Habar za Usajili Simba
DAH…DILUNGA NDIO BASI TENA SIMBA…PABLO KAONA ISIWE TABU…KAMUONDOA JUMLA JUMLA…
KUFUATIA majeraha ya muda mrefu ambayo ameyapata kiungo wa Simba, Hassan Dilunga, ambayo yanaweza kumuweka nje ya uwanja mpaka mwishoni mwa msimu…