‘VIBE’ LA MASHABIKI WA SIMBA LAWAKUNA CAF….WARUHUSU ‘FULL HOUSE’ MASHABIKI 60,000 MECHI NA WASAUZI..
Shirikisho la Soka Barani Afrika ‘CAF’ limeruhusu Mashabiki 60,000 kuingia Uwanja wa Benjamin Mkapa katika mchezo wa Robo Fainali Mkondo wa Kwanza…
Browse all posts in this category.
Shirikisho la Soka Barani Afrika ‘CAF’ limeruhusu Mashabiki 60,000 kuingia Uwanja wa Benjamin Mkapa katika mchezo wa Robo Fainali Mkondo wa Kwanza…
KITUO Kinachofuata? Ni robo fainali. Ndicho ambacho Simba wamefanya juzi usiku baada ya kuichapa Gendamarie kwa jumla ya mabao 4-0 katika Uwanja…
KATIKA mechi 10 ambazo Simba imecheza kwenye michuano ya CAF msimu huu imefunga mabao 16 huku winga wao, Bernard Morrison ndiye mchezaji…
Shirikisho la Vyama vya Mpira wa Miguu Duniani (FIFA) limemtetua refa Jean Jacques Ndala Ngambo kwtika orodha ya awali ya waamuzi wa…
SIKU ya sikukuu ya Pasaka Aprili 17, Simba watakuwa Dar es Salaam wakikiwasha na Orlando Pirates kwenye mechi ya kwanza ya robo…
STAA wa USGN anayetakiwa na Simba, Victorien Adebayor amesema hakuna mashabiki duniani waliowahi kumfanyia alichofanyiwa juzi usiku timu yake ilipolala mabao 4-0.…
Mwenyekiti Bodi ya Wakurugenzi Simba SC Salim Abdallah “Try Again” amesema klabu hiyo haina hofu na timu yoyote Barani Afrika na ipo…
Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Simba SC wameitandika Timu ya Coastal Union magoli 2-1 katika Uwanja wa Mkwakwani jioni ya…
Afisa Mtendaji Mkuu ‘CEO’ wa Orlando Pirates Floyd Mbele amesema wameipokea kwa mikono miwili Droo ya Robo Fainali Kombe la Shirikisho Barani…
Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi Simba SC Mulamu Nghambi amesema ni vugumu kwa klabu hiyo kumsajili tena Kiungo Mshambuliaji kutoka nchini Msumbiji…
Siku Moja baada ya Shirikisho la Soka Barani Afrika ‘CAF’ kupanga Droo ya Robo Fainali Kombe la Shirikisho, huku Simba SC ikiangukia…
MSHAMBULIAJI wa Simba, Chris Mugalu amesema kuwa mabao ambayo amefunga katika mchezo uliopita wa Kombe la Shirikisho dhidi ya USGM ya Niger…