CAF YAIPIGA RUNGU LA ADHABU SIMBA KWA KUFANYA “TAMBIKO LA KISHIRIKINA” UWANJANI….
Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limeipiga faini ya Dola za Marekani 10,000 (zaidi ya Tsh. Milioni 23) Klabu hiyo baada ya kupatikana…
Browse all posts in this category.
Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limeipiga faini ya Dola za Marekani 10,000 (zaidi ya Tsh. Milioni 23) Klabu hiyo baada ya kupatikana…
JINA la Stephen Aziz Ki, kiungo wa ASEC Mimosas, bado linatembea mitaa ya Kariakoo jijini Dar baada ya timu kongwe za hapa…
Mabosi wa Simba bado hawajaweka wazi kuanza mchakato wa usajili kwa maana ya majina ya mashine mpya ambazo watazileta kwa ajili ya…
Shirikisho la Soka nchini Tanzania ‘TFF’ limetangaza Ratiba ya Michezo ya Nusu Fainali Kombe la Shirikisho Tanzania Bara ‘ASFC’ msimu huu 2021/22.…
Kocha Mkuu wa Simba SC Franco Pablo Martin anaamini licha Kiungo Mshambuliaji kutoka nchini Ghana Bernard Morrison kupewa mapumziko hadi mwishoni mwa…
Baada ya kumpa mapumziko hadi mwishoni mwa msimu huu Kiungo Mshambuliaji kutoka nchini Ghana Bernard Morrison, Uongozi wa Klabu ya Simba SC…
SIMBA haikuwa na mpango wa kufanya usajili mkubwa katiika dirisha kubwa lijalo la usajili baada ya kumalizika kwa msimu huu wa ligi…
IMEISHA. Maisha ya soka ya Benard Morrison ndani ya Simba yamefikia mwisho ndani ya kikosi hicho baada kukitumikia kwa miaka miwili iliyoambatana…
WAKATI kocha Pablo Franco ameendelea kupiga hesabu za kavuna alama zote 21 kwenye mechi saba zilizosalia za Ligi Kuu ili kuongeza presha…
KUFUATIA taarifa ya kupewa mapumziko mpaka mwishoni mwa msimu huu, kiungo mshambuliaji wa Simba, Bernard Morrison, ameibua mapya kikosini hapo. Morrison ambaye…
MAJERAHA ya muda mrefu aliyokumbana nayo kiungo wa Simba, Taddeo Lwanga raia wa Uganda, yamewafanya mabosi wa klabu hiyo kukata jina lake…
Timu ya Simba Queens imefanikiwa kutetea taji la ubingwa wa Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania Bara (SWPL) kwa mara ya tatu mfululizo.…