NABI ASAKA REKODI MPYA CAF….INJINIA HERSI MAPEMA TUU AANZA KUCHEZA ‘NNJE YA UWANJA’…
KOCHA wa Yanga SC, Nasreddine Nabi ameliambia Gazeti la Mwanaspoti kwamba kwa mkakati alioupanga na vijana wake, kuna rekodi inakuja nusufainali dhidi…
Browse all posts in this category.
KOCHA wa Yanga SC, Nasreddine Nabi ameliambia Gazeti la Mwanaspoti kwamba kwa mkakati alioupanga na vijana wake, kuna rekodi inakuja nusufainali dhidi…
YANGA inakutana na Marumo Gallants ya Afrika Kusini kwenye mechi ya Nusu fainali ya Shirikisho Mei 10, ngoma ikianzia Jijini Dar es…
KIUNGO wa Rivers United ya Nigeria, Morice Chukwu amekiri kwamba kuna uwezekano mkubwa mwezi Julai mwaka huu akawa kwenye uzi wa njano…
KIUNGO wa zamani wa Simba na Yanga SC, Athuman Idd ‘Chuji’ amesema Mwenyekiti wa zamani wa timu hiyo, Yusuf Manji alimuuliza alipo…
MABINGWA mara nne wa Ligi Kuu Uganda, Vipers SC wameanza na straika matata wa Yanga SC, Fiston Mayele ili akakipige kwenye kikosi…
BAADA ya kutinga Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika kocha Mkuu wa Yanga SC Nasreddine Nabi, amesema kuwa sasa ameanza kuwapigia…
Shirikisho la Soka nchini Tanzania ‘TFF’ limetangaza mabadiliko ya ratiba ya Mchezo wa Pili wa Nusu Fainali Kombe la Shirikisho ‘ASFC’ kati…
Ikiwa imepita miezi kadhaa toka asajiliwe na kushindwa kuonekana uwanjani hata kwenye mechi za Kirafiki, Beki wa Yanga SC Mamadou Doumbia amepata…
Kocha Mkuu wa Yanga SC, Nasreddine Nabi amemtetea kinda wake, Wari Clement Mzize akisema kuwa alicheza vizuri kwenye mchezo wao dhidi ya…
Klabu ya Yanga SC si kwamba imefuzu tu nusu fainali ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika, bali imeongoza katika vitu vingi kwenye…
Baadhi ya wachambuzi na mashabiki wa soka nchini wamekuwa wakimsema kiungo wa Yanga SC raia wa Burkina Faso, Stephanie Aziz Ki kuwa…
Serikali imewasimamisha kazi watumishi saba akiwemo Kaimu Meneja wa Uwanja wa Benjamin Mkapa, Salum Mtumbuka kufuatia hitilafu ya kuzimika kwa taa katika…