Kocha msaidizi wa Columbus Crew, Abdihamid Moalin ameingia mkataba wa miaka miwili na Azam FC kuwa Mkurugenzi wa Ufundi…
Uongozi wa Azam FC umetoa kauli kuhusu tetesi za Kiungo wa klabu hiyo Salum Abubakar ‘Suare Boy’ kuhusishwa na mpango wa kuwa…
Kikosi cha Azam FC kimedharia kuirarua Kagera Sugar katika mchezo wa Mzunguuko wanane wa Ligi Kuu Tanzania Bara utakaochezwa Alhamis (Desemba…
BAADA ya kumaliza kazi ya kusepa na pointi tatu muhimu mbele ya Mtibwa Sugar, matajiri wa Dar hesabu zao kwa sasa ni…
Sakata la wachezaji Salum Abubakar ‘Sure Boy’, Mudathir Yahya na Aggrey Morris waliosimamishwa na klabu ya Azam FC limefikia patamu, kufuatia uongozi…
KIPA wa Azam FC Mathias Kigonya amesema kuwa lawama anazopata kutokana na mabao anayofungwa anachukulia kama changamoto kwake ya kufanya vizuri. Kauli…
Uongozi wa Azam FC umekanusha taarifa za kuwa kwenye mpango wa kumtimua Kocha George Lwandamina na nafasi yake kuchukuliwa na aliyewahi…
Mchezaji wa zamani wa klabu za Kagera Sugar, Simba SC na Young Africans Amri Kiemba amejitosa kwenye sakata la kufanya vibaya kwa…
KIKOSI cha Azam FC kimerejea kambini kuanza maandalizi makali ya mchezo ujao dhidi ya KMC utakaopigwa Novemba 21 saa 10:00 jioni katika…
Uongozi wa Azam FC upo kwenye mawindo ya Usajili wa wachezaji watatu kupitia dirisha dogo la usajili ambalo litafunguliwa rasmi mwezi ujao.…
Kikosi cha Azam FC kitacheza mchezo wa kirafiki dhidi ya JKU SC ya Zanzibar keshokutwa Jumamosi (Novemba 13), ikiwa ni sehemu…
KIUNGO mshambuliaji wa Azam, Ayoub Lyanga, anaendelea vizuri baada ya kutokwa na damu puani wakati wa mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi…