EHEE…MMEMSIKIA SAKHO HUKO JAMANI..? PAMOJA NA SIMBA KUPOTEZA KWA WAIVORY..KAIBUKA NA HILI..
Kiungo Mshambuliaji kutoka nchini Senegal Pape Ousman Sakho amesema hana shaka na mpango wa kucheza hatua ya Robo Fainali ya Kombe la…
Browse all posts in this category.
Kiungo Mshambuliaji kutoka nchini Senegal Pape Ousman Sakho amesema hana shaka na mpango wa kucheza hatua ya Robo Fainali ya Kombe la…
Mchambuzi wa Michezo nchini Tanzania Edo Kumwembe ameitahadharisha Simba SC kuwa makini na mchezo wa mwisho wa ‘Kundi D’ Kombe la Shirikisho…
KATIKA kuhakikisha wanautetea ubingwa wa Ligi Kuu Bara, Simba wametamba kurejesha makali yao ya Kombe la Shirikisho Afrika katika Ligi Kuu Bara.…
ALIYEWAHI kuwa Mwenyekiti wa Klabu ya Simba, Ismail Aden Rage, ameitaka timu hiyo kufanya kazi ya ziada kama kweli wanataka kuishusha Yanga…
KOCHA Mkuu wa KMC, Thierry Hitimana, mwenye historia na Simba, amekubali na kukiri kuwa msimu huu ubingwa wa Ligi Kuu Bara utakwenda…
KASI ya Yanga kwenye Ligi Kuu Bara imeshtua mabosi wa Simba na juzi waliamua kuitana na kujifungia kwa muda wa saa kama…
KOCHA mkuu wa Simba, Pablo Franco amesema yuko tayari kubeba lawama kutokana na matokeo mabovu ambayo wameyavuna katika mchezo wa jana dhidi…
Kiungo Mshambuliaji kutoka nchini Ghana na Klabu ya Simba SC Bernard Morrison amewataka Mashabiki wa klabu hiyo kuamini timu yao bado ina…
Kocha Mkuu wa Simba SC Franco Pablo Martin amesema wachezaji wake hawakucheza vizuri katika Kipindi cha kwanza dhidi ya ASEC Mimosas, hatua…
Afisa Mtendaji Mkuu wa Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Simba SC Barbara Gonzalez, amesema Uongozi wa klabu hiyo hauwezi kumlaumu yoyote kufuatia…
UGENINI Simba imepoteza kwa kufungwa mabao 3-0 huku mabao yakipachikwa na Aubin Kramo Kouame dk 16,Stephane Aziz dk 23 na Karim Konate…
WAKATI kocha wa Simba, Pablo Franco akisema wanakwenda kucheza ugenini ili kujihakikisha tiketi ya robo fainali, beki wake wa kulia, Shomary Kapombe…